Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.
Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?
b
Kwasababu CHADEMA inao malaika tu..bora nirudi CCM aisee
Anzeni kumchunguza Dulla na mama yakeNajaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.
Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?
b
Mbona wanasema ni 30 ndie ali iibua! Ndio tatizo la kila wakati kumtafuta mchawi.Narudia kuuliza tena.
Taarifa inayosema Lema, Sugu na Boniface ndio waloibua hoja ya Heche kutumia vibaya fedha za Chama ni za kweli au Uongo?
- Tuanzie hapa
Kwanza sijawahi kuamini ubadhilifu/wizi au kilichoitwa ulambaji asali wa Mbowe, humuhumu nilikuwa nakabiliana sana na waliokuwa wakimsakama Mbowe mpaka pale uchaguzi ulipoisha nikaona mienendo haya ya aliyekuwa running-mate na trustee wake kwenye uchaguzi ndani ya CHADEMA ndipo nikawa natafakari patterns zilivyo na kujipa conclusion yangu according to my own analysis.Hiyo ni haki yako.
Lissu alitoa facts gani kuhusu ulambaji asali wa Mbowe? Mbona mlimuamini! Mimi binafsi sidhani kama kweli lengo ni hilo unalosema. Mimi naona lengo ni kumnyima platform ya kukosoa chama tawala. La reconciliation ni kisingizio tu.
Sidhani kama mnaweza kuamini taarifa yeyote itakayoletwa dhidi ya Heche. Aidha, lengo lao kubwa ni kuivuruga Chadema na kuipungizia wapambanaji waliokuwa committed. Kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa kwenye hilo. K.m. wamesema kuwa sio tu Heche alishutumiwa kwenye kikao cha Kamati Kuu bali kuwa kiongozi wa shambulio hilo alikuwa Lema. Mpaka sasa sijamsikia Lema akikanusha. Sumu ishamwagwa.
Amandla...
Hiyo taarifa ameitoa Yericko Nyerere mwanachama wa CCM aliyejibanza CHAUMMA.Narudia kuuliza tena.
Taarifa inayosema Lema, Sugu na Boniface ndio waloibua hoja ya Heche kutumia vibaya fedha za Chama ni za kweli au Uongo?
- Tuanzie hapa
Je wewe unaweza kumchunguza Mama yakoNajaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.
Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?
b
Kinacho shangaza ni kuwa Yericko amesema kuwa hizo taarifa zimetoka kwa Mange Kimambi. Kama ni kweli, badala ya kumsonga Yericko mngemsonga Mange. Na kwa vile walio shutumiwa wapo, basi nao wangekanusha hilo tukio.Hiyo taarifa ameitoa Yericko Nyerere mwanachama wa CCM aliyejibanza CHAUMMA.
Sasa je lini huyu mtu akawa mjumbe hadi kuingia vikao vya kamati kuu.?
Huyu kibaka wa Mbutu ndio mleta tuhuma aje ajibu hizo pesa za wadau ni kiasi gani.
View: https://x.com/i/status/2075213059279229017
Oneni huyu mjinga wa KizimkaziNajaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.
Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?
b
Hiyo ni post ya mchana wa hiyo siku, post ya kwanza alianza kusema taarifa za kikao ambacho yeye hakuwepo.Kinacho shangaza ni kuwa Yericko amesema kuwa hizo taarifa zimetoka kwa Mange Kimambi. Kama ni kweli, badala ya kumsonga Yericko mngemsonga Mange. Na kwa vile walio shutumiwa wapo, basi nao wangekanusha hilo tukio.
Amandla...
Akihojiwa na mwandishi mmoja baada ya kuhamia chaumma, alisema wao Lissu akiondoka chadema hata leo wanarudi kukichukua chama chao.Yericko kwa sasa anafahamika handler wake na anachokifanya juu ya CHADEMA kinafahamika labda wasiojua ndio watamshangaa.
Nakumbuka sana , Yericko amehama CHADEMA kwenda CHAUMMA [japo yupo CCM] sio kwamba hakuzielewa sera za uongozi mpya bali kuna maslahi binafsi wanayakosa kwa ufupi Yericko na wenzie walijinufaisha na chama kuliko chama kilivyonufaika nao .Akihojiwa na mwandishi mmoja baada ya kuhamia chaumma, alisema wao Lissu akiondoka chadema hata leo wanarudi kukichukua chama chao.
Naam ni timu ile ile ya akina Mchome na ukimya wa FAM juu ya hili kundi inatupa picha ni kama wana baraka zake.Wao yeye na kina nani, sijui. Labda baada ya kumweka jela Lissu ndio ukapangwa mkakati wa kumuundia zengwe Heche ili wafanikishe mipango yai ovu.
+Lusungo.Kwa msiofahamu, Mkandara na Fundi mchundo ni miongoni mwa wahanga wa matokeo ya uchaguzi mkuu wa chadema Januari 2015.
Zaidi ya mwaka na nusu, wanaendelea kuugulia maumivu ya mtu wao kushindwa.
Sijui ukweli au uongo kwasababu ni habari ya kusikika tu. Sijamsikia yoyote miongoni mwao akisema hadharaniTuachane na hao watoa hoja mnao wasema . Mimi naomba kutoka kwako jibu moja tu.
Taarifa zunasema Lema, Sugu na Boniface ndio walihoji matumizi ya fedha hizo katika Kikao cha Kamati kuu.
Je, Taarifa hii ni ya kweli au Uongo?
"Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?", ujue tuhuma hutakiwa ziambatane na ushahidi utakaotumika kama msingi wa uchunguzi, bila hivyo ni porojo tu.Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Hapo nyuma kidogo tulishuhudia Heche na Tundu Lissu wakiongoza mashambulizi dhidi ya Mbowe kwa tuhuma kama hizi, kuaminisha Wanachama wa Chadema kwamba Kiongozi wao Mwenyekiti Mbowe alilamba asali, Mbowe alifisadi chama ilihali Mbowe sii mhasibu wala mweka fedha za Chama kama wanavyomtea Heche leo hii.
Chadema wameshindwa kukabiliana na tuhuma hizi badala yake wanachukua mkondo ule ule ambao miaka yote wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa CCM kwa Ufisadi ambao Viongozi wa CVM pia waliendelea kudai hakuna Ushahidi.
Je, tumefikia pahala kila sauti inayokemea Ufisadi na Ubadhilifu lazima mtia tuhuma awe Ushahidi?
b
Anzia huko wanakowatuma kuivuruga CHADEMA.Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo nini haswa?
Sioni alama ya kuweka kwenye bandiko la namna hii!Sijui ukweli au uongo kwasababu ni habari ya kusikika tu. Sijamsikia yoyote miongoni mwao akisema hadharani
Tufanye ''assumption'' wamesema ndani ya vikao , hilo ni sawa, hata hivyo kuna tatizo jingine. Pesa zinasimamiwa na Katibu mkuu! aliyetamka wazi ndiye mwenye dhamana.
Hoja inapaswa kuanzia kwa KM. Ikiwa kuna mataumizi mabaya ya fedha iwe Heche au yoyote mtu ''answerable'' ni KM.
Pamoja na yote hili jambo lina msukumo nyuma yake kuhusiana na maridhiano.
CCM wamekerwa sana na tuhuma za Heche zisizo na ushahidi. CCM hao hao hawakukerwa watu walipojitangazia nafasi za uchaguzi pale Dodoma. CCM hawakukerwa kwa kuanza na uteuzi halafu vikao. Mkuu hulioni hilo.
CCM hawajakerwa na Bajeti ya Trilioni 1 ya vitumbua, makaimati na chips maofisini! wanakerwa na tone tone!
Kuna hawa wanaolipwa kuja maelezo Dar kwa press ! hivi katibu mkuu wa CHADEMA Kilindi Handeni anajua nini yarabi. OK kama anajua ushahidi upo wapi.
Narudia tena akina Odero, Lembrus Mchome , Selasini ndio wanaoumizwa sana na tone tone kuliko wanachama wa CHADEMA! Real!
Mkuu tukiruhusu uhuni huu haitaishia hapo1 Tuliruhusu uhuni wa kukataza siasa Vyuo vikuu siku hizi tuna 'high school'' tunazoita University.
Walipoona tumekubali uhuni sasa wanakamata Wahadhiri na Marofesa. Kwamba, chuko kikuu wanatakiwa wasome siasa za vitabuni na siyo ''contemporary affairs''.
Hii ni kwasababu tuliruhusu, tukakumbatia uhuni. Kinachofanyika CHADEMA ni kile cha NCCR! kwani unaisikia tena? Selasini kamaliza kazi kwa Mbatia kahamia kwa Heche, mkuu unakubaliana naye1 Dah