Wachaga!Mpaka sasa wabunge wawili wa CHADEMA Anthony Komu na Joseph Selasini wote kutoka Kilimanjaro wameshatangaza kutoiamini tena Itikadi ya chama hicho na wametangaza kuhamia NCCR Mageuzi kinachoongozwa na Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia.
Kwanini basi CHADEMA inayoongozwa na Freeman Aikael Mbowe ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Hai kinashindwa kuwavua uanachama wabunge hawa wawili?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Chacha wangwe zito kabwe sumaeKamanda tulishamwambia kitambo awaachie na wengine Uenyekiti wa chama, yeye amekaza tu shingo. Ukijaribu tu kumchalenji wafuasi wake watakuvamia kama kundi la nyuki! Matusi na kejeli za kutosha. Wote waliojaribu kukitaka kiti chake, waliishia kukimbilia vyama vingine.
Nini maana sasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo! Miaka 20 Mwenyekiti ni wewe tu! Hivi hakuna wengine wenye sifa ya kuongoza ndani ya chama! Kuna tofauti gani na Ukurunzinza sasa!
Jina la chama haliendani na matendo ya chama chini ya mwenyekiti Mr DJKamanda tulishamwambia kitambo awaachie na wengine Uenyekiti wa chama, yeye amekaza tu shingo. Ukijaribu tu kumchalenji wafuasi wake watakuvamia kama kundi la nyuki! Matusi na kejeli za kutosha. Wote waliojaribu kukitaka kiti chake, waliishia kukimbilia vyama vingine.
Nini maana sasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo! Miaka 20 Mwenyekiti ni wewe tu! Hivi hakuna wengine wenye sifa ya kuongoza ndani ya chama! Kuna tofauti gani na Ukurunzinza sasa!
Nchi ina achiwa kwa kura sio kwa vijembe vya makamanda uchwaraNi kama CCM wanavyokataa kuachia nchi utazani ni mali yao
Kwa kura? Mwenyekiti Hana shida ya kura ukitangaza tu nagombea kiti imekula kwako umesahau ya zito chacha sumae,Hao unaowaamini kwanini wasishinde kwa kura? unaleta habari za "kuwaachia wengine uenyekiti" unaelewa hata maana ya hiyo kauli... au mmekaririshwa tu?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Chacha wangwe zito kabwe sumae
1 alikufa
2 alifukuzwa
3 sumu haionjwi
Inafikirisha [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
My Sacco's my chairMakamanda huwa hamtaki kusikia kabisa kuhusu Kamanda wenu Mkuu kuwaachia kiti wengine! Huwa mnaamini yeye ndiye Chadema, na Chadema ni yeye. Ila amini nakuambia, muda wa Kamanda wa kukijenga na kukiimarisha chama ulishapita mara tu baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015!
Kuanzia pale uchaguzi mkuu tu ulipokwisha, alitakiwa akae pembeni na kuwaachia Makamanda wengine waendeleze pale alipoishia. Tunakoelekea, chama kitamfia mikononi mwake. Na uchaguzi wa mwaka huu 2020 ni ushahidi tosha! Mtafanyiwa kila aina ya figisu ili Wabunge wenu wote Makini wasirejee Bungeni.
Mpaka sasa wabunge wawili wa CHADEMA Anthony Komu na Joseph Selasini wote kutoka Kilimanjaro wameshatangaza kutoiamini tena Itikadi ya chama hicho na wametangaza kuhamia NCCR Mageuzi kinachoongozwa na Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia.
Kwanini basi CHADEMA inayoongozwa na Freeman Aikael Mbowe ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Hai kinashindwa kuwavua uanachama wabunge hawa wawili?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
hakuna kitu kinachouma kama mtu kuku-ignore .....Mpaka sasa wabunge wawili wa CHADEMA Anthony Komu na Joseph Selasini wote kutoka Kilimanjaro wameshatangaza kutoiamini tena Itikadi ya chama hicho na wametangaza kuhamia NCCR Mageuzi kinachoongozwa na Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia.
Kwanini basi CHADEMA inayoongozwa na Freeman Aikael Mbowe ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Hai kinashindwa kuwavua uanachama wabunge hawa wawili?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Kamanda tulishamwambia kitambo awaachie na wengine Uenyekiti wa chama, yeye amekaza tu shingo. Ukijaribu tu kumchalenji wafuasi wake watakuvamia kama kundi la nyuki! Matusi na kejeli za kutosha. Wote waliojaribu kukitaka kiti chake, waliishia kukimbilia vyama vingine.
Nini maana sasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo! Miaka 20 Mwenyekiti ni wewe tu! Hivi hakuna wengine wenye sifa ya kuongoza ndani ya chama! Kuna tofauti gani na Ukurunzinza sasa!
Hatari sanaCesil Mwambe naye aliamua kurudi kwa hiyari yake kule alikotoka ingawa baadhi ya mawazo yake yalikuwa yana mashiko.
Jibu ni kwamba CHADEMA ni chama makini. Hakikurupuki kuwavua uanachama wanachama wake kama CCM ilivyofanya kwa Benard Membe.Hao wanalindwa na System, Chadema wakijaribu kuwavua itakua kesi ya muda mrefu ya kupoteza hela muda, ila mbunge wa CCM ajaribu kutangaza tu atahamia upinzani aone, anavuliwa fasta na akienda mahakamani kesi inamalizwa ndani ya wiki
TLP, UDP. Tena UDP tangu 1992. Lakini hutasikia John Cheyo anatajwa, au Agostino Mrema ambaye amekuwa mwenyekiti wa TLP tangu 1996! Mbowe amekuwa Mwenyekiti tangu 2003Hivi hapa Tanzania chama chenye usajili na kina mwenyekiti mmoja kwa muda mrefu ni chadema tu au
Ata chama kina achiwa kwa kura sio vijembe vya UVCCMNchi ina achiwa kwa kura sio kwa vijembe vya makamanda uchwara
Kura ipi hiyo? Ukitangaza Nia tu imekula kwako chacha zito mwambe sumae dj hasubiri kura my Sacco's my chair [emoji23][emoji1787][emoji2960]Ata chama kina achiwa kwa kura sio vijembe vya UVCCM
Acha wasubiri mafao yao ili waje wakomboe majimbo yao .Nccr ndio chama kinachofaa kuwa KUB kwa manufaa ya taifa letu.Mpaka sasa wabunge wawili wa CHADEMA Anthony Komu na Joseph Selasini wote kutoka Kilimanjaro wameshatangaza kutoiamini tena Itikadi ya chama hicho na wametangaza kuhamia NCCR Mageuzi kinachoongozwa na Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia.
Kwanini basi CHADEMA inayoongozwa na Freeman Aikael Mbowe ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Hai kinashindwa kuwavua uanachama wabunge hawa wawili?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Umesema ukijaribu kumgusa tu wafuasi wake wanakuja juu, kwahiyo jibu unalo hajajiweka mwenyewe amewekwa na hao wafuasi wake, wa kulaumiwa ni wafuasi waliomuweka Mbowe pale miaka 20 na sio Mbowe.Kamanda tulishamwambia kitambo awaachie na wengine Uenyekiti wa chama, yeye amekaza tu shingo. Ukijaribu tu kumchalenji wafuasi wake watakuvamia kama kundi la nyuki! Matusi na kejeli za kutosha. Wote waliojaribu kukitaka kiti chake, waliishia kukimbilia vyama vingine.
Nini maana sasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo! Miaka 20 Mwenyekiti ni wewe tu! Hivi hakuna wengine wenye sifa ya kuongoza ndani ya chama! Kuna tofauti gani na Ukurunzinza sasa!
Mbona usimlalamikie mapesa au yule wa nisiara mageuzi? Huko haukusumbui maana kuko poa. Huko CHADEMA UNAOGOPA MOTO WAKE NINI? KAMA SIO MOTO KAA KIMYA WATAJIFIA WENYEWE AU KUNYAUKA Taratibuu kama madini ya LEADKamanda tulishamwambia kitambo awaachie na wengine Uenyekiti wa chama, yeye amekaza tu shingo. Ukijaribu tu kumchalenji wafuasi wake watakuvamia kama kundi la nyuki! Matusi na kejeli za kutosha. Wote waliojaribu kukitaka kiti chake, waliishia kukimbilia vyama vingine.
Nini maana sasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo! Miaka 20 Mwenyekiti ni wewe tu! Hivi hakuna wengine wenye sifa ya kuongoza ndani ya chama! Kuna tofauti gani na Ukurunzinza sasa!