Pre GE2025 Kwanini CHADEMA Wanamuogopa sana David Kafulila?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama ni ndogo kwanini unaendelea kuutetetea muungano? Yaani unaweza kutupa faida mbili za muungano...
Nautetea na nitaendelea kuutetea na naupenda sana Muungano wetu na nasema Muungano na Udumu Zaidi. Lakini pia napenda kukwambia ya kuwa Suala la muungano siyo sawa na soda ya cocacola kwamba lazima iwe sawa Dunia nzima.
 
Zanzibar ina wapiga kua chini ya laki 6, lakina ina wawakilishi zaidi ya 70 kwenye bunge. Jibu ni kwanin?
Embu tupe faida mbili za muungano?
 
Nautetea na nitaendelea kuutetea na naupenda sana Muungano wetu na nasema Muungano na Udumu Zaidi. Lakini pia napenda kukwambia ya kuwa Suala la muungano siyo sawa na soda ya cocacola kwamba lazima iwe sawa Dunia nzima.
tatizo si kutetea, tatizo unatetea kitu ambacho huwezi kukitetea na hujawahi kukielewa , sasa unasema kafulila wakati hata wewe huwezi kujibu alichouliza Tundulisu?!
Embu tupe faida mbili za huu muungano?🤣🤣
 
UKIWA NAYE CHUMBANI NDO HUWA ANAKUAMBIA HIVYO? MUWE MNACHUJA MANENO SERIOUS NA YALE YA KUKUPANGA KUKUWEKA SAWA.
Kitendo tu cha kuandika kwa herufi kubwa inaonyesha aina ya akili yako ilivyo ndogo. Unaandika utafikiri unawandikia watu wenye matatizo ya kuona?
 
Sio bure na Kafulila wako, unavyomuanzishia nyuzi kila siku huenda dada yetu mbunge wa covid 19 wewe! Mwanaume hawezi kumsifia mwanaume mwenzie kila siku namna hii kama hamna maslahi anapata! Ushahama kwa makonda?
 
tatizo si kutetea, tatizo unatetea kitu ambacho huwezi kukitetea na hujawahi kukielewa , sasa unasema kafulila wakati hata wewe huwezi kujibu alichouliza Tundulisu?!
Embu tupe faida mbili za huu muungano?🤣🤣
Narudia kusema tena kuwa Lissu hana hoja kabisa zenye kustahili kujibiwa .ndio maana unaona Anaendelea kupuuzwa tu na watanzania
 
Sio bure na Kafulila wako, unavyomuanzishia nyuzi kila siku huenda dada yetu mbunge wa covid 19 wewe! Mwanaume hawezi kumsifia mwanaume mwenzie kila siku namna hii kama hamna maslahi anapata!
Mimi ni Mzalendo na hupenda kuwaunga mkono watu wazalendo na wachapa kazi aina ya David Kafulila bure kabisa pasipo malipo ya aina yoyote ile.
 
achana naye huyo😂
Nimeamua kumsamehe tu maana wengine unakuta wanaingia humu jukwaani wakiwa na msongo wa mawazo na wanatafuta kwa kutolea hasira zao. Ndio maana unaweza kuta mtu anakutukana matusi bila breki bila sababu ya msingi.kwa hiyo usipokuwa na akili unaweza jikuta umenaswa kwenye mtego wake.

Sasa mimi nimekomaa kiakili na nina ephen ambaye naye kakomaa kiakili.
 
Narudia kusema tena kuwa Lissu hana hoja kabisa zenye kustahili kujibiwa .ndio maana unaona Anaendelea kupuuzwa tu na watanzania
basi jaribu kujibu wewe🤣🤣 maana mlimsingiza mara anatetea ushoga lakini mama samia yeye alisema fanyianeni wakubwa kwa wakubwa mbona hatukusikia mkikemea😂🤣🤣??
Embu tupe faida mbili za muungano kama huwezi ruksa kamuite kafulila aje kukusaidia
 
Mbona watanganyika hawafanyi kazi ZANZIBAR wala kuruhusiwa kumiliki ardhi? Nani ni mbaguzi mbobezi hapo?
 
Tundu Lissu hana hoja za kustahili kujibiwa .Maana Lissu hoja zake ni za uzushi ,uongo na ubaguzi tu. Mheshimiwa Kafulila sizani kama anaweza kuwa na muda huo mchafu wa kujibu hoja zisizo na mashiko wala maslahi kwa Taifa letu.
kwanba muungano wa tanganyika na zanzibar una matatizo ni uzushi na ubaguzi? nani anambagua mwenzie kati ya tanganyika na zanzibar?
kwamba mwigulu anamiliki timu nyingi za mpira hapa nchini ni uzushi?
kwamba katiba ya JMT ina matatizo ni uzushi na siyo hoja yenye mashiko
RUDI SHULE WEWE ACHA KUKARIRISHWA
 
Ni uteuzi mzuri sana uliogusa mioyo ya watu wengi sana. Lakini ambao umeendelea kuiwasha na kuonyesha namna Mheshimiwa Kihongosi alivyo na Nyota kali kama ile iliowaongoza Mama Jusi kwenda alipofichwa Mtoto yesu kristo
Mr lucas una hoja nyepesi mno kulinganisha na uzito wa mambo ya kitaifa , sio kwa ubaya lakini 😊
 
Ulifanya utafiti gani,lini na wapi na njia gani ya utafiti ulitumia hadi kuja na hitimisho hili? After all Chadema wanahusiana nini na Kafulila and what is so special about Kafulila hadi unamuwaza hivyo? Lucas Mwashambwa una dalili zote za mtu aliyechanganyikiwa akili. Hizi mada zako mfu hazikusaidii wewe wala CCM sijui kwa nini unajibebesha mzigo wote huu usiokuwa na tija. Wewe ni kichaa sijui hili zigo lako unaenda kulitua wapi na lini.
 
Naona umeongea vitu mchanganyiko mpaka umejichangaya Mwenyewe. Sasa Mheshimiwa Dkt Mwigulu Nchemba ameingiaje hapa? Au unachuki binafsi? Au umechaganyikiwa? Au umevurugwa akili yako?
 
Wewe huwezi ukaelewa hoja hii maana imekupita na kukuzidi kimo cha akili yako.
 
Achana na Chadema hata humu tu kuna pumba anazolisha watu leaves a lot to desired analeta story za duniani wanakopa na sisi tukope na sio nini tufanye ili kufanikiwa..., ana mentality za kujisifia kuwa mkopaji na sio mkopeshaji...

Na kwa nchi yenye resources kubwa kama hii naweza kusema anasumbuliwa na mental slavery...
 
Wewe huwezi ukaelewa hoja hii maana imekupita na kukuzidi kimo cha akili yako.
Kumsifia mtu nako unaita hoja? Una mtindio wa ubongo wewe si bure. Wewe ulichoandikia ni kumsifia tumbili sasa hoja iko wapi au unataka na mimi nimsifie? Wewe soon tutakukuta unafakamia mauchafu majalalani.
 
Naona umeongea vitu mchanganyiko mpaka umejichangaya Mwenyewe. Sasa Mheshimiwa Dkt Mwigulu Nchemba ameingiaje hapa? Au unachuki binafsi? Au umechaganyikiwa? Au umevurugwa akili yako?
Mwigulu ameingia kwasababu lisu aliibua hoja kwamba mwigulu anamiliki ihefu, singida united, majaliwa anamiliki namungo, biteko kuna timu itapanda ikiwa ni ya kwake, JPM alimiliki Gwambina FC na aliyasema haya akiwa jimboni kwa mwigulu.

kwamba hizi ni njia za kutakatisha fedha chafu zilizokwapuliwa kwenye hazina ya Watanzania.

kwakuwa akili yako ndogo huoni kwamba hapa kuna hoja na kwakuwa akili yako ni ndogo unaona kwamba huu ni uzushi?

Wala hujasikia kwamba LISU amehoji haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…