Pre GE2025 Kwanini CHADEMA Wanamuogopa sana David Kafulila?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kitendo tu cha kuandika kwa herufi kubwa inaonyesha aina ya akili yako ilivyo ndogo. Unaandika utafikiri unawandikia watu wenye matatizo ya kuona?

NAKUANDIKIA WEWE MWENYE MATATIZO YA KUELEWA. UWE UNACHUJA. MWANAUME ANAWEZA KUKUDANGANYA SANA AKIWA NAWE. NAKUANDIKIA HIVI ILI UELEWE. UMESAHAU NAMBA YAKO YA SIMU NA KUMTAG KAFULILA. UMEBAKI PEKE YAKO. WENGINE ARE MARRIED AND HAVE DEVIDED TO CALM DOWN.
 
LUKAS yuko busy kusifia wWANAUME wenzake ..... Kazi nyingine ni ngumu sana. Hasa hii ya LUKAS....!!

Mwnaume na akili zako huwezi kuwa kila siku ukiamka .... KAFULILA, KAFULILA, KAFULILA. Unless haunazo kichwani.
Huyu dogo alikuwa ana Makonda. Makonda kampiga chini kahamia kwa Kafulila. Na kafulila nasikia hayupo na mkewe. Wanamtumia wakiambiwa na mganga ili nyota yako ing'ae katifue tifue mtu. Ndo anachaguliwa yeye....
 
Acha ujinga wa kuandika kwa herufi kubwa. Hayo ni matatizo ya akili.
 
Huu ni ukweli mtupu Lucas Mwashambwa
 
Huyu dogo alikuwa ana Makonda. Makonda kampiga chini kahamia kwa Kafulila. Na kafulila nasikia hayupo na mkewe. Wanamtumia wakiambiwa na mganga ili nyota yako ing'ae katifue tifue mtu. Ndo anachaguliwa yeye....
Mimi siku zote huwaunga mkono WAZALENDO wa Taifa letu mwenye kuchapa kazi kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Kwa hiyo maneno yako hayanikatishi tamaa wala kuniumiza.maana najuwa kuna watu huwa mnakuwa na chuki kubwa sana kwa watu waadilifu na wachapa kazi na wazalendo wa kweli walionyooka kama rula.
 
Wanachadema na Chadema wanamuogopa sana Steve Nyerere kwa taarifa yako. Hata mwenyekiti wa ccm taifa na ccm kwa ujumla wanalijua hilo.

Ndiyo maana hoja zote nzito za upinzani huwa anatumwa Steve Nyerere kuzijibu.
 
Naona wewe huelewi na huna uelewa wa masuala ya uchumi na maendeleo. Hivi unafikiri rasilimali pekee ulizonazo ndio zinakufanya uwe tajiri? Unaweza kuwa na kila aina ya rasilimali na bado ukawa masikini tu .
Rasilimali ni nini na utajiri ni nini ? Hata akili sio rasilimali ? Sasa mtu ambaye yupo kwenye miti mingi hafanyi ujenzi alafu anategemea wasio na miti waje wamjengee na bado anajisifia katika kutafuta watu wa kumjengea na sio kujinasibu ili yeye ajenge na kujengea watu utasema huyo ana akili

Sasa in a nutshell huyo ndio Kafulila tumetoka kwenye mentality ya Self Reliance to Total Dependency.....

utajiri unaanzia akilini mwako.Akili ndio utajiri nambari moja. Akili ni pamoja na kujuwa upate wapi pesa kwa ajili ya kuvuna rasilimali zako kama vile gas?
Sasa je akili ni kutumia gas ya kuagiza ya LPG wakati tuna umeme na gasi asilia ambapo watu wanaweza wakatumia kwa bei ndogo ? (Ndio hawa unaosema wana akili au unamaanisha lack-of au wanashadadia matumbo yao)

Au upate wapi pesa kwa ajili ya kujenga bwawa la Mwalimu Nyerere ambalo kukamilika kwake kutakupatia umeme wa uhakika na wa bei nafuu na hivyo kufungua Secta ya viwanda na kuvutia wawekezaji katika maeneo mbalimbali ya kiuchumi.
Na ni nani alibisha kuhusu Bwawa na kwanini tusilimalizie kwanza kuliko kuendelea kuuza kila kilichopo ?
Akili, Akili, Akili ni jambo la muhimu sana na ndicho anacho zungumzia Mheshimiwa Kafulila kukopa na kuwekeza kwenye miradi ya kimkakati na maendeleo
Kabla haujawaza kukopa kwanza waza ni nini utafanyia huo mkopo na sio kukopa sababu unakopesheka kama vile ni fashion
 
Acha kujificha kwenye mitandao kusifia watu ,jitokeze kugombea wenyekiti wa mtaa tuanze kukufahamu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimefuatulia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali,iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa...
Tupe kwanza ya nyie kumwogopa konda🫠
 

Hata kuandika hujui. Huwanga ndo nini? Mimi sikukatishi tamaa umeamua kuishi kwa style hiyo. Ishi. Si kila mtu anaishi atakavyo? Kafulila akikuchoka hamia kwa Mwigulu au Makamba.
 
Kafulila anadai kwamba global GDP ni dollar trillion 106, lakini kutokana na statica (hapa: Topic: Gross Domestic Product (GDP) worldwide ) GDP ya dunia ni about 84.96 trillion U.S. dollars, sasa sijui magumashi yake anayatolea wapi? halafu hiyo ndio tumuamini kweli ? amelambishwa asali na ote mavi ya nyanza kwa kauli ya Mchonga...
 
Wanachadema na Chadema wanamuogopa sana Steve Nyerere kwa taarifa yako. Hata mwenyekiti wa ccm taifa na ccm kwa ujumla wanalijua hilo.

Ndiyo maana hoja zote nzito za upinzani huwa anatumwa Steve Nyerere kuzijibu.
CHADEMA haina uzito wa aina yoyote ile.ndio maana viongozi wetu wa ngazi ya juu hawawezi kupoteza muda wao kujibu uzushi na uongo wa CHADEMA.
 
Vihoja haviishi.
Nguvu hii iwekeze kwenye kukarabati Chama chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…