Kwanini CHADEMA wanamuogopa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango?

Kwanini CHADEMA wanamuogopa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango?

Mtoa posti huyu siku zote ni mtoa matangazo wa CCM.
Na si mtu wa hoja,Bali pumba za Zama za jiwe za kale.




Apuuzwe.
 
Mpango hapendwi siyo na chadema tu bali ni wananchi wengi na hata ccm ambao walichoka unyanyasaji wa jiwe,, Mpango bado ana ndoto za kuendeleza unyanyasaji ili kumuenzi jiwe.
Chukua kauli yake ya kukusanya mapato siku ile ya kuapishwa mawaziri.
Rais alilazimika kuiweka sawa kwani kauli ya Mpango iliashiria unyanyasaji kwa wafanyabiashara uendelee.
Ni toxic sana, anaamini kwenye falsafa ya kunyanyasa wannchi.
Tunashukuru yeye ni makamu tu hivyo hawezi toa meno yake direct mpaka mama ayabariki.
Hakika alistahili kuondolewa pale wizara ya fedha.
 
Alikuwa waziri wa fedha wakati wa Magufuli (rip), kwa hiyo ndiye alikuwa engineer wa mipango ya kiuchumi iliyoipa mafanikio makubwa serikali ya awamu ya tano. Chadema wanapenda viongozi dhaifu ili wapate nafasi ya kukosoa na kujiimarisha.
 
Vijana wa Chadema ya Ufipa wanaonekana kutofurahia uteuzi wa Dr Mpango kuwa makamu wa Rais.

Je, ni kwa sababu amewashauri wabunge wa upinzani kuhamia CCM au kuna jambo lingine?

Kila zama na kitabu chake!

Maendeleo hayana vyama.
Kwa mtindo huu atataka mahakama iwe kitengo cha CCM
 
Vyadema roho kutu
Vijana wa Chadema ya Ufipa wanaonekana kutofurahia uteuzi wa Dr Mpango kuwa makamu wa Rais.

Je, ni kwa sababu amewashauri wabunge wa upinzani kuhamia CCM au kuna jambo lingine?

Kila zama na kitabu chake!

Maendeleo hayana vyama.
 
Mpango atawang'oa meno bila ganzi.Chadema hawajitambui, eti hawashiriki uchaguzi majimbo ya kigoma wameogopa zitto atawanyoa bila maji
Wanaona aibu mkuu kwa kuwa wanajua kwamba Watanzania wameshawastukia.Hivi wazee wa Kigoma watawaelewa kweli hasa ukizingatia mila na desturi za Kiafrika zinavyopinga maswala ya ushoga.Kama mgombea Urais ni mtetea ushoga,si ina maana chama nacho ndio msimamo wake.Ni vema wakaacha tu mkuu,wameshajiroga.
 
Bashiru anakuja wewe tuliza mshono huijui ccm, nakushangaa unashangilia nini, Bashiru ni lulu ya ccm, si unajua anavyoseti mitambo ya ushhindi??????
Kitabu kinatoka soon .....kupaa na kuporomoka kwa mwenye tamaa Bashiru
 
Back
Top Bottom