Kwanini CHADEMA hakiwavui uanachama Wabunge waliotangaza kuhamia NCCR Mageuzi?

Umesema ukijaribu kumgusa tu wafuasi wake wanakuja juu, kwahiyo jibu unalo hajajiweka mwenyewe amewekwa na hao wafuasi wake, wa kulaumiwa ni wafuasi waliomuweka Mbowe pale miaka 20 na sio Mbowe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kajiweka angikuwa amewekwa tungeona kashindana kwa kura na kina chacha zito mwambe sumae
 
Wait kwanini wasiachane na huo ubunge kwakuwa walishazuia kukihama chama??, Lengo lao nikutafuta kiki za October 2020 wapate huruma ya wapiga kura!! Huwezi ukatangaza humtaki mmeo wakati bado unaendelea kutaka huduma yake.watajiondoa wenyewe kimya kimya 😂
 
Ruzuku Bwashee! Hata Mzee Mgaya aliishalizungumzia hill.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…