Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazinza siyo wenyeji wa Chato acha kudanganya. Wazinza wanapatikana Sengerema na Geita. Wenyeji wa asili wa Chato ni wasubi lakini kuanzia miaka ya hamsini katikati wasukuma walianza kuhamia maeneo hayo kwa wingi kwa ajili kilimo cha pamba, baadaye wasubi kuanza kuondoka maeneo hayo na kuwaacha wasukuma wakitamalaki maeneo hayo. Hata hiyo Biharamulo unayoitaja sasa hivi wasukuma ndio kabila kuu na wasubi wamebaki wachache sana. Hivyo Chato kwwa sasa ni u
Wazinza siyo wenyeji wa Chato acha kudanganya. Wazinza wanapatikana Sengerema na Geita. Wenyeji wa asili wa Chato ni wasubi lakini kuanzia miaka ya hamsini katikati wasukuma walianza kuhamia maeneo hayo kwa wingi kwa ajili kilimo cha pamba, baadaye wasubi kuanza kuondoka maeneo hayo na kuwaacha wasukuma
Daaah wakati mwingine tuwe tunabishana kwa sababu maanake unalazimisha vitu ili mradi tu kutaki kuamini njenya kile.unachoamini. Kwanza Wasubi asili yao ni wakazi wa Biharamulo na sii Wilaya nzima kama unavyochukuliwa.Wazinza siyo wenyeji wa Chato acha kudanganya. Wazinza wanapatikana Sengerema na Geita. Wenyeji wa asili wa Chato ni wasubi lakini kuanzia miaka ya hamsini katikati wasukuma walianza kuhamia maeneo hayo kwa wingi kwa ajili kilimo cha pamba, baadaye wasubi kuanza kuondoka maeneo hayo na kuwaacha wasukuma wakitamalaki maeneo hayo. Hata hiyo Biharamulo unayoitaja sasa hivi wasukuma ndio kabila kuu na wasubi wamebaki wachache sana. Hivyo Chato kwwa sasa ni usukumani tu.
Sensa ya lini hii? Usije ukawa umeangalia idadi ya watu kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa Nyanza ukadhani WOTE ni wasukuma. Mfano Mkoa wa Mwanza kuna watu wengi tu kutoka makabila mengineSio asilimia 15 tu,wasukuma mpk sasa wako milioni 21 kwa watu milioni 60,utawakwepaje hao kina ngosha?
Kanda ya ziwa mmejaa ushamba na ulimbukeni ndio maana msukuma mmoja alipo pewa nchi akadhani yeye yupo juu ya kila kitu lakini mungu akamwambia HAPANA CORONA IPO JUU YAKO na akamnyamazisha hadi sasa.Kanda ya ziwa. Tunasubiri 2025 CHADEMA mje kanda ya ziwa tuwanyooshe
Mkuu kuzungumzia uchaguzi wa 2020 kwa mtu kama wewe ni kujishushia heshima uliyonayo tu.Sasa mkuu kama hata wabunge hamkufika 1/3 mngewezaje Kushinda Urais? Unajua vitu vingine ni common sense tu.
Yaani mtu analalamika kuibiwa Urais wakati hata Wabunge 100 hana! Utasikia kura zimeibiwa! Onyesha Ushahidi oooh Halima Mdee alizikamata. Okay ziko wapi? Aaaah mtuhumiwa alikimbia tukazichoma moto! Really?. Leo hii huyo Halima Mdee hamumtaki tena sio Mwanachama! Na kama kweli waliibiwa Ushindi wangeanza na kurudisha Wabunge wao.
Unless kama unazungumza kishabiki. Magufuli hakuwa na uwezo wa kumshinda Lissu kama uwanja ungekuwa sawa.Mkuu ulitazama matokeo au unazungumza tu kufurahisha baraza?! Lissu tena heee! hivi bado anazungumziwa humu?
Na hakuwa na utuBw. Gambino ukiachili mbali wewe mwenyewe umekuja na hoja ya mfano wa takwimu kwa kupinga tuhuma dhidi MZANDIKI marehem MAGUFULI bila ya kutewekea takwimu halisi ili kuvunja hoja ya tuhuma hizo hivyo nadhani unazidi kuukoleza moto wa tuhuma hizo
KIMARA: Walivunjiwa Nyumba zao kwa sababu walijenga kiholela na hakuna fidia kwa sababu tunasimamia sheria.
MWANZA: Walinusurika kuvunjiwa kwa sababu MAGUFULI alizuia kwa madai kuwa wale ni wapiga kura wake.
Naomba kukuuliza swali, MAGUFULI aliwezaje kuwatofautisha watu wa KIMARA na watu wa MWANZA kwa kura walizompigia???
MAGUFULI hakuwa tu MKABILA bali pia alikua MBAGUZI wa KIJAMII maana KIMARA sio eneo la kabila fulani kwa kifupi yule mzee MUNGU kamchukua mapema ili kuinusuru nchi, kwa sababu alikua anapanda sumu mbaya sana miongoni mwa jamii ya watanzania
Alikua anajenga misingi ya CHUKI, UHASAMA, VISASI, NONGWA, UBAGUZI, UPENDELEO, UBINAFSI, UDINI, DHARAU, UBADHIRIFU, UONEVU NA UMUNGU MTU
Nadhani uko sahihi ila bahati mbaya huelewi historia ya makabila haya ya kanda ya ziwa. Wakati wa ukoloni eneo ambalo lilijulikana kama uzinza ni yale ambayo yalikuwa ni utemi wa Karumo, Buchosa na Busambilo ambayo yalikuwa katika Wilaya ya Geita kabla ya Sengerema kuwa Wilaya hapo mwaka 1975. Ndio maana nikasema wazinza si wenyeji wa asili wa Chato kama unavyotaka kulazimisha. Hiyo Chato ilikuwa ni katika utemi ulioitwa Usubi ambayo ilikuwa wilaya yote ya Biharamulo. Na mpaka wa Biharamulo na Geita ni hapo kwenye mji mdogo wa Katoro ambayo iko Geita na Buselesele (usubi) ambayo iko Biharamulo kabla ya kuzaliwa wilaya ya Chato mwaka mwaka 2002. Nimekwambia Wasukuma na Wazinza walianza kuhamia Usubi(Chato) mwanzoni mwa miaka ya hamsini kwa ajili ya fursa ya kilimo cha pamba na kuanza kuwameza wasubi ambao ni wachache, pamoja na wasukuma kuhamia usubi hata wajita nao wengi walianza kuhamia mwambao huo wa Chato lakini wao hasa ni kwa ajili ya uvuvi. Pamoja na hayo hata huko wilaya ya Biharamulo ya sasa wasukuma wamejaa na kuwafanya wenyeji wa asili (wasubi) kuwa kama visiwa vidogo kwenye bahari kuu (wasukuma). Kwa hiyo narudia kusema kwamba wenyeji wa asili wa Chato siyo wazinza bali wasubi.Daaah wakati mwingine tuwe tunabishana kwa sababu maanake unalazimisha vitu ili mradi tu kutaki kuamini njenya kile.unachoamini. Kwanza Wasubi asili yao ni wakazi wa Biharamulo na sii Wilaya nzima kama unavyochukuliwa.
Na Wazinza waliishi kando ya ziwa vijiji vya Chato kuelekea Geita ambayo iko mbali kabisa na ziwa. Kwa hiyo tuweke vitu sawa hapa kuwa kuna Chato mji na Chato wilaya. Kuna Geita Mji na Geita Mkoa. Huu mkoa wa Geita umechukua sehemu za Mwanza, Shinyanga na Kagera hivyo Wasukuma wapo kutokana na kiografia ya mikoa ilounda Geita.
Na Hata Mwanza hutasema ni Mkoa wa Wasukuma maana kumejaa watu wa Makabila tofauti ktk maeneo madogo sana wengine wahamiaji japokuwa Kabila kubwa linajulikana. Aidha chukulia Mara inajulikana kama Mkoa wa Wajita lkn kuna makabila mengi inategemea na eneo tunalozungumzia.
Chato sii ya Wasukuma, hata wao ni wahamiaji, Wasubi na Wazinza ni majirani wote waliishi Wilaya ya Biharamulo katika.maeneo tofauti. Hizi habari za Wasukuma gang sijui Sukumaland ni Siasa za Ukanda ziloanzishwa na Chadema na hatari yake tunaiona sasa hivi.
Na pengine hii ndio hofu alokuwa nayo Nyerere juu ya Wakaskazini maanake kizazi hiki wamerithi fikra za wazee wao kuhofia yasokuwepo. Kuna Usemi usemao - Who ever steal you past control your future. Kuna watu wanahofia kupoteza Ukabila wao maana Tanzania hatuna Ukabila labda kuna Prejudice!
Kanda ya ziwa mmejaa ushamba na ulimbukeni ndio maana msukuma mmoja alipo pewa nchi akadhani yeye yupo juu ya kila kitu lakini mungu akamwambia HAPANA CORONA IPO JUU YAKO na akamnyamazisha hadi sasa.
Hizi ni magufuli type unafikiri nini hapo?Kama wasukuma ni wajinga wewe ndio mjinga zaidi
Hivi aliyeanzisha uzushi kuwa CDM ni chama cha kanda ya kaskazini, CUF cha waislamu alipata kukemewa? Aliyesema vyama tofauti na CCM vikishika dola kutakuwa na vita kama Rwanda, Libya au Iraq alikanywa? Je...? Je....?Nimekuwa nikisikia hizi maneno ama uzushi wa maneno kua Hayati Magufuli ni mkabila, ana upendeleo wa Wasukuma, mara hili mara lile.
Uzushi huu umekuwa ukipigiwa chapuo na watu wa kanda moja lakini pia uzushi huu umebebwa na Chadema kama mojawapo ya tuhuma dhidi ya Magufuli.
Leo kwenye press, mwenyekiti wa Chadema Bw. Mbowe amesisitiza kwenye mabaya ya Hayati Magufuli kua alikua na upendeleo wa kindugu(neportism). Kwa maana kwamba Magufuli alijaza ndugu zake na jamaa zake kweye taasisi za serikali na vyombo vya dola kwa upendeleo wa undugu na ukabila.
Kwa Dunia hii ya teknolojia, nilitegemea Chadema na wenzake walete ushahidi wa numbers, mfano, Wakurugenzi wa Halmashauri wako 250, Wasukuma wako 80, ama wakurugenzi wa mashirika ya umma wako 200, wasukuma wako 100, ama wakuu wa vyuo vya serikali wako 50, wasukuma ama ndugu zake na Magufuli wako 20.
Ama nilitegemea Chadema waje na takwimu za mawaziri wako labda 30, wasukuma 12, labda majaji nchi nzima wako 100, wasukuma wako 40.
Wangekua na hizo statistics hapo unaweza kufanya analysis na ukasema kweli kuna ukabila na upendeleo ama kweli Magufuli alikua mkabila na mwenye upendeleo wa kindugu kwenye kutoa nafasi.
Nashindwa kuwaelewa Chadema, hoja ya ukabila na upendeleo wa Magufuli uko kwenye kitu gani? Kwa nini chama kama Chadema waamue kutunga uzushi kama huu usio na ushahidi wowote na waupigie debe hadi kwenye vyombo vya habari?
Kwa nini Chama mjikite kwenye kutunga na kusambaza uzushi kama huu?
CHADEMA, msisahau tunajua ukabila mlionao kwenye CHama, kuanzia mwenyekiti, katibu mkuu, mkurugenzi wa fedha, mkurugenzi wa itikadi na wakurugenzi wote kua wa kabila moja.
Wakishika dola hao itakuwa hivyo.Hivi aliyeanzisha uzushi kuwa CDM ni chama cha kanda ya kaskazini, CUF cha waislamu alipata kukemewa? Aliyesema vyama tofauti na CCM vikishika dola kutakuwa na vita kama Rwanda, Libya au Iraq alikanywa? Je...? Je....?
Ikiwa yale watu waliaminishwa hili linawakera nini au ni kweli?
Ni kama ilivyokuwa utaifishaji majumba na viwanda wakati wa Azimio la Arusha au Uhujumu uchumi wa miaka ya themanini achilia mbali yaliyoendelea 2015-2020 yanayofanana na yale ya nyuma...Kuvunjia nyumba watu walioko Dar,kisha Mwanza akaamuru wasivunjiwe kwa kuwa mdio waliompa kura hiyo tu ni upendeleo wa kiwango cha SGR.
Je yale ya Mkiru, maiti za viroba, upoteaji wa watu... dhulma dhidi ya wafanyabiashara na wawekezaji vilifanywa na CDM?Wakishika dola hao itakuwa hivyo.
Yani akabomolea watu wa kimara bila fidia Ila alipofika mwanza kwenye ubomoaji kupisha ujenzi/upanuzi wa barabara ya furahisha pamoja na upanuzi wa airport akasema msiwasumbue hao no wapiga kura wangu. Sijui kama unaona hii double standard???Nimekuwa nikisikia hizi maneno ama uzushi wa maneno kua Hayati Magufuli ni mkabila, ana upendeleo wa Wasukuma, mara hili mara lile.
Uzushi huu umekuwa ukipigiwa chapuo na watu wa kanda moja lakini pia uzushi huu umebebwa na Chadema kama mojawapo ya tuhuma dhidi ya Magufuli.
Leo kwenye press, mwenyekiti wa Chadema Bw. Mbowe amesisitiza kwenye mabaya ya Hayati Magufuli kua alikua na upendeleo wa kindugu(neportism). Kwa maana kwamba Magufuli alijaza ndugu zake na jamaa zake kweye taasisi za serikali na vyombo vya dola kwa upendeleo wa undugu na ukabila.
Kwa Dunia hii ya teknolojia, nilitegemea Chadema na wenzake walete ushahidi wa numbers, mfano, Wakurugenzi wa Halmashauri wako 250, Wasukuma wako 80, ama wakurugenzi wa mashirika ya umma wako 200, wasukuma wako 100, ama wakuu wa vyuo vya serikali wako 50, wasukuma ama ndugu zake na Magufuli wako 20.
Ama nilitegemea Chadema waje na takwimu za mawaziri wako labda 30, wasukuma 12, labda majaji nchi nzima wako 100, wasukuma wako 40.
Wangekua na hizo statistics hapo unaweza kufanya analysis na ukasema kweli kuna ukabila na upendeleo ama kweli Magufuli alikua mkabila na mwenye upendeleo wa kindugu kwenye kutoa nafasi.
Nashindwa kuwaelewa Chadema, hoja ya ukabila na upendeleo wa Magufuli uko kwenye kitu gani? Kwa nini chama kama Chadema waamue kutunga uzushi kama huu usio na ushahidi wowote na waupigie debe hadi kwenye vyombo vya habari?
Kwa nini Chama mjikite kwenye kutunga na kusambaza uzushi kama huu?
CHADEMA, msisahau tunajua ukabila mlionao kwenye CHama, kuanzia mwenyekiti, katibu mkuu, mkurugenzi wa fedha, mkurugenzi wa itikadi na wakurugenzi wote kua wa kabila moja.
Hivi aliyeanzisha uzushi kuwa CDM ni chama cha kanda ya kaskazini, CUF cha waislamu alipata kukemewa? Aliyesema vyama tofauti na CCM vikishika dola kutakuwa na vita kama Rwanda, Libya au Iraq alikanywa? Je...? Je....?
Ikiwa yale watu waliaminishwa hili linawakera nini au ni kweli?