Kwanini CHADEMA inaanzia Mikutano Kanda ya ziwa?

Najaribu kufikiri na kuwaza kwanini CHADEMA inaanzia mikutano yake Mwanza? Kwanini siyo makao makuu ya nchi Dodoma? Kwanini siyo Dar ambako viongozi wengi Wa CHADEMA wanaishi?

Kwanini siyo Moshi Arusha ambako mawazo ya kuzaliwa CHADEMA yalianzia.

Swali kwanini iwe Mwanza?

Aliye majibu anijibu naomba.
KWA sababu mwanza ni Tanzania pia tunaenda kuanzia tulipoishia upoo
 
Duh...!, kama hii ndio misimamo, basi tuna kazi kubwa mbele yetu!. Yaani una anticipates machafuko?!. Naomba endelea to anticipate that kimya kimya, ukihamasisha ni uchochezi!.

P
Huo ndio ukweli, na hawa wanaochezea chaguzi zetu ni kwasababu wanajua hatuna cha kufanya. Anticipate ya Kimya Kimya ni iwapo unataka kuingia msituni.
 
Najaribu kufikiri na kuwaza kwanini CHADEMA inaanzia mikutano yake Mwanza? Kwanini siyo makao makuu ya nchi Dodoma? Kwanini siyo Dar ambako viongozi wengi Wa CHADEMA wanaishi?

Kwanini siyo Moshi Arusha ambako mawazo ya kuzaliwa CHADEMA yalianzia.

Swali kwanini iwe Mwanza?

Aliye majibu anijibu naomba.
Chadema ni chama Cha kitaifa,,na kanda ya Ziwa ni sehemu katika Taifa hili.
 
Najaribu kufikiri na kuwaza kwanini CHADEMA inaanzia mikutano yake Mwanza? Kwanini siyo makao makuu ya nchi Dodoma? Kwanini siyo Dar ambako viongozi wengi Wa CHADEMA wanaishi?

Kwanini siyo Moshi Arusha ambako mawazo ya kuzaliwa CHADEMA yalianzia.

Swali kwanini iwe Mwanza?

Aliye majibu anijibu naomba.
Sababu nisawa na majibu uliyonayo na pengine wangeanzia na maeneo uliyoyataja
 
Najaribu kufikiri na kuwaza kwanini CHADEMA inaanzia mikutano yake Mwanza? Kwanini siyo makao makuu ya nchi Dodoma? Kwanini siyo Dar ambako viongozi wengi Wa CHADEMA wanaishi?

Kwanini siyo Moshi Arusha ambako mawazo ya kuzaliwa CHADEMA yalianzia.

Swali kwanini iwe Mwanza?

Aliye majibu anijibu naomba.
Swali lako liko VALID kwa popote watakaponzia.
 
Back
Top Bottom