Kwanini CHADEMA wanamuogopa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango?

Mkuu CHADEMA kutompenda Dr.Mpango is expected,he is a no nonsense person,a nationalist and a leader who will stand firm against anybody who will dream of stealing our resources.

Sasa CHADEMA ni makarai ya zege ya mabeberu,watampendaje Dr.Mpango,na wamepewa kazi ya kuwasafishia njia ili waibe resources,wameshindwa na kibarua kimeota nyasi? Si unaona Lissu yuko kwa mabeberu anawafuta viatu na wamempa ajira ya hovyo kabisa,eti mtetezi wa mashoga Ulaya.Aibu sana.Eti huyu ndiye anayetaka kuwa Rais wa Watanzania,hivi wanawaona Watanzania kwamba ni mapoyoyo sana,eti?!
CCM ni genge la kihalifu linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala
 
Yuko wapi Bashiru Ally Kakurwa aletaka urais kwa sababu tu uswahiba na Jiwe akatishia Jeshi wasigine katiba apewe yeye aludhania sawa na kuteuliwa na kusigina katiba ? Amezoea za mdondo !!
Wewe hizo habari umeambiwa na nani?? Wewe utakuwa ni wale ccm mliokuwa mnamiliki mali za ccm . Sasa mmenyang'anywa! Hasira zenu mnamalizia kwa bashiru.
 
Aisee nilisikia figisu fulani ,hebu nipe madini inbo please ! I like politics
Yuko wapi Bashiru Ally Kakurwa aletaka urais kwa sababu tu uswahiba na Jiwe akatishia Jeshi wasigine katiba apewe yeye aludhania sawa na kuteuliwa na kusigina katiba ? Amezoea za mdondo !!
 
Vijana wa Chadema ya Ufipa wanaonekana kutofurahia uteuzi wa Dr Mpango kuwa makamu wa Rais.

Je, ni kwa sababu amewashauri wabunge wa upinzani kuhamia CCM au kuna jambo lingine?

Kila zama na kitabu chake!

Maendeleo hayana vyama.
Eti CHADEMA yasemwayo ni kweli
 
Huna akili kama Meko.
OVER
Vijana wa Chadema ya Ufipa wanaonekana kutofurahia uteuzi wa Dr Mpango kuwa makamu wa Rais.

Je, ni kwa sababu amewashauri wabunge wa upinzani kuhamia CCM au kuna jambo lingine?

Kila zama na kitabu chake!

Maendeleo hayana vyama.
 
Ccm acheni kutishia watu na Mabeberu! Nyie ni wabaya kuliko maneberu. Watu hawana maji ya kunywa nyie mnakuwa na misafara ya rais yenye magari zaidi ya Mia???? Acheni unafiki wenu!!
 
Yuko wapi Bashiru Ally Kakurwa aletaka urais kwa sababu tu uswahiba na Jiwe akatishia Jeshi wasigine katiba apewe yeye aludhania sawa na kuteuliwa na kusigina katiba ? Amezoea za mdondo !!
Bashiru anakuja wewe tuliza mshono huijui ccm, nakushangaa unashangilia nini, Bashiru ni lulu ya ccm, si unajua anavyoseti mitambo ya ushhindi??????
 
Mkuu CHADEMA kutompenda Dr.Mpango is expected,he is a no nonsense person,a nationalist and a leader who will stand firm against anybody who will dream of stealing our resources.

Sasa CHADEMA ni makarai ya zege ya mabeberu,watampendaje Dr.Mpango,na wamepewa kazi ya kuwasafishia njia ili waibe resources,wameshindwa na kibarua kimeota nyasi? Si unaona Lissu yuko kwa mabeberu anawafuta viatu na wamempa ajira ya hovyo kabisa,eti mtetezi wa mashoga Ulaya.Aibu sana.Eti huyu ndiye anayetaka kuwa Rais wa Watanzania,hivi wanawaona Watanzania kwamba ni mapoyoyo sana,eti?!
Mpango atawang'oa meno bila ganzi.Chadema hawajitambui, eti hawashiriki uchaguzi majimbo ya kigoma wameogopa zitto atawanyoa bila maji
 
Back
Top Bottom