Kwanini CHADEMA haijawahi KURUDIA mgombea Urais?

Kwanini CHADEMA haijawahi KURUDIA mgombea Urais?

Ndo mkubali, CDM imewaacha mbali kidemokrasia.

Wao, Kila baada ya miaka 5 wanatuletea mgombea mpya na makaratasi yake.
We hujui hata maana ya demokrasia. CHADOMO haina mgombea potential inaokoteza tu. Mbowe amekuwa m/kiti kwa miaka mingapi sasa. Kuliko unyimwe akili bora unyimwe mali
 
Acha unyumbu wewe, mbowe angeshinda urais 2005 ina maana wangemweka Dr Slaa 2010 agombee urais?
Uenyekiti tu mnaambiwa sumu haionjwi je urais?
Hamna cha demokrasia wala Nini. Walafi hawakupata urais Hadi leo ayatola mbowe angekuwa rais!
CHADEMA hata wakishinda Urais, mwendo ni Ule Ule,

Mitano inatosha. Kama huamini Muulize Mkt Mbowe!!
 
We hujui hata maana ya demokrasia. CHADOMO haina mgombea potential inaokoteza tu. Mbowe amekuwa m/kiti kwa miaka mingapi sasa. Kuliko unyimwe akili bora unyimwe mali
Mbowe amegombea Urais mara Moja tu.

Lakini CCM wanalazimisha miaka 10 hata kama mgombea wao kachokwa na chama na wananchi.

Tubadilike.
 
Nje ya mada,ni muhimu chadema kujenga makao makuu yenye hadhi
Ccm mbona asilimia 95 ya majengo yote ni ya uma, achana na viwanja ambavyo wamejimilikisha, malengo ya chama ni lazima yatimie mengine ni mbadala, mpaka sasa wapo na ofisi ngapi zilizokamilika na ambazo zinaendelea kujengwa tz nzima, ?

Chadema wana watu hata wakitaka makao makuu ya gharama ya tr 2 wanajenga, wanachama m20 sio mchezo , ukikataa shauri yako
 
Ni sahihi kabisa,ila ni wakati muafaka wa jambo hilo kufanyika,sikua na nia mbaya hata kidogo kuja na hoja hii
 
Ushindwe na ulegee weee kada mtiifu wa lumumba....
Vipi mkuu, nimeona notification uli ni pm few days ago , ila changamoto kuifungua. Simu nayotumia kwa sasa ni ndogo baada ya kuibiwa simu kubwa. Usije kusema ni dharau. Hii kufungua upande wa private message ni kipengele mkuu , naishia kuona notification tu!
 
CHADEMA Ina Mpango wowote kurudia mgombea Urais?

Maana nijuavyo mm, chama Huwa hakishindwi, Bali mgombea ndiye Huwa anashindwa🤔
 
Back
Top Bottom