saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
We hujui hata maana ya demokrasia. CHADOMO haina mgombea potential inaokoteza tu. Mbowe amekuwa m/kiti kwa miaka mingapi sasa. Kuliko unyimwe akili bora unyimwe maliNdo mkubali, CDM imewaacha mbali kidemokrasia.
Wao, Kila baada ya miaka 5 wanatuletea mgombea mpya na makaratasi yake.
CHADEMA hata wakishinda Urais, mwendo ni Ule Ule,Acha unyumbu wewe, mbowe angeshinda urais 2005 ina maana wangemweka Dr Slaa 2010 agombee urais?
Uenyekiti tu mnaambiwa sumu haionjwi je urais?
Hamna cha demokrasia wala Nini. Walafi hawakupata urais Hadi leo ayatola mbowe angekuwa rais!
Mbowe amegombea Urais mara Moja tu.We hujui hata maana ya demokrasia. CHADOMO haina mgombea potential inaokoteza tu. Mbowe amekuwa m/kiti kwa miaka mingapi sasa. Kuliko unyimwe akili bora unyimwe mali
Fuatilia mirathi ya mumeo kwanza ndiyo urudi hapaSafari Hii 2025 wasipomsimamisha Tundu Antipas Lisu tutagawana Mbao Hapo Ufipa st
Ccm mbona asilimia 95 ya majengo yote ni ya uma, achana na viwanja ambavyo wamejimilikisha, malengo ya chama ni lazima yatimie mengine ni mbadala, mpaka sasa wapo na ofisi ngapi zilizokamilika na ambazo zinaendelea kujengwa tz nzima, ?Nje ya mada,ni muhimu chadema kujenga makao makuu yenye hadhi
Ni sahihi kabisa,ila ni wakati muafaka wa jambo hilo kufanyika,sikua na nia mbaya hata kidogo kuja na hoja hiiCcm mbona asilimia 95 ya majengo yote ni ya uma, achana na viwanja ambavyo wamejimilikisha, malengo ya chama ni lazima yatimie mengine ni mbadala, mpaka sasa wapo na ofisi ngapi zilizokamilika na ambazo zinaendelea kujengwa tz nzima, ?
Chadema wana watu hata wakitaka makao makuu ya gharama ya tr 2 wanajenga, wanachama m20 sio mchezo , ukikataa shauri yako
Ushindwe na ulegee weee kada mtiifu wa lumumba....Safari Hii 2025 wasipomsimamisha Tundu Antipas Lisu tutagawana Mbao Hapo Ufipa st
Vipi mkuu, nimeona notification uli ni pm few days ago , ila changamoto kuifungua. Simu nayotumia kwa sasa ni ndogo baada ya kuibiwa simu kubwa. Usije kusema ni dharau. Hii kufungua upande wa private message ni kipengele mkuu , naishia kuona notification tu!Ushindwe na ulegee weee kada mtiifu wa lumumba....