Kwanini CHADEMA mkutano wa kumualika Rais wamefanyia Moshi ila maandamano waliyafanyia Mwanza?

Kwanini CHADEMA mkutano wa kumualika Rais wamefanyia Moshi ila maandamano waliyafanyia Mwanza?

Moshi ndio Makao makuu ya Chadema,

Kinondoni pale Mwembe jini ni ofisi kuu
 
Naomba mwenye uelewa anieleweshe hii kitaalam inamaanisha nini?

Kikao na Rais - Moshi
Maandamano - Mwanza

Chadema mipango yao hii vipi mwaionaje.
Mwanza kulifanyika maandamano au ufunguzi wa mikutano ya hadhara...😀😀😀
 
Vikao vya hela na vizito uchagani.
Vurugu za maandamano usukumani.
Ukabila na chuki dhidi ya viumbe wenzako utakufikisha wapi ndugu? Siasa pekee ndio inayokuvua utu? Mungu alituumba kwa utofauti huu uliopo. Tuuheshimu.
 
Ukabila na chuki dhidi ya viumbe wenzako utakufikisha wapi ndugu? Siasa pekee ndio inayokuvua utu? Mungu alituumba kwa utofauti huu uliopo. Tuuheshimu.
Hapo ndio umejibu hoja?
Mkabila ni yule anaepeleka manufaa kwao fujo kwa wenzie.
 
Hapo ndio umejibu hoja?
Mkabila ni yule anaepeleka manufaa kwao fujo kwa wenzie.
Ungekuwa na hoja si ungetamba? Wewe umetawaliwa na chuki za kikabila tu basi. Nyerere alisema watu kama wewe ni wa kuogopwa.
 
Naomba mwenye uelewa anieleweshe hii kitaalam inamaanisha nini?

Kikao na Rais - Moshi
Maandamano - Mwanza

Chadema mipango yao hii vipi mwaionaje.
Kikao gani kilifanyika Moshi? Au unamaanisha lile kongamano la kuadhimisha siku ya wanawake duniani?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom