Kwanini CHADEMA wanakosa huruma ya kisiasa toka kwa watanzania? Wanapuuzwa na Watanzania

Kwanini CHADEMA wanakosa huruma ya kisiasa toka kwa watanzania? Wanapuuzwa na Watanzania

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Kila jambo mnalolizua wananchi wanalipuuza maana halina ushahidi wa moja kwa moja.

Mnadai kila mara Tume sio huru lakini kila chaguzi zikifanyika matokeo ni kama mnaliwa kichwa na wananchi na hakuna sapoti ya wananchi.

Sasa hivi mmezirukia mahakama kuwa hazitendi haki kwa sababu tu Mbowe amekamatwa na kug'ag'aniwa. Wananchi hawaamini mnaachokisema.

Kila jamabo Chadema wakizua ili kupata sapoti ya Watanzania linabuma. Why?
 
Kwa kuwa ni CHAMA kisichoakisi maslahi mapana ya WATANZANIA.

Mwenyekiti Mbowe anaiwakilisha FAMILIA.

#SiempreJMT
 
Bi. Kirembwe mbona unahangaika sana, subiri kwanza umalize eda
 
Mbowe gaidi kila aliyezaliwa na akili timamu Anaona aibu na hii kesi. Imebaki kwa Mazezeta tu kuamini mbowe gaidi. Yani Kama ile waliomteka mo walikuwa wanaongea kireno upuuzi juu ya upuuzi
 
Back
Top Bottom