Kwanini CHADEMA haijashiriki sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar?

Kwanini CHADEMA haijashiriki sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katika sherehe za Uhuru wa Tanganyika uongozi wa Chadema ulikodi ndege ya kifahari kuelekea jijini Mwanza kushiriki maadhimisho hayo, tukawapongeza.

Leo tulitegemea kuwaona jijini Zanzibar lakini tukawaona Prof Lipumba, Mzee Shibuda na wengine bila uwepo wa Mbowe wala yule mzanzibari Salumu Mwalimu.

Kulikoni chama kikuu cha Upinzani?

Maendeleo hayana vyama!
 
Wamejua sisi washabiki na wanachama wao hatukuunga mkono ile kutaka maridhiano uchwara. Pia wamegundua kuwa hatuhitaji ushirikiano na wabaka demokrasia.
 
Wamejua sisi washabiki na wanachama wao hatukuunga mkono ile kutaka maridhiano uchwara. Pia wamegundua kuwa hatuhitaji ushirikiano na wabaka demokrasia.
Kwahiyo mnawatenga Waunguja?
 
Si waliahidi kuhudhuria sherehe za uhuru tu?
Kwani waliahidi nini kingine?

sf
 
Kwahiyo 2020 hamuombi kura Zanzibar?!

Unaweza kuwa Rais wa nchi hii bila kupata hata kura moja ya Zanzibar. Isitoshe hizo sherehe za mapinduzi ya Zanzibar sio zinazotoa kura. Hiyo ilikuwa sherehe ya CCM. Naona Lowassa na Sumaye walikuwa wamemiss hizi sherehe za CCM, sasa hivi kila sherehe wanafika uwanjani mapema.

Mrudishieni Sumaye mashamba yake maana kashakubali kurudi kwa shetani, hivyo apewe fahari ya dunia hii.
 
Unaweza kuwa rais wa nchi hii bila kupata hata kura moja ya Zanzibar. Isitoshe hizo sherehe za mapinduzi ya Zanzibar sio zinazotoa kura. Hiyo ilikuwa sherehe ya ccm. Naona Lowassa na Sumaye walikuwa wamemiss hizi sherehe za ccm, sasa hivi kila sherehe wanafika uwanjani mapema. Mrudishieni Sumaye mashamba yake maana kashakubali kurudi kwa shetani, hivyo apewe fahari ya dunia hii.
Tuko kwenye mchakato wa kumrudishia mashamba!Pia tunaangalia uwezekano wa kumuachia mkwe wa Lowassa!!!!
 
wakishiriki kwenu tabu, wasiposhiriki matatizo, sasa nyie UVCCM tuwaeleweje?
 
Unaweza kuwa rais wa nchi hii bila kupata hata kura moja ya Zanzibar. Isitoshe hizo sherehe za mapinduzi ya Zanzibar sio zinazotoa kura. Hiyo ilikuwa sherehe ya ccm. Naona Lowassa na Sumaye walikuwa wamemiss hizi sherehe za ccm, sasa hivi kila sherehe wanafika uwanjani mapema. Mrudishieni Sumaye mashamba yake maana kashakubali kurudi kwa shetani, hivyo apewe fahari ya dunia hii.
Lowassa wamtoe gerezani yule mkwewe
Sumaye arudishiwe mashamba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo prediem zilizotumika huko Zanzibar Ni sawa na ujenzi wa madarasa yaliyokamilika 200.

Okelo yuko wapi? Maana ndiye aliyepindua, Karume hakuwepo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom