Kwanini CHADEMA wameshindwa kumchunguza Heche?

Hawajashindwa kumchunguza Heche lakini hakuna mwanachama hata Mmoja ambaye anaweza kuthibitisha kuwa amepeleka malalamiko rasmi Lisu aliwashutumu baadhi ya watu kuhongwa fedha na aliambiwa athibitishe kapeleka uthibitisho ukajadiliwa kwenye vikao vya chama kwahiyo wao wanaotoa shutuma wakiitws wathitishe au hata kusema chanzo Cha habari hizo kimetoka wapi hawana jibu Kila mtu Mimi ni mesikia tu nimesikia tu.utaratibu haupo hivyo .Inatakiwa kuwe na watu wanaoshutumu wapeleke shutuma zao kwenye ngazi husika za chama kinyume na hapo hayo ni majungu tu.
 
Upo sahihi Kabisa je watu kama Habibu Mchange na said Mwaipopo wanaweza kuwa na Nia Nzuri kweli ya kuisaidia CDM?
 
Tatizo sio kumpa ‼️
tatizo kupokea na kukaa kinyaa ndio msingi wa malalamiko
Na ni jambo la kutia shaka🫎✍️
Mkuu, nikuulize swali dogo tu. Mtu yeyote mwenye pesa, hajui kama anataka kuchangia pesa Chadema atume kwenye account ya nani? Huwezi kuwa na pesa ukashindwa kutofautisha kati ya mtu binafsi na Taasis/Chama.
 
Hata ukipewa chupa ya chai kwa misingi ya uwepo wapo kwenye nafasi ya chama!!

Unatakiwa kusema tu vile na vile ni lengo kuondosha shaka na kuondosha neno tuhuma kwako!!
Anatuhumiwa kupokea chupa ya chai nk.
Kaanzie kwenye chama chako cha majambazi uwaambie hivi uone kama hawajakutoa roho. maana wamejilimbikizia mali kwa kutumia ofisi zao mpaka kufuru.
 

Vijana wa zanzibar uwez kuwakuta wanaongea mambo ya kutumwa na kupewa elf saba, ndio maana hata viongozi wao wanafanya mambo ya maendeleo sana
 

Attachments

  • Screenshot_20260723_214620.jpg
    312.3 KB · Views: 9
Ni majibu kama haya ndio huwa tunapewa na CCM miaka yote! Kwenye uongozi wa Wananchi hakuna kitu kibaya kama tuhuma, uongo ukiuachwa utembee hugeuka kuwa Ukweli.
Na trust me, this will cost them big time.. Tupo hapa..
Hapo ni wewe tu ndiyo unaonesha kuukubali uongo kuwa ukweli kwa sababu tu umetamkwa mara nyingi.
 
Kwa hiyo ina maana kulikuwa na watu wanamchangia au sio?
Kama u mfuatiliaji utagundua kuwa baada ya zile tuhuma wananchi wengi walikuwa wakiomba namba yake ili wamchangie yeye kama yeye. Hata alipokuwa akisheherekea siku yake ya kuzaliwa walimuomba sana namba wamchangie. Ndipo akasema wamaotaka kumchangia yeye, basi waelekeze michango hiyo kwa chama.
 
katiba ya chama imezuia chadema
wanalamikamikaji njia wanazotumia zimekiuka katiba wafate katiba ya chama
 
Naunga mkono hoja yako
Hakika mkuu
"Mwisho tusifike mahali ambapo uaminifu kwa mtu au chama unakua sababu ya kukataa hata uchunguzi
Taifa lenye misingi imara ya uwajibikaji linapaswa kuhimiza ukweli ubainike si kuuzima kwa matusi au hisia" 📌
 
Mleta mada wamekukanda 😅

Kama haujaelewa basi…. Mkishajificha kwenye maandishi mnaanza kujiona kuwa mna akili kuliko wengine, watu sio wajinga bana.

Mambo mnayohoji hata mtoto wa miaka 12 akifikiria critically anaweza kuyatolea majibu sahihi.
 
 
Lucas Mwashambwa
Na chawa wengine huwezi waona hapa
Au sijui niwa tag
 
Sisi CHADEMA tunamsubiri Humphrey Polepole aje kuchukua nafasi ya umakamu mwenyekiti ndani ya chama chetu,hapo Heche tutamuweka pembeni na uchunguzi utaanza mara moja.
Wako,
John Mnyika,
Katiba Mkuu,
CHADEMA.
😂😂😂😂 Aisee JF!!
 
Sasa bila ya ushahidi itakuwa tuhuma hiyo? Ushahidi ni muhimu. Ile ya Mbowe ni kweli wakina Lisu walitoa ushahidi hadi ushahidi wa Abdul kuwanunua wanachama. Sandal ya Msigwa na Mbowe, kwa Mbowe kuwanunua wanachama Nyasa. Au ndiyo kujito ufahamu?

Unajua huu ukombozi unadamzwa sana na wana JF kama nyie, umefikia kuuliza kuwa tufanye uchunguzi hata kama hatuna ushahidi. Yaani Tlaatla na Abdul walete chochote kile cha kuleta tuanze kutumia resources kuchunguza?
 
Maybe u are right but for sure you are totally wrong. Why wachunguze heche or kafanya nini? Pesa walidai katumiwa cjui na nani tayari alomtumia kasema hakutumia chama alimtumia heche kwa matumizi yake binafsi kibiashara.

Pili hizo tuhuma za pesa ya tone tone account number na mpesa namba zinajulikana na mtu ambaye angeulizwa kama zimetumika vibaya ni mhasibu and not heche my friend.

For your information anguko la mbowe lilitokana na ufisadi hata kuwekwa ndani ni mpango wa kusuka from above. Na kila mwanasiasa yupo pale kimaslahi yake na ndio maana wameamua kushka hao wengne vichwa panzi ili heche aonekane haungi serikali mkono ndio maana wanasuka skendo kila kukicha ili wamchafue coz anapingana na ufisadi wao.

Another thing ni kwamba kabla skendo yeyote ya chadema itufikie sisi unakuta wameshaijua wao tayari ndugu yangu. Serikali ilishaharibu mambo yake wenyewe kwa kuropoka kwao.
Chadema wana uwezo wa kufunika kombe mwanaharanu apite lakin ccm inapa nguvu kika kukicha.
 

CCM kwao ndio kichaka cha kudanganya ny🫎🫎🫎🫎🫎 ili kuficha udhalimu wao na tuhuma zao 👈

Wakiona kujibu hawawezi zigo linaenda kwa CCM na ny🫎🫎 wanaamini✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…