Kwanini CHADEMA haifanyi maandamano Moshi?

Mtoq mada hivi hapo ndiyo umefikiri kwa kutumia akili zako zote au umekodisha akili zako ili ufikiriwe na mtu mwingine?
 
Nimekuwa najiuliza sana kuna nn Moshi hadi maandamano na vurugu za chadema zinafanyikiaga arusha, watu wa arusha mjiangalie sana.

This is cheap politics.
Mwenye afya hahitaji tatibu
 
Nimekuwa najiuliza sana kuna nn Moshi hadi maandamano na vurugu za chadema zinafanyikiaga arusha, watu wa arusha mjiangalie sana.

This is cheap politics.
Huko yalikofanyika yameleta athari gani kwa jamii kiasi cha wewe kutaka yafanyike na Moshi na siyo Kilimanjaro ? Inawezekana ulilenga hilo kwa vile Mbowe anatoka huko , ila Mbowe anatokea Hai siyo Moshi
 
Wanawapenda ndugu zao,hawataki wafe...hicho chama ni cha ukabila sana,wako tayari kuwauwa watu ambao sio wa kabila lao ili waendelee kuingiza pesa, hiyo kampuni liyovaa koti la kisiasa sio chama cha siasa...Sikia hoja zao za kitoto eti maandamano ya moshi yamefanyika Arusha,mtu atoke moshi aje afanye maandamano Arusha?Chadema wapuxbavu sana...mwaka 2015 kulikuwa na miemuko ya maandamano kutoka kwa wananchi takribani kila mkoa lakini fikiri moshi maandamano hayafanyika ila Arusha na mikoa mingine ilifanyika na watu wengi walikufa enzi hizo.
Tumia akili wee mbugila, moshi ni jiji?,
 
Pamoja na kuwa maandamano yanajadiliwa kwa mlengo wa Chadema, ni muhimu kupeana uelewa wa jumla kwa faida ya wote kifikra.
Nguvu ya kutibu na hasa elimu na dawa huelekezwa kwa wagonjwa na wala siyo kwa wale wenye afya nzuri.
Kwa habari ya demokrasia ya vyama vingi, na uelewa wa uraia hadi uzalendo, Moshi ilianza miaka mingi.
Kuanzia wasomi hadi wakulima wa kawaida vijijini wapo sawa (uthibitisho ni takwimu za chaguzi huko nyuma).
Pili, watu wenye asili ya Moshi, wapo kwa idadi ya kutosha kwenye chama tawala na upinzani (sawa na nchi zilizoendelea zenye demokrasia ya vyama vingi).
Kwa maana hii, kama maeneo yote ya Tanzania, yangekuwa na wananchi wenye uelewa sawa kama Moshi na Tanzania visiwani, pia sehemu nyingine zenye mazingira yanayofanana kama Mbeya, Bukoba na Tarime, usingeweza kutofautisha Tanzania na nchi zilizoendelea ki demokrasia ya vyama vingi (ukiondoa changamoto za vyombo ya dola).
 
Wanawapenda ndugu zao,hawataki wafe...hicho chama ni cha ukabila sana,wako tayari kuwauwa watu ambao sio wa kabila lao ili waendelee kuingiza pesa, hiyo kampuni liyovaa koti la kisiasa sio chama cha siasa...Sikia hoja zao za kitoto eti maandamano ya moshi yamefanyika Arusha,mtu atoke moshi aje afanye maandamano Arusha?Chadema wapuxbavu sana...mwaka 2015 kulikuwa na miemuko ya maandamano kutoka kwa wananchi takribani kila mkoa lakini fikiri moshi maandamano hayafanyika ila Arusha na mikoa mingine ilifanyika na watu wengi walikufa enzi hizo.
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
Naona amewapata msio na akili. Mnamwona ameuliza swali la maana.

Kumbe na wewe una akili ndogo kama mleta mada?

Maamuzi ilikuwa awamu ya kwanza maandamano yafanyike kwenye majiji. Moshi ni jiji?
Maandamano hayajaanza leo, kila siku ni majiji?
 
Wanawapenda ndugu zao,hawataki wafe...hicho chama ni cha ukabila sana,wako tayari kuwauwa watu ambao sio wa kabila lao ili waendelee kuingiza pesa, hiyo kampuni liyovaa koti la kisiasa sio chama cha siasa...Sikia hoja zao za kitoto eti maandamano ya moshi yamefanyika Arusha,mtu atoke moshi aje afanye maandamano Arusha?Chadema wapuxbavu sana...mwaka 2015 kulikuwa na miemuko ya maandamano kutoka kwa wananchi takribani kila mkoa lakini fikiri moshi maandamano hayafanyika ila Arusha na mikoa mingine ilifanyika na watu wengi walikufa enzi hizo.
Kojoa ukalale
 
Back
Top Bottom