Mleta mada hatofautiani sana na TlaaTlaah, inapokuja kwenye maelezo kwa nini anajitoa akili zote kupigania hicho wanacxhokipigania chini ya Samia Suluhu Hassan.NB: Stop exposing your hypocrisy and let them be kwani chama ni chao na malengo, mikakati, direction na goals wamejipangia wenyewe
Haya maswala ya "kuchangia" ni muhimu sana yawekewe tahadhari kubwa ndani ya chama...Nadhani alitaka kusema yeyote anayetaka kumchangia ktk harakati za kisiasa apeleke mchango kwa chama na sio kwake.
..Ni vizuri Watanzania tukajenga utamaduni wa kuchangia taasisi / chama na sio viongozi. Pia ni vizuri kuwa na loyalty kwa chama na sio mtu, au kiongozi.
Hili la kupoteza umaarufu lisikupe taabu sana. Subiri tiu uone watakavyopata taabu bila ya wewe na wengineo kuchochea moto kwa sababu zilizo wazi kabisa.Anyway, mimi nachosema, Chadema wanalamizika kulishughulikia swala hili mapema laa sivyo, mtapoteza Umaarufu wenu Kitaifa. Lema alisema maneno fulani mazito sana! Nataka atokee mtu wa Chadema amjibu Lema.
Tofautisha kati ya matumizi ya michango ya chama, hata CCM wanavyopokea mabilioni kutoka kwa wafanyabiashara hakuwi mjadala lakini linapokuja suala la pesa za walipa kodi na rasilimali za nchi ndipo kunapokuwa na ulazima wa accountability, transparency and answerability.Nimeuliza swali halijajibiwa mpaka sasa, nasoma michango mingi ipo upande wa kutetea lakini mnaruka HOJA yangu. Narudia mara ya tatu (3)
Taarifa zilitoka na.kusambaa kuwa Lema, Sugu na Boniface ndio walohoji swala la Heche katika Mkutano wa Kamati kuu ya Chama Kigoma. Je, Kweli au Uongo?
Kisha nilisema mwanzoni Ufisadi wa Samia unatuhumiwa na watu wa Chadema.na Wanaharakati kweli sii kweli?, hivi mnataka kunambia nikubaliane na Viongozi wa CCM wanaosema hizo tuhuma hazina Ukweli kwa sababu zinatolewa na Chadema na Wanaharakati?
Katika Kisiasa kote duniani, tuhuma zote za kisiasa hutoka upande wa pili hazitoki ndani ya Chama. Aghalabu kusikia mtu wa ndani ya chama akimshutumu kiongozi wake, nimeshuhudia hili Chadema mwaka jana akishutumiwa Mbowe! Leo kwa Heche mnataka itokee vivyo hivyo ndio muamini.
Hata huko nje, Kiongozi anapofuja fedha za Umma, tuhuma hutoka upande wa Upinzani na ndio haswa sababu mojawapo ya kuwa na Vyama vingi. Kuna macho yanakutazama kila.kona na kila upande.
Kinachotakiwa ni majibu sio kukaa kimya ati tuhumanzimeletwa na Ma CCM. Kwani Samia na Abdul wanatuhumiwa na Wanachama wa.CCM? Mauaji ya Oktober 29 mnataka atokee mtu wa CCM kulaani ndio iwe kweli? Haiwezekani watalindana tu, NaChadema inaonekana ni Udaku! Sasa Ukweli utatoka wapi? What's wrong with you my people!
Na kwa.jinsi mnavyotetea hili swala mimi naona kama mnamtetea Heche kama CCM wanavyomtetea Samia na Mwigulu Mchemba bila majibu ya tuhuma tunazosikia. Mind you - Uongo ukisema.sana hugeuka Ukweli.
Anyway, mimi nachosema, Chadema wanalamizika kulishughulikia swala hili mapema laa sivyo, mtapoteza Umaarufu wenu Kitaifa. Lema alisema maneno fulani mazito sana! Nataka atokee mtu wa Chadema amjibu Lema.
Tuchunguze vipi jembe letu hili la nguvu!? Zaidi tunahitaji kumpa nguvu ya kutupigania sisi wananchi tuliotawaliwa na mkoloni mweusi.Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.
Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?
b
WE LOVE YOU HECHETuchunguze vipi jembe letu hili la nguvu!? Zaidi tunahitaji kumpa nguvu ya kutupigania sisi wananchi tuliotawaliwa na mkoloni mweusi.
Nasema hivi, hakuna kiwango cha Ufosadi katika Ufisadi. Jizi ni jizi tu, tapeli tapeli tu, haijalishi kaiba wapi au kamtapeli nani? Leo kwangu kesho kwako! Kataa wahuni...Hili la kupoteza umaarufu lisikupe taabu sana. Subiri tiu uone watakavyopata taabu bila ya wewe na wengineo kuchochea moto kwa sababu zilizo wazi kabisa.
Waacheni CHADEMA wayamalize wenyewe, huko huko ndani ya chama chao. kama kuna mamluki mliowawekea matumaini kukivuruga chama, waacheni wapambane huko huko ndani ya chama; msiwaingizie sumu zenu toka huku nje.
Ni aibu kwa mtu kama wewe kulinganisha shutuma zinazoelekezwa kwa Samia na wenzake kwa uchafu unaofanywa siyo ndani ya chama chao tu, bali kwa taifa zima; halafu ulinganishe na mnayowafanyia CHADEMA, eti ni shutuma tu; huku lengo likiwa ni kukisambaratisha chama.
Huna nia njema katika hayo maswali unayouliza.
Binafsi sijui na sifanyii kazi habari za kusikika hadi wahusika au viongozi wao watakapo thibitishaTaarifa zilitoka na.kusambaa kuwa Lema, Sugu na Boniface ndio walohoji swala la Heche katika Mkutano wa Kamati kuu ya Chama Kigoma. Je, Kweli au Uongo?
Hao wanaharakati tuliwataka watoe ushahidi. Kuna ushahidi uliwekwa hadi kupelekea watu kusema ''kuna matumizi mabaya' ya fedha za Umma.Kisha nilisema mwanzoni Ufisadi wa Samia unatuhumiwa na watu wa Chadema.na Wanaharakati kweli sii kweli?, hivi mnataka kunambia nikubaliane na Viongozi wa CCM wanaosema hizo tuhuma hazina Ukweli kwa sababu zinatolewa na Chadema na Wanaharakati?
Ni kweli ! kuna watu wa CCM wanaweza kuongea ukafikiria. Hivi Selasini, Mchome, Lucas n.k. nao ni wa kusikilizwa?Katika Kisiasa kote duniani, tuhuma zote za kisiasa hutoka upande wa pili hazitoki ndani ya Chama.
Ushahidi upo wapi? Katika wote walio ongea tupe mmoja tualiyetoa hata ushahidi wa mashakaHata huko nje, Kiongozi anapofuja fedha za Umma, tuhuma hutoka upande wa Upinzani na ndio haswa sababu mojawapo ya kuwa na Vyama vingi. Kuna macho yanakutazama kila.kona na kila upande.
What's wrong with you ! October 29 watu wameuawa. Huo ni ushahidi si tuhuma. Tume waliyounda imesema maiti 30 zimepotea! huo ni ushahidi si tuhuma. Kuna watoto wamepigwa risasi zipo picha na tume imesema hivyo. Huo ni ushahidi si tuhuma. Ni tofauti na Katibu wa CHADEMA Kilindi kusema pesa zimeliwa bila kueleza wapi na nani. Tena anasema Heche achunguzwe bila kusema kwa taratibu zipi kikatiba akiwa makamu na si Katibu mkuuKinachotakiwa ni majibu sio kukaa kimya ati tuhumanzimeletwa na Ma CCM. Kwani Samia na Abdul wanatuhumiwa na Wanachama wa.CCM? Mauaji ya Oktober 29 mnataka atokee mtu wa CCM kulaani ndio iwe kweli? Haiwezekani watalindana tu, NaChadema inaonekana ni Udaku! Sasa Ukweli utatoka wapi? What's wrong with you my people!
Noo! hatumetetei Heche, tunatetea ukweli. Kwamba, Mtendaji wa Chama ni KM . Kwanini haulizwi anaulizwa Makamu? Pili, kwanini CCM wameshikia bango hili suala kuliko madhila yanayoendelea nchini.Na kwa.jinsi mnavyotetea hili swala mimi naona kama mnamtetea Heche kama CCM wanavyomtetea Samia na Mwigulu Mchemba bila majibu ya tuhuma tunazosikia. Mind you - Uongo ukisema.sana hugeuka Ukweli.
Upo sahihi walishughulikie kwa taratibu si kwa shinikizo la Selasini aliyeua NCCR kwa kushirikiana na MsajiliAnyway, mimi nachosema, Chadema wanalamizika kulishughulikia swala hili mapema laa sivyo, mtapoteza Umaarufu wenu Kitaifa. Lema alisema maneno fulani mazito sana! Nataka atokee mtu wa Chadema amjibu Lema.
Huwezi kuchunguza kitu hakipoNajaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.
Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?
b
Swali ni kwamba una uhakika na ushahidi kwamba Lema, Sugu na Boni walisema hayo?Umeniuliza Ushahidi katika tuhuma za Heche, nakujibu hivi Muulize Lema, Sugu au Boniface ukweli utaujua. Achana na hao kina Habib Mchange sijii kina mapandikizi, nenda kwenye Source. Somebody gut to raise up!
Ushihidi wa MBOWE upo. Walimtoa magereza wakamkimbiza Ikulu. Kutokea hapo Mbowe akabadilika. Walikaa na Mbowe mwaka wakizungumza mwisho wa siku zeroIsitoshe sidhani hata wewe una Ushahidi kuhusu Mbowe. CCM inamtaka mtu yeyote mwanasiasa kama ilivyo Chadema na vyama vingine vyote hata wewe Ukitaka kesho watakupa kadi yao.
Ni kweli, na bahati nzuri sisi wengine tulikemea hilo kwa msingi ule ule kwamba EL alikuwa fisadi kwa ushahidiKama Chadema iliweza mchukua Lowassa na Sumaye ambao wote waliwahi kuwa Mawaziri Wakuu wa nchi cha kushangaza nini?
Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.
Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?
Ccm kwa Heche au lissu mtacheza mdundiko sana, hawa watu wamejaa nyoyoni kwa watz , leo hata wakitaka changiwa Bil moja ni faster, so kitendo cha kumuanda ati amekula pesa ,inahusu nini ili hali watz wanasema kama kula acha ale watachanga zingine, hata haibu hamuoni.
Musiba alisha waonya maccm wenzake juu ya vyuma hivi , namna pekee ya ccm kwenda sawa na chadema sasa akili wala sio abavu.
Fanyia kazi madai yao ili wakose hoja
Mfano
Mwachie mwenyekiti wao na viongozi wao mbalimbali mnaowabambikia kesi za ugaidi
2.mchakato wa katiba urudi mezani kupitia rasmu ya Warioba.
3 .uwajibikaji kwa wahusika wote Mo2025
Hizi ndo akili zinatakiwa kufanyika sio kukaa fikiria ati tukibambikia watu kesi, tukateka, tukapoteza, basi tumemaliza ,matokeo watu sasa kila mmoja anaanza kujiona ni mfungwa mtarajiwa wa ugaidi , kupotezwa n.k , hii ni mbaya sasa watu wanaanza kufikia ile hali ya liwalo na liwe, that pamoja na kuteka wanaibuka wengine kibao.
Achaneni na akili za wakina Wasira ati kisa amekaa serikalini sana, je enzi zile na sasa ni sawa, impact yake miaka yote katika taifa ni ipi ,
Mkuu,Nakubaliana na wewe kabisa kuhusu shaka juu ya watoa tuhuma. Ila kuna clip moja Heche alitoka akasema anaomba Wanachama wasimchangie, michango yote kuanzia sasa iende Chadema.
Alikuwa na maana gani?
Hao Lema ma wenzake unaowasemea hawajasema hicho.Nimeuliza swali halijajibiwa mpaka sasa, nasoma michango mingi ipo upande wa kutetea lakini mnaruka HOJA yangu. Narudia mara ya tatu (3)
Taarifa zilitoka na.kusambaa kuwa Lema, Sugu na Boniface ndio walohoji swala la Heche katika Mkutano wa Kamati kuu ya Chama Kigoma. Je, Kweli au Uongo?
Kisha nilisema mwanzoni Ufisadi wa Samia unatuhumiwa na watu wa Chadema.na Wanaharakati kweli sii kweli?, hivi mnataka kunambia nikubaliane na Viongozi wa CCM wanaosema hizo tuhuma hazina Ukweli kwa sababu zinatolewa na Chadema na Wanaharakati?
Katika Kisiasa kote duniani, tuhuma zote za kisiasa hutoka upande wa pili hazitoki ndani ya Chama. Aghalabu kusikia mtu wa ndani ya chama akimshutumu kiongozi wake, nimeshuhudia hili Chadema mwaka jana akishutumiwa Mbowe! Leo kwa Heche mnataka itokee vivyo hivyo ndio muamini.
Hata huko nje, Kiongozi anapofuja fedha za Umma, tuhuma hutoka upande wa Upinzani na ndio haswa sababu mojawapo ya kuwa na Vyama vingi. Kuna macho yanakutazama kila.kona na kila upande.
Kinachotakiwa ni majibu sio kukaa kimya ati tuhumanzimeletwa na Ma CCM. Kwani Samia na Abdul wanatuhumiwa na Wanachama wa.CCM? Mauaji ya Oktober 29 mnataka atokee mtu wa CCM kulaani ndio iwe kweli? Haiwezekani watalindana tu, NaChadema inaonekana ni Udaku! Sasa Ukweli utatoka wapi? What's wrong with you my people!
Na kwa.jinsi mnavyotetea hili swala mimi naona kama mnamtetea Heche kama CCM wanavyomtetea Samia na Mwigulu Mchemba bila majibu ya tuhuma tunazosikia. Mind you - Uongo ukisema.sana hugeuka Ukweli.
Anyway, mimi nachosema, Chadema wanalamizika kulishughulikia swala hili mapema laa sivyo, mtapoteza Umaarufu wenu Kitaifa. Lema alisema maneno fulani mazito sana! Nataka atokee mtu wa Chadema amjibu Lema.
Seriously? Unataka sasa mpaka usikie recording ya Lema, Sugu na Boni ndio uamini? Au unataka minutes za kikao husika? Wewe hauoni kukaa kimya kwao kunatia wasiwasi? Na sio wao tu, hakuna hata kiongozi mmoja aliyekuwepo anayekanusha tukio hilo.Swali ni kwamba una uhakika na ushahidi kwamba Lema, Sugu na Boni walisema hayo?
Tunachotaka ni proof siyo kwenda na habari za kusikia.
Shutuma sio pesa zilizokuwa kwenye akaunti za Chadema zimeliwa. Shutuma ni kuwa Heche amekuwa hafikishi pesa anazopewa kwa ajili ya Chadema. Shutuma ni kuwa anaziingiza kwenye akaunti yake binafsi. Katika hali hiyo Mnyika anahusika vipi? Au KM anasimamia pia akaunti binafsi ya Heche?Mnyika kasema yeye ndiye anatunza pesa na zipo salama. Iwe kweli au uongo tumesikia kutoka kinywa chake
Habibu Mchange akisema Lema, Boni na Sugu walisema, huo si ukweli achilia mbali credibility yake.
Toa mfano wa hicho unachoita kuwa ni ushahidi.Hata kama walisema, je, walitoa ushahidi? na nani wa kutuhumiwa Katibu mkuu au Heche?
Kwanini wanasema HECHE na si Makamu Mwenyekiti.
I am sorry, but this is pure nonsence. Hakuna ushahidi kuwa Mbowe alipelekwa Ikulu. Mbowe ana usafiri wake na anasema kuwa alialikwa na Rais kwenda Ikulu hivyo akaenda. Hajawahi kuficha kuwa alienda. Amesema pia kuwa aliwapa viongozi wenzake taarifa ya mazungumzo hayo. Hakuna kiongozi aliyesema kuwa hakupata taarifa.Ushihidi wa MBOWE upo. Walimtoa magereza wakamkimbiza Ikulu. Kutokea hapo Mbowe akabadilika. Walikaa na Mbowe mwaka wakizungumza mwisho wa siku zero
Kwani ni uongo? Kuna ubaya gani katika kutaka mazungumzo na mpinzani wako? Sio upande wa Chadema peke yake ndio kulikuwa na wasiotaka maridhiano, Kinana nae alisema wazi kuwa CCM nako kuna waliokuwa wanapinga mazungumxo hayo. Aidha, hakuna mtu anayeingia katika mazungumzo anaingia ili yashindwe. Lakini akiona mwenzie hana nia njema, anajitoa. Na ndivyo alivyofanya Mbowe. Ni ishara ya maturity.Mbowe alisema kwa ushahidi kwamba kuna wenzetu walishiriki kuharibu maridhiano! Ushahidi kwamba yeye na CCM walikuwa na mitazamo sawa.
Hakuna kiongozi asiyefanya madudu. Ni sehemu ya uongozi. Kiongozi anapimwa kwa ujumla wa matendo yake. Ku cherry pick makosa sio kumtendea haki.Mkandara, MBOWE alifanya madudu sana! hilo linahitaji ushahidi kweli.
CCM hawajawahi kumtaka Mbowe. Machawa wa CCM walimpigia kampeni za wazi ili Chadema wahisi amenunuliwa na hivyo waamue kumpigia kura mshindani wake. CCM walimtaka Lissu kwa sababu walijua atawapa fursa ya kukibana Chadema na kukitoa kwenye uchaguzi. Na kweli walifanikiwa. Na walijua kuwa pamoja na kelele zao kambi ya Lissu hawana ujasiri wa Mbowe. Mbowe aliita maandamano dhidi ya utawala pamoja na dola kuyakataza. Alifanya mikutano, pamoja na watu wake kuzuiwa na wakati mwingine. Mbowe na wenzake walifanya creative civic disobedience. Wakina Husna walikataa kushusha bendera ya chama chao Chato. Wakina Mwakipesile na wenzake walijigala gala nje ya ubalozi wa Marekani. Mwakipesile alikaa ndani lakini alikataa kuwataja wenzake. Wakina Ruge, Halima na wengine wengi walikaa sana rumande. Sugu alifungwa. Mbowe na wenzake nao walifungwa. Heche alipotoka alisema Mbowe alikataa kutoka jela mpaka wenzake wote wametoka. Tuambie Chadema ya Lissu imeandaa maandamano mangapi?Ndiye wanamtaka au photocopy yake
Hapo ndipo Mbowe alionyesha pragmatism. EL alichangia Chadema kupata wageni wengi. Kura alizopata ziliwapa wabunge wa viti maalum wengi na ruzuku ambayo iliwawezesha kukijenga chama chao. Ile ruzuku na uwepo wa wabunge wao ndio ulionyesha watanzania kuwa kuna alternative to CCM. Ujasiri wao chini ya Mbowe wa kukataa kunyamazishwa ndio umefikisha Chadema hapa ilipo. Viongozi wengi wa Chadema wanakiri kuwa Mbowe ana mchango mkubwa katika uwepo wao kwenye siasa.Ni kweli, na bahati nzuri sisi wengine tulikemea hilo kwa msingi ule ule kwamba EL alikuwa fisadi kwa ushahidi
This dude you're busy educating it's sickening because he is deliberately dragging you through the treacherous path, kwao kumuweka Heche kwenye 'defense-mode' wanaamini kuwa wanampunguzia kasi.Swali ni kwamba una uhakika na ushahidi kwamba Lema, Sugu na Boni walisema hayo?
Tunachotaka ni proof siyo kwenda na habari za kusikia.
Mnyika kasema yeye ndiye anatunza pesa na zipo salama. Iwe kweli au uongo tumesikia kutoka kinywa chake
Habibu Mchange akisema Lema, Boni na Sugu walisema, huo si ukweli achilia mbali credibility yake.
Hata kama walisema, je, walitoa ushahidi? na nani wa kutuhumiwa Katibu mkuu au Heche?
Kwanini wanasema HECHE na si Makamu Mwenyekiti.
Ushihidi wa MBOWE upo. Walimtoa magereza wakamkimbiza Ikulu. Kutokea hapo Mbowe akabadilika. Walikaa na Mbowe mwaka wakizungumza mwisho wa siku zero
Mbowe alisema kwa ushahidi kwamba kuna wenzetu walishiriki kuharibu maridhiano! Ushahidi kwamba yeye na CCM walikuwa na mitazamo sawa.
Mkandara, MBOWE alifanya madudu sana! hilo linahitaji ushahidi kweli. Ndiye wanamtaka au photocopy yake
Ni kweli, na bahati nzuri sisi wengine tulikemea hilo kwa msingi ule ule kwamba EL alikuwa fisadi kwa ushahidi
Unafanyaje sasa wewe nguruwe wa kizimkazi, amua unachotaka kufanya sasa maana mchezo wenuTatizo sio kumpa ‼️
tatizo kupokea na kukaa kinyaa ndio msingi wa malalamiko
Na ni jambo la kutia shaka🫎✍️