Kwenye TV naangalia mpira pekee na Tanzania safari channelKatika Zama kama hizi za mitandao utakuta kuna mtu pale TISS yeye kazi yake ni kuvidhibiti vyombo vya habari tu eti.
Mambo wa TISS wana shida kweli
Wana vibaka toka nchi jirani wanawawekea bando kujaza sever tu humuKila siku habari kuu na mijadala iliyopo mtandaoni ikiwepo hapa JF ni kuhusu Chadema kuliko vyama vingine, ni kama ambavyo CCM inapata airtime kubwa kwenye TV na Radio ila kwenye social medial ni Chadema zaidi pamoja na kuwa na kundi kubwa la watu wenye ushawishi na majina wakiwepo wasanii.
Sababu hizi zinawapa Chadema uhai mitandaoni:
1. Chadema ina wanachama na wafuasi wengi vijana, kundi ambalo linatumia sana mitandao ya kijamii kama X, JF, FB na mingine. Wengi ni hodari wa kujieleza, kupambana na hoja, na kushiriki mijadala kwa haraka, kuliko wafuasi wa vyama vingine.
2. Chadema mara nyingi huibua hoja zinazogusa maisha ya kawaida ya watu kama haki za binadamu, elimu, afya, ajira, katiba mpya, na uwajibikaji wa serikali. Hoja hizi hujenga mjadala na kuwavutia watu kushiriki.
Vijana wa vyama vingine wanajificha kujadili ishu zinazoendelea kwenye jamii kwa uwazi.
3. Mara nyingi vyombo vya habari vya kawaida hasa TV, radio na magazetu, vinakosa kutoa nafasi kwa upinzani kwa uwiano sawa, Chadema na wafuasi wake hutumia mitandao kama njia mbadala ya kusambaza taarifa, hotuba, au mikutano yao.
Bora tweeter hii jf siku hizi imejaa VIKARAGOSI VYA CCM. wanatumwa kufanya spinning hapaWana vibaka toka nchi jirani wanawawekea bando kujaza sever tu humu
Naunga mkono hojaKila siku habari kuu na mijadala iliyopo mtandaoni ikiwepo hapa JF ni kuhusu Chadema kuliko vyama vingine, ni kama ambavyo CCM inapata airtime kubwa kwenye TV na Radio ila kwenye social medial ni Chadema zaidi pamoja na kuwa na kundi kubwa la watu wenye ushawishi na majina wakiwepo wasanii.
Sababu hizi zinawapa Chadema uhai mitandaoni:
1. Chadema ina wanachama na wafuasi wengi vijana, kundi ambalo linatumia sana mitandao ya kijamii kama X, JF, FB na mingine. Wengi ni hodari wa kujieleza, kupambana na hoja, na kushiriki mijadala kwa haraka, kuliko wafuasi wa vyama vingine.
2. Chadema mara nyingi huibua hoja zinazogusa maisha ya kawaida ya watu kama haki za binadamu, elimu, afya, ajira, katiba mpya, na uwajibikaji wa serikali. Hoja hizi hujenga mjadala na kuwavutia watu kushiriki.
Vijana wa vyama vingine wanajificha kujadili ishu zinazoendelea kwenye jamii kwa uwazi.
3. Mara nyingi vyombo vya habari vya kawaida hasa TV, radio na magazetu, vinakosa kutoa nafasi kwa upinzani kwa uwiano sawa, Chadema na wafuasi wake hutumia mitandao kama njia mbadala ya kusambaza taarifa, hotuba, au mikutano yao.
Nyomi la Mwanza umeona?.Naunga mkono hoja
P
Nyomi nimeziona, na ushauri kuhusu hizi nyomi nimetoa Ushauri wa Bure kwa Wafuasi wa NRNE, Hope for the best but get prepared for the Worst. Msidanganywe na Nyomi, mtashangaa. Hakuna atakayesusia UchaguziNyomi la Mwanza umeona?.
Haamini katika uwingi, tukamuuliza kama unaamini katika uchache mbona ulipopata kura 1 kawe hukutangazwa? hajajibu hadi leoNyomi la Mwanza umeona?.
Kila siku habari kuu na mijadala iliyopo mtandaoni ikiwepo hapa JF ni kuhusu Chadema kuliko vyama vingine, ni kama ambavyo CCM inapata airtime kubwa kwenye TV na Radio ila kwenye social medial ni Chadema zaidi pamoja na kuwa na kundi kubwa la watu wenye ushawishi na majina wakiwepo wasanii.
Sababu hizi zinawapa Chadema uhai mitandaoni:
1. Chadema ina wanachama na wafuasi wengi vijana, kundi ambalo linatumia sana mitandao ya kijamii kama X, JF, FB na mingine. Wengi ni hodari wa kujieleza, kupambana na hoja, na kushiriki mijadala kwa haraka, kuliko wafuasi wa vyama vingine.
2. Chadema mara nyingi huibua hoja zinazogusa maisha ya kawaida ya watu kama haki za binadamu, elimu, afya, ajira, katiba mpya, na uwajibikaji wa serikali. Hoja hizi hujenga mjadala na kuwavutia watu kushiriki.
Vijana wa vyama vingine wanajificha kujadili ishu zinazoendelea kwenye jamii kwa uwazi.
3. Mara nyingi vyombo vya habari vya kawaida hasa TV, radio na magazetu, vinakosa kutoa nafasi kwa upinzani kwa uwiano sawa, Chadema na wafuasi wake hutumia mitandao kama njia mbadala ya kusambaza taarifa, hotuba, au mikutano yao.
Sio this time, no bness as usualNyomi nimeziona, na ushauri kuhusu hizi nyomi nimetoa Ushauri wa Bure kwa Wafuasi wa NRNE, Hope for the best but get prepared for the Worst. Msidanganywe na Nyomi, mtashangaa. Hakuna atakayesusia Uchaguzi
P
Becquse watanzania ni wanafiq na waogaKila siku habari kuu na mijadala iliyopo mtandaoni ikiwepo hapa JF ni kuhusu Chadema kuliko vyama vingine, ni kama ambavyo CCM inapata airtime kubwa kwenye TV na Radio ila kwenye social medial ni Chadema zaidi pamoja na kuwa na kundi kubwa la watu wenye ushawishi na majina wakiwepo wasanii.
Sababu hizi zinawapa Chadema uhai mitandaoni:
1. Chadema ina wanachama na wafuasi wengi vijana, kundi ambalo linatumia sana mitandao ya kijamii kama X, JF, FB na mingine. Wengi ni hodari wa kujieleza, kupambana na hoja, na kushiriki mijadala kwa haraka, kuliko wafuasi wa vyama vingine.
2. Chadema mara nyingi huibua hoja zinazogusa maisha ya kawaida ya watu kama haki za binadamu, elimu, afya, ajira, katiba mpya, na uwajibikaji wa serikali. Hoja hizi hujenga mjadala na kuwavutia watu kushiriki.
Vijana wa vyama vingine wanajificha kujadili ishu zinazoendelea kwenye jamii kwa uwazi.
3. Mara nyingi vyombo vya habari vya kawaida hasa TV, radio na magazetu, vinakosa kutoa nafasi kwa upinzani kwa uwiano sawa, Chadema na wafuasi wake hutumia mitandao kama njia mbadala ya kusambaza taarifa, hotuba, au mikutano yao.
KabisaUkitaka kujua si mitandaoni tu, maza na akubali uchaguzi, huru na wa haki uone kama atatoboa.
Pascal Mayalla na huo ndiyo ulio ukweli mchungu!
Wana kitengo cha mitandao,unakuta erythrocytes ana ID 20 JF,15 x,30 insta,sasa fanya wawe 100,si umesikia wanapokea bando toka kenyaKila siku habari kuu na mijadala iliyopo mtandaoni ikiwepo hapa JF ni kuhusu Chadema kuliko vyama vingine, ni kama ambavyo CCM inapata airtime kubwa kwenye TV na Radio ila kwenye social medial ni Chadema zaidi pamoja na kuwa na kundi kubwa la watu wenye ushawishi na majina wakiwepo wasanii.
Sababu hizi zinawapa Chadema uhai mitandaoni:
1. Chadema ina wanachama na wafuasi wengi vijana, kundi ambalo linatumia sana mitandao ya kijamii kama X, JF, FB na mingine. Wengi ni hodari wa kujieleza, kupambana na hoja, na kushiriki mijadala kwa haraka, kuliko wafuasi wa vyama vingine.
2. Chadema mara nyingi huibua hoja zinazogusa maisha ya kawaida ya watu kama haki za binadamu, elimu, afya, ajira, katiba mpya, na uwajibikaji wa serikali. Hoja hizi hujenga mjadala na kuwavutia watu kushiriki.
Vijana wa vyama vingine wanajificha kujadili ishu zinazoendelea kwenye jamii kwa uwazi.
3. Mara nyingi vyombo vya habari vya kawaida hasa TV, radio na magazetu, vinakosa kutoa nafasi kwa upinzani kwa uwiano sawa, Chadema na wafuasi wake hutumia mitandao kama njia mbadala ya kusambaza taarifa, hotuba, au mikutano yao.
Kwanini vyama vingine tena vyenye ukwasi zaidi ya Chadema wanakubali kubagazwa mitandaoni bila kuiga hii njia?Wana kitengo cha mitandao,unakuta erythrocytes ana ID 20 JF,15 x,30 insta,sasa fanya wawe 100,si umesikia wanapokea bando toka kenya