Kwanini CHADEMA isifungulie harakati za ubunge wanaotegemea kugombea 2025 waanze kupiga jaramba?

Kwanini CHADEMA isifungulie harakati za ubunge wanaotegemea kugombea 2025 waanze kupiga jaramba?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Ningepewa nafasi yakuwashauri CHADEMA ningewashauri wawape uhuru vijana na wazee wenye nia ya kugombea ubunge waanze kujinadi kuelekea 2025.

Wenzao CCM wagombea ni walewale waliopo sasa, CHadema hakuna mgombea anayefahamika jimboni.

Mnasuburi nini? Lini?
 
Back
Top Bottom