Tetesi: Kwanini CHADEMA wanamtenga Naibu Katibu Mkuu

Lisemwalo lipo linaonekana kabisa kwamba Chadema kimejigawa pande mbili wana katiba inayotambua Tanganyika na visiwa vya Unguja na Pemba …???

Umekiri kabisa mgawanyo upo kuwa mambo ya Bara hayamuhusu safi sana
Katiba inatamka wazi kuwa vyama viwe na sura ya muungano. So Kigaila anahusika na Kanda 8 za Tanganyika then Mwalimu anahusika na Kanda 2 za Zanzibar. Hata CCM na ACT mfumo ni huo huo Wala hakuna ubaguzi.
 
Lisemwalo lipo linaonekana kabisa kwamba Chadema kimejigawa pande mbili wana katiba inayotambua Tanganyika na visiwa vya Unguja na Pemba …???

Umekiri kabisa mgawanyo upo kuwa mambo ya Bara hayamuhusu safi sana
Umeambiwa anasimamia mpango mzima wa Chadema Digital. Chadema Digital iko bara peke yake?

Amandla...
 
Ohh kumbe kama sio muumini wa wale Maaskofu wa Chadema lazima utengwe??
Haahaaa sio kweli mkuu, kiprotokali kaimu Katibu mkuu wa Chadema ni salum Mwalimu yaani Mnyika akiwa nje ya ofisi basi kiti chake anakalia Mwalimu na sio yule Kigaila.

Mwenyekiti wa BAWACHA sharifa Suleiman ni mzanzibari na muislam.

Mwenyekiti wa BAZECHA Mzee Hashim ni mpemba.

So CHADEMA haijawahi bagua wazanzibari au waislam maana tokea 2015 CHADEMA imekua ikizoa kura nyingi sana Zanzibar kuliko CUF,CCM, au ACT so unaanzaje kuwadharau?
 
Mikakati mingi sana inapangwa bila Salum Mwalimu kuhusishwa amekuwa mpokeaji wa mambo au kuyasikia kwenye mitandao kama wengine, kurudi kwa Dkt Slaa kamati kuu ikae muamue lisiwe swala la mtu mmoja pekee. Naibu katibu Mkuu apewe nafasi.

Mbowe anawapigia simu kila mtu aongee kama amekula Pesa mwenyewe si kila mmoja aongee CHADEMA nyinyi ni chama cha Demokrasia waacheni waliokaa kimya siyo wasaliti kama baadhi yenu mnafahamika wapi mnatoa Pesa.

Timu ya Mbowe kamati kuu ni hawa (Lema, Heche na Msigwa) Mnyika bado ni Neutral haelewi Dkt. Slaa akirudi atakuwa nani maana anataka kuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia nafasi ipi…? Mauzauza ndani ya Chadema Dkt. Slaa mapendekezo yake aingie kwenye vikao kamati kuu.!

Msisitizo wa Lissu kuwa Dkt Slaa aombe msamaha hadharani kurudi CHADEMA kama alivyokituhumu chama katika mikoa yote ambayo ni ngome yao. Huu ni mtego mgumu kwa mahasimu hawa wawili wa miaka yote ndani ya CHADEMA chanzo ntawaeleza Kwanini.

Ule mkutano wa Buliyaga ulipangwa na Dkt. Slaa ukabebwa na CHADEMA kwenye maandalizi yote fungu walipewa la kutosha bahati mbaya wakaangukia pua.

View attachment 2700256
CCM sakata la DP World limewaelemea sana mnahangaika kama kuku anayetaka kutaga.
 
Acha umbea na unafiki.
Una chuki za kijinga na mbowe
 
Msitutoe kwenye reli. Bado nasisitiza rudisheni bandari zetu, Ngorongoro yetu na KIA yetu mliopora mkawapa Waarabu. Haijalishi mmepiga sh ngapi kutoka kwa Mwarabu lakini nasema rudisheni. Hivyo tu! Hivyoje. Ni hivyo!
 
Back
Top Bottom