johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwahiyo mnawatenga Waunguja?Wamejua sisi washabiki na wanachama wao hatukuunga mkono ile kutaka maridhiano uchwara. Pia wamegundua kuwa hatuhitaji ushirikiano na wabaka demokrasia.
Kwahiyo 2020 hamuombi kura Zanzibar?!Ni marufuku kushirikiana na wabaka demokrasia fullstop.
Kitakufa June 2020 baada ya bunge kuvunjwa!
Kwahiyo 2020 hamuombi kura Zanzibar?!
Bwashee mnaitenga Zanzibar?!
Kwani ule mchakato wa kuwanunua wabunge na madiwani haukukiua?Kitakufa June 2020 baada ya bunge kuvunjwa!
Tuko kwenye mchakato wa kumrudishia mashamba!Pia tunaangalia uwezekano wa kumuachia mkwe wa Lowassa!!!!Unaweza kuwa rais wa nchi hii bila kupata hata kura moja ya Zanzibar. Isitoshe hizo sherehe za mapinduzi ya Zanzibar sio zinazotoa kura. Hiyo ilikuwa sherehe ya ccm. Naona Lowassa na Sumaye walikuwa wamemiss hizi sherehe za ccm, sasa hivi kila sherehe wanafika uwanjani mapema. Mrudishieni Sumaye mashamba yake maana kashakubali kurudi kwa shetani, hivyo apewe fahari ya dunia hii.
Kwani CHADEMA ilipomnunua Lowassa CCM ilikufa?
Lowassa wamtoe gerezani yule mkweweUnaweza kuwa rais wa nchi hii bila kupata hata kura moja ya Zanzibar. Isitoshe hizo sherehe za mapinduzi ya Zanzibar sio zinazotoa kura. Hiyo ilikuwa sherehe ya ccm. Naona Lowassa na Sumaye walikuwa wamemiss hizi sherehe za ccm, sasa hivi kila sherehe wanafika uwanjani mapema. Mrudishieni Sumaye mashamba yake maana kashakubali kurudi kwa shetani, hivyo apewe fahari ya dunia hii.