Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwani ukweli haiwezi kuwa ni kusifia!??Tofautisha UKWELI na kusifia.mimi huongea ukweli na siyo kusifia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ukweli haiwezi kuwa ni kusifia!??Tofautisha UKWELI na kusifia.mimi huongea ukweli na siyo kusifia.
Kitendo tu cha kuandika kwa herufi kubwa inaonyesha aina ya akili yako ilivyo ndogo. Unaandika utafikiri unawandikia watu wenye matatizo ya kuona?
Huyu dogo alikuwa ana Makonda. Makonda kampiga chini kahamia kwa Kafulila. Na kafulila nasikia hayupo na mkewe. Wanamtumia wakiambiwa na mganga ili nyota yako ing'ae katifue tifue mtu. Ndo anachaguliwa yeye....LUKAS yuko busy kusifia wWANAUME wenzake ..... Kazi nyingine ni ngumu sana. Hasa hii ya LUKAS....!!
Mwnaume na akili zako huwezi kuwa kila siku ukiamka .... KAFULILA, KAFULILA, KAFULILA. Unless haunazo kichwani.
Acha ujinga wa kuandika kwa herufi kubwa. Hayo ni matatizo ya akili.NAKUANDIKIA WEWE MWENYE MATATIZO YA KUELEWA. UWE UNACHUJA. MWANAUME ANAWEZA KUKUDANGANYA SANA AKIWA NAWE. NAKUANDIKIA HIVI ILI UELEWE. UMESAHAU NAMBA YAKO YA SIMU NA KUMTAG KAFULILA. UMEBAKI PEKE YAKO. WENGINE ARE MARRIED AND HAVE DEVIDED TO CALM DOWN.
Huu ni ukweli mtupu Lucas MwashambwaNdugu zangu Watanzania,
Nimefuatulia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali,iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na wana CHADEMA wanamuogopa Sana Mheshimiwa David Kafulila linapokuja Suala la kushindanisha na kujenga hoja juu ya masuala mbalimbali hususani ya kiuchumi.
Hoja za Mheshimiwa Kafulila zimekuwa zikiwatoa sana Jasho na kuwakimbiza kama Mwenge wa Uhuru na hakuna anayeweza wala kufanikiwa kupangua hoja zake kwa hoja na akaweza kueleweka kwa watu. Mfano mdogo ni juu ya hoja nzito ambazo Mheshimiwa David Kafulila amekuwa akieleza na kuitetea serikali juu ya ukopaji na uchukuaji wa mikopo kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo imekuwa na matokeo chanya kwa uchumi wetu .
Ambapo Mheshimiwa Kafulila ametoa Elimu pana sana kuanzia masuala ya marshall Plan ya Mmarekani ilivyozisaidia nchi za Ulaya, na namna nchi mbalimbali hata zilizoendelea kama vile Japan ambavyo zina madeni makubwa tu.akaenda mbali zaidi kuelezea kwa hoja na ushahidi kuwa Tanzania siyo miongoni mwa nchi zenye madeni makubwa.na kwamba Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kiwango kikubwa sana ndani ya muda mfupi wa Uongozi wa Rais Samia kutoka takribani Dolla Billion 66 mpaka zaidi ya Dolla Billion 85.akaelezea pia ongezeko la watalii ambalo limefikia zaidi ya watalii Million 1.8.ambapo imepelekea kuongezeka kwa mapato mabilioni kwa mabilioni.
Mheshimiwa Kafulila akaelezea pia maana ya ujenzi wa huduma za kijamii kiuchumi zilizojengwa awamu hii ya Rais Samia.akaelezea mfano kwa kipindi hiki kumekuwa na mapinduzi makubwa sana katika Secta ya Afya ,ambapo sasa wananchi wanapata huduma za afya karibu kabisa na maeneo yao.ambapo sasa badala ya mtu huyu kutumia nauli kubwa kwenda umbali mrefu kupata huduma za afya ,sasa anaokoa pesa ya nauli na kuitumia kwa mahitaji yake mengine.
Mheshimiwa Kafulila ameweza na kufanikiwa kwa uhodari na umahili mkubwa sana na kwa takwimu kuelezea Mwenendo wa kiuchumi wa Dunia na hali ya mikopo na madeni kwa Nchi mbalimbali Duniani. Jambo ambalo limewapa Elimu na ufahamu Mkubwa sana wananchi.hali hii imewaacha CHADEMA hoi bin taabani hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa wao huongea kiujumla jumla tu pasipo kuwa na takwimu za aina yoyote ile.hali inayotokana na kukosa uelewa na watu wenye uelewa na Elimu ya masuala ya Uchumi na namna uchumi wa Dunia unavyokwenda.
Ndio maana kuna wakati walikuwa wanapiga kelele kuwa mafuta ya petrol yanauzwa bei juu sana na kwamba hali hiyo inasababishwa na serikali ya CCM. Lakini walikuja kuishiwa nguvu na kupata aibu ya karne pale walipoona wakenya mbalimbali wanakimbilia Tanzania kununua mafuta kwa kuwa bei yetu ilikuwa ni ndogo ukilinganisha na Nchini kwao.hii ni baada ya serikali ya Rais Samia kuwa na utaratibu wa kutoa Ruzuku ya Billion Mia moja kila Mwezi katika Mafuta na hivyo kupelekea Bei ya mafuta kuwa chini ukilinganisha na Majirani zetu..
Ikumbukwe bei ilikuwa imepanda kutokana na kupanda katika soko la Dunia,kulikokuwa kumechochewa na kuchangiwa na vita vya Ukrein na Urussi.ila wao CHADEMA wakawa hawaelewi kitu chochote kile maana wao hawawezagi kuangalia na kujuwa hali ya Dunia inakwenda vipi. Na kwamba wao huona kama Tanzania ni kisiwa hapa Duniani.
Sasa Mheshimiwa Kafulila amekuwa akiwatwanga kwa hoja nzito na zenye ushahidi wa kutosha na takwimu sahihi ,jambo linalowafanya wamuogope sana na kumuona adui wao wa kuwaumbua udhaifu wao na uongo wao na upeo wao mdogo wa masuala mbalimbali hususani ya kiuchumi.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi siku zote huwaunga mkono WAZALENDO wa Taifa letu mwenye kuchapa kazi kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Kwa hiyo maneno yako hayanikatishi tamaa wala kuniumiza.maana najuwa kuna watu huwa mnakuwa na chuki kubwa sana kwa watu waadilifu na wachapa kazi na wazalendo wa kweli walionyooka kama rula.Huyu dogo alikuwa ana Makonda. Makonda kampiga chini kahamia kwa Kafulila. Na kafulila nasikia hayupo na mkewe. Wanamtumia wakiambiwa na mganga ili nyota yako ing'ae katifue tifue mtu. Ndo anachaguliwa yeye....
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu kama weweCCM ndio tumaini la watanzania.ndio sababu Inaendelea kuaminika na kuchaguliwa kwa kishindo katika kila uchaguzi.
Rasilimali ni nini na utajiri ni nini ? Hata akili sio rasilimali ? Sasa mtu ambaye yupo kwenye miti mingi hafanyi ujenzi alafu anategemea wasio na miti waje wamjengee na bado anajisifia katika kutafuta watu wa kumjengea na sio kujinasibu ili yeye ajenge na kujengea watu utasema huyo ana akiliNaona wewe huelewi na huna uelewa wa masuala ya uchumi na maendeleo. Hivi unafikiri rasilimali pekee ulizonazo ndio zinakufanya uwe tajiri? Unaweza kuwa na kila aina ya rasilimali na bado ukawa masikini tu .
Sasa je akili ni kutumia gas ya kuagiza ya LPG wakati tuna umeme na gasi asilia ambapo watu wanaweza wakatumia kwa bei ndogo ? (Ndio hawa unaosema wana akili au unamaanisha lack-of au wanashadadia matumbo yao)utajiri unaanzia akilini mwako.Akili ndio utajiri nambari moja. Akili ni pamoja na kujuwa upate wapi pesa kwa ajili ya kuvuna rasilimali zako kama vile gas?
Na ni nani alibisha kuhusu Bwawa na kwanini tusilimalizie kwanza kuliko kuendelea kuuza kila kilichopo ?Au upate wapi pesa kwa ajili ya kujenga bwawa la Mwalimu Nyerere ambalo kukamilika kwake kutakupatia umeme wa uhakika na wa bei nafuu na hivyo kufungua Secta ya viwanda na kuvutia wawekezaji katika maeneo mbalimbali ya kiuchumi.
Kabla haujawaza kukopa kwanza waza ni nini utafanyia huo mkopo na sio kukopa sababu unakopesheka kama vile ni fashionAkili, Akili, Akili ni jambo la muhimu sana na ndicho anacho zungumzia Mheshimiwa Kafulila kukopa na kuwekeza kwenye miradi ya kimkakati na maendeleo
Kweli CCM imefuliaNdiyo
Kwasababu wewe unashoboka naye, basi unadhani kila mtu anamuogopa.Uzalendo na uchapakazi wake pamoja na misimamo yake ya kizalendo ndio inanifanya nijiunge mkono.kwakuwa mimi ni muumini wa wazalendo
Tupe kwanza ya nyie kumwogopa konda🫠Ndugu zangu Watanzania,
Nimefuatulia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali,iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa...
Acha ujinga wa kuandika kwa herufi kubwa. Hayo ni matatizo ya akili.
Mimi siku zote huwaunga mkono WAZALENDO wa Taifa letu mwenye kuchapa kazi kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Kwa hiyo maneno yako hayanikatishi tamaa wala kuniumiza.maana najuwa kuna watu huwa mnakuwa na chuki kubwa sana kwa watu waadilifu na wachapa kazi na wazalendo wa kweli walionyooka kama rula.
Kwani ni lazima mimi kugombea huo uwenyekiti wa mtaa.?Acha kujificha kwenye mitandao kusifia watu ,jitokeze kugombea wenyekiti wa mtaa tuanze kukufahamu
Mimi sijipendekezi bali naongea UKWELIACHA UJINGA WA KUJIPENDEKEZA KWA WANAUME. HAYO NI MATATIZO YA KUPOTEZA JINSIA.
CHADEMA haina uzito wa aina yoyote ile.ndio maana viongozi wetu wa ngazi ya juu hawawezi kupoteza muda wao kujibu uzushi na uongo wa CHADEMA.Wanachadema na Chadema wanamuogopa sana Steve Nyerere kwa taarifa yako. Hata mwenyekiti wa ccm taifa na ccm kwa ujumla wanalijua hilo.
Ndiyo maana hoja zote nzito za upinzani huwa anatumwa Steve Nyerere kuzijibu.