upumbavu wake ni upi ungeuweka wazi ili na Pascal Mayalla aufahamu.Makamba mpumbavu sana,anatembelea nyota ya hayati Magufuli
Na atajutq fala yule yeye na baba yake wote mandezi tuMakamba mpumbavu sana,anatembelea nyota ya hayati Magufuli
Kuna jambazi nchini aliyewahi kutia fora tangu tupate uhuru kama Jiwe aliyeiba rambirambi na 1.5 Trillions??Majambazi hafai kuwa waziri ni fadhila za kikwete tu
Mtu uko kwenye audience ya kimataifa unaanza kulialia mbele za rais kuwa umetukanwa, kama huo siyo upumbavu ni kitu gani? Dume zima unajilizaliza, mwanaume kama mabinti.upumbavu wake ni upi ungeuweka wazi ili na Pascal Mayalla aufahamu.