Kwanini CHADEMA mmetunga na mnasambaza uzushi wa ukabila wa Hayati Magufuli?

Nakumbuka mara baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 chadema walianza kashfa dhidi ya wasukuma, walianza kutengeneza kila aina ya kashfa dhidi ya wasukuma kwa sababu ya wingi wa kura aliopewa Magufuli na watu wa kanda ya ziwa.

Kwa takwimu za NEC, bado kanda ya ziwa ndio itaweza ku determine urais wa nchi hii maana ina watu wengi kuliko kanda yoyote ile.

Sasa Chadema badala wajikite kutaka kuelewana na watu wa kanda ya ziwa ama wasukuma kama wanavyowaita, wao wanawakashfu, wanawadhihaki. Chadema wasubiri mwaka 2025 wainamishwe na kushikishwa ukuta waje kulalamika wameibiwa kura.
 
Nyerere alitushauri sana kuwa msichague rais kutoka kabila kubwa!!! Kwa mfano Samia is a good choice! Slaa is a good choice! Lissu is a good choice! Mwinyi is a good choice! Anyone from a small tribe who has integrity! Lowasa would have been a good choice!!
 
Wameru ni kabila kubwa ?.
 
Ukabila ni janga linalomsumbua sana mwafrika hata mtanzania

Ova
 
Mnyika nae mchaga
 
Wasukuma pamoja na wingi wao hawana effect kwani wengi ni wajinga na primitive sana hata aliyekufa juzi alifanya ujinga wa ajabu hata katika wadhifa wake mkubwa bado alikuwa mjinga mno. Angalia alivyozikwa haikuwezekana kumshusha kaburini hivi hivi live mpaka azikwe usiku na matunguri.
Halafu CHADEMA wanajimaliza kisiasa kwa kanda ya ziwa tuonane 2025 CCM itapeta tena hawajui kucheza na siasa.
 
Mkuu wasukuma ni wengi na hata walio vitengoni ni wengi sana hata sasa hivyo ni kukubaliana na hali halisi
 
Huo ukabila wa Magufuli mbona mimi sikunufaika nao?
Leo nimejua kumbe unashupaza shingo ukitetea kabila lako?
Huyu mtu aliesafirisha Twiga kuwapeleka Burigi mnahangaika bure kumsafisha,alikuwa mbinafsi sana.

Mtu huyu amejenga uwanja wa ndege Chato uliopaswa kujengwa mikoani,alipanga kujenga Kiwanja kikubwa cha mpira Chato ambacho huku akijua kabisa ni bora kingejengwa Shinyanga mjini ila aliendekeza Sana ubinafsi.

Ni utawala ambao kina ngosha walipepea sana maofisini hilo halina ubishi.
 
Tafuta video ya DC wa Arumeru aliyesema atarudi Yanga masna hatakua na cha kufanya Maana Serikali ya Pombe irikua ngumu sana kupenya hasa kwa watu wa kaskazini
 
Usilete za kuleta, mimi kada wa CCM na nasema legacy ya JPM ni kujaza wasukuma kila shirika,serikali hata uwaziri na vyombo vya Ul na Us.
Pitia appointments zake.
 
Mwewe umenena CHADEMA ni chama cha kanda fulani tayari wewe ni mkabila,
Kama unaweza kusema hivyo kwanini wao wasiseme hivyo pia
 

Hiyo integrity inapimwaje na kuthibitishwa vipi?
 
Ukitaka ku define UKABILA vema kabisa basi msome huyu jamaa yetu..
Jamani Admin na wengineo, yaani kweli #jamiiforums imefikia kuwa Low kiasi hiki? Nilipotea kitambo kwa sababu hizi, narudi na kukuta bado watu wa aina hii mnawatekenya?!! Hivi kweli huu ndio Uhuru wa kujieleza halafu mnailalamikia Serikali kwa ujinga kama huu..
 

..hakuna ubishi kwamba ktk uchaguzi wa mwaka 2015 kampeni za UKABILA zilifanyika waziwazi.

..wapiga debe wa CCM walipanda majukwaani na kupiga kampeni, " msiwachague wale /chadema watu wa kaskazini / wachaga. "

..kwa bahati mbaya baada ya uchaguzi mkuu hazikufanyika juhudi zozote za kutibu MAKOVU ya kampeni hiyo chafu kabisa ya kikabila na kibaguzi kupata kutokea Tz.

NB:

..kabla ya kuitwa chama cha Wachaga Chadema kilikuwa kikipakaziwa kwamba ni chama cha Wakatoliki kwasababu wakati huo Dr.Slaa[aliyepata kuwa Padri ktk kanisa katoliki] ndio alikuwa kiongozi tishio kwa CCM.

..Alipoingia Lowassa Chadema kiliitwa chama cha " wakaskazini " ili Lowassa, Sumaye, na Mbowe, wameweze ku-fit kampeni chafu za CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…