Kwanini CHADEMA haijashiriki sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar?

Kwanini CHADEMA haijashiriki sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar?

Dah...nadhani Ni katika harakati za kupunguza matumizi [emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Katika sherehe za Uhuru wa Tanganyika uongozi wa Chadema ulikodi ndege ya kifahari kuelekea jijini Mwanza kushiriki maadhimisho hayo, tukawapongeza.

Leo tulitegemea kuwaona jijini Zanzibar lakini tukawaona Prof Lipumba, Mzee Shibuda na wengine bila uwepo wa Mbowe wala yule mzanzibari Salumu Mwalimu.

Kulikoni chama kikuu cha Upinzani?

Maendeleo hayana vyama!
Zanzibar ni koloni la ccm,linahitajikukombolewa
 
CDM hawana jicho la Mwewe la kuona matukio yajayo na hali ya hewa ya kesho kutwa kuhusisha na maendeleo ya Chama chao kwa vile ni Wanaharakati,kama alivyowahasa Mh:ENL pale alipowaaga na kurudi kundini Chama BABA LAOO(CCM)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom