Kwanini CHADEMA mmetunga na mnasambaza uzushi wa ukabila wa Hayati Magufuli?

Nimekuwa nikisikia hizi maneno ama uzushi wa maneno kua Hayati Magufuli ni mkabila, ana upendeleo wa Wasukuma, mara hili mara lile.

Uzushi huu umekuwa ukipigiwa chapuo na watu wa kanda moja lakini pia uzushi huu umebebwa na Chadema kama mojawapo ya tuhuma dhidi ya Magufuli.

Leo kwenye press, mwenyekiti wa Chadema Bw. Mbowe amesisitiza kwenye mabaya ya Hayati Magufuli kua alikua na upendeleo wa kindugu(neportism). Kwa maana kwamba Magufuli alijaza ndugu zake na jamaa zake kweye taasisi za serikali na vyombo vya dola kwa upendeleo wa undugu na ukabila.

Kwa Dunia hii ya teknolojia, nilitegemea Chadema na wenzake walete ushahidi wa numbers, mfano, Wakurugenzi wa Halmashauri wako 250, Wasukuma wako 80, ama wakurugenzi wa mashirika ya umma wako 200, wasukuma wako 100, ama wakuu wa vyuo vya serikali wako 50, wasukuma ama ndugu zake na Magufuli wako 20.

Ama nilitegemea Chadema waje na takwimu za mawaziri wako labda 30, wasukuma 12, labda majaji nchi nzima wako 100, wasukuma wako 40.

Wangekua na hizo statistics hapo unaweza kufanya analysis na ukasema kweli kuna ukabila na upendeleo ama kweli Magufuli alikua mkabila na mwenye upendeleo wa kindugu kwenye kutoa nafasi.

Nashindwa kuwaelewa Chadema, hoja ya ukabila na upendeleo wa Magufuli uko kwenye kitu gani? Kwa nini chama kama Chadema waamue kutunga uzushi kama huu usio na ushahidi wowote na waupigie debe hadi kwenye vyombo vya habari?

Kwa nini Chama mjikite kwenye kutunga na kusambaza uzushi kama huu?

CHADEMA, msisahau tunajua ukabila mlionao kwenye CHama, kuanzia mwenyekiti, katibu mkuu, mkurugenzi wa fedha, mkurugenzi wa itikadi na wakurugenzi wote kua wa kabila moja.

kidumu chama cha ufipa na mwenyekiti mbowe 😂
 
Leo nimejua kumbe unashupaza shingo ukitetea kabila lako?
Huyu mtu aliesafirisha Twiga kuwapeleka Burigi mnahangaika bure kumsafisha,alikuwa mbinafsi sana.

Mtu huyu amejenga uwanja wa ndege Chato uliopaswa kujengwa mikoani,alipanga kujenga Kiwanja kikubwa cha mpira Chato ambacho huku akijua kabisa ni bora kingejengwa Shinyanga mjini ila aliendekeza Sana ubinafsi.

Ni utawala ambao kina ngosha walipepea sana maofisini hilo halina ubishi.
Unajitahidi kutuonyesha jinsi ulivyombumbu na mzungu wa reli,
 
Sio kanda ya ziwa ndio ilimaliza,tazama mikoa ya kusini na kaskazini kwa kura za urais,watu walichoka na brabra za siasa,walikuwa wanataka kiongozi wa VITENDO,
Nitajie mikoa ya Kaskazini na kusini olompa kura nyingi Magufuli?
 
Yule dikteta kaharibu sn nchi yetu nzuri.... Hapo kawasema kaskazini lkn alisusa kote isipokua mwanza, chato na dodoma
Unapoisoma Habari ni vema ukaielewa. Hapo rais alikuwa akizungumzia UTALII na kwamba Serikali yake imeelekeza nguvu zake maeneo mingneyo! Na sii Uongo Utalii Tz ulikuwa mikoa ya Kaskazini hapo kosa liko wapi, Je, kuwaita ndugu zetu wa Kaskazini imekuwa kosa sasa mlitaka awajulishe kama kina nani, Wachagga au?

Tunasema ndugu zetu wa Wazanzibar, ndugu zetu wa Kusini n.k halafu hii habari ya MAJIMBO ni SERA ya Chadema. Ndio walo asisi huu msemo wa KANDA mkipigania Majimbo toka Uchahuzi wa 1995 mkaigawa nchi katika Majimbo na kuyapa majina! Leo mnachukia inapotajwa Kanda ya Kaskazini kivipi lakini?
 
Halafu CHADEMA wanajimaliza kisiasa kwa kanda ya ziwa tuonane 2025 CCM itapeta tena hawajui kucheza na siasa.
Wasukuma hawajawahi kuchagua kiongozi kwa kabila lake never.

Kwanza huko kanda ya ziwa hasa mikoa ya wasukuma wengi kuna wabunge wengi wenye asili ya Asia na sehemu zingine wachaga kabisa.

Uchaguzi wa 2020 kanda ya ziwa ilikuwa against Magufuli ndiyo maana Lissu alipata support kubwa kanda ya ziwa kuliko hata Dar es Saalam mnakodai mmeelimika.
 
Hakuna uchaguzi Magufuli amewahi kushinda kwa kura sana sana huwa anatangazwa tu.
Sasa mkuu kama hata wabunge hamkufika 1/3 mngewezaje Kushinda Urais? Unajua vitu vingine ni common sense tu.

Yaani mtu analalamika kuibiwa Urais wakati hata Wabunge 100 hana! Utasikia kura zimeibiwa! Onyesha Ushahidi oooh Halima Mdee alizikamata. Okay ziko wapi? Aaaah mtuhumiwa alikimbia tukazichoma moto! Really?. Leo hii huyo Halima Mdee hamumtaki tena sio Mwanachama! Na kama kweli waliibiwa Ushindi wangeanza na kurudisha Wabunge wao.
 
Wasukuma hawajawahi kuchagua kiongozi kwa kabila lake never.

Kwanza huko kanda ya ziwa hasa mikoa ya wasukuma wengi kuna wabunge wengi wenye asili ya Asia na sehemu zingine wachaga kabisa.

Uchaguzi wa 2020 kanda ya ziwa ilikuwa against Magufuli ndiyo maana Lissu alipata support kubwa kanda ya ziwa kuliko hata Dar es Saalam mnakodai mmeelimika.
Mkuu ulitazama matokeo au unazungumza tu kufurahisha baraza?! Lissu tena heee! hivi bado anazungumziwa humu?
 
Mkuu zamani watu walikuwa hawana Mwamko wa kimfumo kuhusiana na Uongozi wa Vyama vya Siasa. Hili lazima tulikubali kwa maana ya kwamba Kabla ya Uhuru Vyama vya Siasa viliwakilisha Makabila au maeneo fulani. Na hata tuliporudi na Vyama vingi 1993 tulikuja na mfumo huo huo kutazama Maslahi ya JIMBO ama Maeneo. Hivyo, Mbowe alipochukua Uongozi watu wengi walichukulia kama Mapinduzi ka hijack Chama! Wagombea wengi walianza nao kutoka Kaskazini kuliko mikoa na majimbo mengineyo!

Vile vile CUF kina Maalim Seif kupigania Znz.. CCM pekee ndio kilionekana Chama chenye ofisi zake Tz nzima. Zitto alipoanza na ACT bila kujijua akaweka nguvu kubwa Kigoma...Leo ACT nguvu kubwa ipo Zanzibar Why? Usiniulize mimi..

..hoja yangu ni kwamba kuna mazoea yameota mizizi ya kutoa kauli za kibaguzi dhidi ya Wachaga.

..wako wengine wanadai eti hata Baba wa Taifa aliwahi kusema Wachaga ni moja ya makabila ambayo hayastahili kupewa uongozi wa juu hapa nchini.

..kuna wengine wanadai wakati wa harakati za uhuru Wachaga walipinga uhuru wa Tanganyika na wakadai uhuru wa kabila lao peke yao.

..Ni uongo na uzandiki ambao umeendelea kwa miaka mingi na matokeo yake ndiyo hayo yanajidhihirisha ktk majukwaa ya kisiasa, vyombo vya habari, na mitandao ya kijamii.

..Mgombea wa kwanza wa Ubunge wa Chadema alikuwa Dr.Walid Amani Kaburu toka Kigoma. Sikubaliani na madai yako kuwa Chadema ilianza kujitandaza kanda ya kaskazini au Uchagani.

..Pia waasisi wa Chadema walitoka maeneo mbalimbali ya Tanzania na wengi wakiwa si wenyeji wa Kilimanjaro.

..Hata Freeman Mbowe alishindwa uchaguzi wa 1995 alipogombea jimbo la Hai. Kwa hiyo si kweli kwamba Wachaga au wenyeji wa mikoa ya " kaskazini " walitoa blind support kwa Chadema au vyama vya upinzani.

NB:

..Ninao USHAHIDI kwamba Mangi Thomas Marealle aliunga mkono madai ya Uhuru kwa Watanganyika wote.

..Ninao USHAHIDI pia kwamba Mwalimu Julius Nyerere aliunga mkono uwepo wa Mangi Marealle mbele ya kamati ya makoloni ya UNO.
 
Kwani Tanzania inakadiriwa kuwa na watu wa ngapi?

Na je wasukuma ni asilimia ngapi ya wa Tz?
Tz hasa bara inamikoa 26 wasukuma ni majority katika mikoa 6. Shy, Simiyu, Mza, Geita katavi na Tabora. Hii ni % 25 ya mikoa. Kama Magufuli angefata wiano wa kikabila ama mikoa ilifaa Wasukuma kuwa 25 asimilia ya wateule. Hivyo kati ya mawaziri 25. Wasukuma walifaa kuwa 5. Lakini mawaziri wasukuma wa JMT ni 4 tu. Hivyo Magufuli alibania Wasukuma kiuwakilishi.
 
Wako 20, katika kabila lenye 15% ya Watanzania. Ukitaka majina nitakupa, lakini wewe eleza jinsi hili lilivyo na ukabila.
Wasukuma ni kati ya 25-30 ya Watz na kufika 2100 wasukuma watukua 50+ ya watz.
 
Tz hasa bara inamikoa 26 wasukuma ni majority katika mikoa 6. Shy, Simiyu, Mza, Geita katavi na Tabora. Hii ni % 25 ya mikoa. Kama Magufuli angefata wiano wa kikabila ama mikoa ilifaa Wasukuma kuwa 25 asimilia ya wateule. Hivyo kati ya mawaziri 25. Wasukuma walifaa kuwa 5. Lakini mawaziri wasukuma wa JMT ni 4 tu. Hivyo Magufuli alibania Wasukuma kiuwakilishi.

..Waislamu nasikia walikuwa watatu.

..Je, Waislamu nao walibaniwa?
 
..hoja yangu ni kwamba kuna mazoea yameota mizizi ya kutoa kauli za kibaguzi dhidi ya Wachaga.

..wako wengine wanadai eti hata Baba wa Taifa aliwahi kusema Wachaga ni moja ya makabila ambayo hayastahili kupewa uongozi wa juu hapa nchini.

..kuna wengine wanadai wakati wa harakati za uhuru Wachaga walipinga uhuru wa Tanganyika na wakadai uhuru wa kabila lao peke yao.

..Ni uongo na uzandiki ambao umeendelea kwa miaka mingi na matokeo yake ndiyo hayo yanajidhihirisha ktk majukwaa ya kisiasa, vyombo vya habari, na mitandao ya kijamii.

..Mgombea wa kwanza wa Ubunge wa Chadema alikuwa Dr.Walid Amani Kaburu toka Kigoma. Sikubaliani na madai yako kuwa Chadema ilianza kujitandaza kanda ya kaskazini au Uchagani.

..Pia waasisi wa Chadema walitoka maeneo mbalimbali ya Tanzania na wengi wakiwa si wenyeji wa Kilimanjaro.

..Hata Freeman Mbowe alishindwa uchaguzi wa 1995 alipogombea jimbo la Hai. Kwa hiyo si kweli kwamba Wachaga au wenyeji wa mikoa ya " kaskazini " walitoa blind support kwa Chadema au vyama vya upinzani.

NB:

..Ninao USHAHIDI kwamba Mangi Thomas Marealle aliunga mkono madai ya Uhuru kwa Watanganyika wote.

..Ninao USHAHIDI pia kwamba Mwalimu Julius Nyerere aliunga mkono uwepo wa Mangi Marealle mbele ya kamati ya makoloni ya UNO.
Mimi nadhani unashindwa kuelewa Undani wa hisia zote hizi kwa sababu Unaamini nchi yetu haina Ukabila. Na ndivyo tulivyofunzwa na kufundwa lakini Ukabila upo na hata Udini Upo japo sii Offcial. Hivyo usichukulie mawazo ya mtu mmoja kuwa ndivyo tafsiri ya Kila Mtanzania. Zamani in the 60s na 70s tukikua,p tuliaminiwa pia Makabila matatu hayafai kuongoza nchi. Wahaya, Wanyakyusa na Wachagga kwa sababu ati wamesoma sana na wanadhau sana makabila mengine. Lakini kwenye takwimu kabila lilokuwa na Wasomi wengi lilikuwa kabila dogo kabisa la Wakerewe.

Sasa ukiniuliza mimi sababu zake nitakwambai ni kutokana na exprerience za watu walotutangulia, waloishi na hao watu wakaona Ubaguzi wao na ndio maana wakasema kuna kundi la Wachagga, Wahaya au Wanyakyusa. Ya Marealle ni kweli alitaka Uhuru wa Kaskazini kuigawa Tanganyika na nasikia.alikwenda mpaka Uingereza kuwakilisha hoja yake. Kweli sii kweli mimi sina uhakika ni maandishi tu tunayosoma, wewe mweye Ushahidi uweke wazi nasi tupate kujifunza.
 
Mimi nadhani unashindwa kuelewa Undani wa hisia zote hizi kwa sababu Unaamini nchi yetu haina Ukabila. Na ndivyo tulivyofunzwa na kufundwa lakini Ukabila upo na hata Udini Upo japo sii Offcial. Hivyo usichukulie mawazo ya mtu mmoja kuwa ndivyo tafsiri ya Kila Mtanzania. Zamani in the 60s na 70s tukikua,p tuliaminiwa pia Makabila matatu hayafai kuongoza nchi. Wahaya, Wanyakyusa na Wachagga kwa sababu ati wamesoma sana na wanadhau sana makAsaabila mengine. Lakini kwenye takwimu kabila lilokuwa na Wasomi wengi lilikuwa kabila dogo kabisa la Wakerewe.

Sasa ukiniuliza mimi sababu zake nitakwambai ni kutokana na exprerience za watu walotutangulia, waloishi na hao watu wakaona Ubaguzi wao na ndio maana wakasema kuna kundi la Wachagga, Wahaya au Wanyakyusa. Ya Marealle ni kweli alitaka Uhuru wa Kaskazini kuigawa Tanganyika na nasikia.alikwenda mpaka Uingereza kuwakilisha hoja yake. Kweli sii kweli mimi sina uhakika ni maandishi tu tunayosoma, wewe mweye Ushahidi uweke wazi nasi tupate kujifunza.

..Asante kwa kukiri kwamba UBAGUZI upo.

..Nashukuru zaidi kwa ushuhuda wako kwamba ndugu zetu hawa wamekuwa wakiandamwa kwa miaka mingi.

..Je, hiyo hoja ya Mangi Marealle unao ushahidi kuwa alipinga uhuru wa Tanganyika?

..Je, una ushahidi kwamba aliungwa mkono na watu wa kabila lake?
 
Ukabila upo lakini sio systematic! Elewa kwamba Ili Ukabila uitwe hivyo tribaliSM laziwa upitie mfuko wa Kiutawala katika jamii. Kwa hiyo tunapoongelea Ukabia na Udini upo ina maana wa mtu mmoja mmoja tofauti kabisa na ukitazama Ushoga. Na kuhusu Marrealle subiri nitachimbua maktaba na makaburi yangu nadhani nilisoma pahala ama ninazo nukuu zake..kitabu chaitwa - Life in Tanganyika in the fifties

Ukabila upo lakini sio systematic! Elewa kwamba Ili Ukabila uitwe hivyo tribaliSM laziwa upitie mfuko wa Kiutawala katika jamii. Kwa hiyo tunapoongelea Ukabia na Udini upo ina maana wa mtu mmoja mmoja tofauti kabisa na ukitazama Ushoga. Na kuhusu Marrealle subiri nitachimbua maktaba na makaburi yangu nadhani nilisoma pahala ama ninazo nukuu zake..

..ili ubaguzi uwe systemic inabidi kwanza ulelewe kidogo kidogo kama inavyotokea sasa hivi.

..udini na ukabila tunavyoulea sasa hivi huko mbele ya safari utakuja kuwa tatizo kubwa kwa nchi yetu.

NB:

..hapa chini nina maelezo ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akikubaliana na maelezo aliyoyatoa Mangi Thomas Marealle mbele ya kamati ya makoloni ya UNO.

..sasa linganisha maelezo ya Mwalimu Nyerere na uongo ambao umekuwa ukienezwa kwa muda mrefu kwamba Mangi Marealle alikwenda UNO na kumpinga Mwalimu Nyerere na harakati za uhuru wa Tanganyika.

HEARING OF PETITIONERS (continued) At the invitation of the President, Mr. Fletcher-Cooke, special representative of the Administering Au-thority for the Trust Territory of Tanganyika, Marealle II, Paramount Chief of the Chaggas, and Mr. Nyerere, President of the Tanganyika African National Union, took places at the Council table.

1. Mr. NYERERE (Tanganyika African National Union) welcomed the fact that for the first time he was not alone in appearing before the United Nations to ex-press the feelings of the people of Tanganyika. He commended to the Council's attention the statement made at the previous meeting by Chief Marealle II, who had expressed what everyone in Tanganyika would agree were the people's fears and hopes about the future.

2. The Tanganyika African National Union (TANU) had asked the Government of Tanganyika to make a statement to the effect that Tanganyika would be developed as a democratic State and primarily an African State, since 98 per cent of the population of the country was African. Such a statement was particularly 1:nportant in view of the fact that in all the plural socie-ties in Africa which had been or were under United Kingdom control the policy applied had resulted in a majority of indigenous people being controlled by a Government dominated by an immigrant minority. It was to be feared that the result might be the same in Tanganyika. The Constitution was at present weighted in favour of the immigrant minority and there was nothing to indicate . that the country might one day become a democratic State

cc Nguruvi3, Pascal Mayalla, Mzee Mwanakijiji
 
Nimekuwa nikisikia hizi maneno ama uzushi wa maneno kua Hayati Magufuli ni mkabila, ana upendeleo wa Wasukuma, mara hili mara lile.

Uzushi huu umekuwa ukipigiwa chapuo na watu wa kanda moja lakini pia uzushi huu umebebwa na Chadema kama mojawapo ya tuhuma dhidi ya Magufuli.

Leo kwenye press, mwenyekiti wa Chadema Bw. Mbowe amesisitiza kwenye mabaya ya Hayati Magufuli kua alikua na upendeleo wa kindugu(neportism). Kwa maana kwamba Magufuli alijaza ndugu zake na jamaa zake kweye taasisi za serikali na vyombo vya dola kwa upendeleo wa undugu na ukabila.

Kwa Dunia hii ya teknolojia, nilitegemea Chadema na wenzake walete ushahidi wa numbers, mfano, Wakurugenzi wa Halmashauri wako 250, Wasukuma wako 80, ama wakurugenzi wa mashirika ya umma wako 200, wasukuma wako 100, ama wakuu wa vyuo vya serikali wako 50, wasukuma ama ndugu zake na Magufuli wako 20.

Ama nilitegemea Chadema waje na takwimu za mawaziri wako labda 30, wasukuma 12, labda majaji nchi nzima wako 100, wasukuma wako 40.

Wangekua na hizo statistics hapo unaweza kufanya analysis na ukasema kweli kuna ukabila na upendeleo ama kweli Magufuli alikua mkabila na mwenye upendeleo wa kindugu kwenye kutoa nafasi.

Nashindwa kuwaelewa Chadema, hoja ya ukabila na upendeleo wa Magufuli uko kwenye kitu gani? Kwa nini chama kama Chadema waamue kutunga uzushi kama huu usio na ushahidi wowote na waupigie debe hadi kwenye vyombo vya habari?

Kwa nini Chama mjikite kwenye kutunga na kusambaza uzushi kama huu?

CHADEMA, msisahau tunajua ukabila mlionao kwenye CHama, kuanzia mwenyekiti, katibu mkuu, mkurugenzi wa fedha, mkurugenzi wa itikadi na wakurugenzi wote kua wa kabila moja.
Acha uzushi kwa Chadema. Mimi siyo wa kaskazini lakini niliona ukabila na ukanda umeshamiri. Mkoani kwetu hata lile zao la biashara waliingilia na wananchi wakapata hasara kubwa mno. Bora kampeni hakukanyaga na ikafanyika figisu ili Lissu asiende huko. Maumivu yetu ni mengi. Upendeleo wa waziwazi
 
Nimekuwa nikisikia hizi maneno ama uzushi wa maneno kua Hayati Magufuli ni mkabila, ana upendeleo wa Wasukuma, mara hili mara lile.

Uzushi huu umekuwa ukipigiwa chapuo na watu wa kanda moja lakini pia uzushi huu umebebwa na Chadema kama mojawapo ya tuhuma dhidi ya Magufuli.

Leo kwenye press, mwenyekiti wa Chadema Bw. Mbowe amesisitiza kwenye mabaya ya Hayati Magufuli kua alikua na upendeleo wa kindugu(neportism). Kwa maana kwamba Magufuli alijaza ndugu zake na jamaa zake kweye taasisi za serikali na vyombo vya dola kwa upendeleo wa undugu na ukabila.

Kwa Dunia hii ya teknolojia, nilitegemea Chadema na wenzake walete ushahidi wa numbers, mfano, Wakurugenzi wa Halmashauri wako 250, Wasukuma wako 80, ama wakurugenzi wa mashirika ya umma wako 200, wasukuma wako 100, ama wakuu wa vyuo vya serikali wako 50, wasukuma ama ndugu zake na Magufuli wako 20.

Ama nilitegemea Chadema waje na takwimu za mawaziri wako labda 30, wasukuma 12, labda majaji nchi nzima wako 100, wasukuma wako 40.

Wangekua na hizo statistics hapo unaweza kufanya analysis na ukasema kweli kuna ukabila na upendeleo ama kweli Magufuli alikua mkabila na mwenye upendeleo wa kindugu kwenye kutoa nafasi.

Nashindwa kuwaelewa Chadema, hoja ya ukabila na upendeleo wa Magufuli uko kwenye kitu gani? Kwa nini chama kama Chadema waamue kutunga uzushi kama huu usio na ushahidi wowote na waupigie debe hadi kwenye vyombo vya habari?

Kwa nini Chama mjikite kwenye kutunga na kusambaza uzushi kama huu?

CHADEMA, msisahau tunajua ukabila mlionao kwenye CHama, kuanzia mwenyekiti, katibu mkuu, mkurugenzi wa fedha, mkurugenzi wa itikadi na wakurugenzi wote kua wa kabila moja.
Wala si uongo. Sema baada ya kelele alipunguza kidogo. Mfano angalia uteuzi wake wa wakuu wa mikoa wa kwanza 2016 alioanza nao . Utaona kwa mikoa hii michache home boys walikuwa wangapi .@Gambino
 
Back
Top Bottom