Pre GE2025 Kwanini CHADEMA Wanamuogopa sana David Kafulila?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndugu zangu Watanzania,

Nimefuatulia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali,iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na wana CHADEMA...
Hii kazi inakulipa sana najaribu kuangalia muda unaotumia kuandika andiko ambalo mwenye kaz yake hawez kupoteza muda kulisoma lote. Nakuhakikishi hakuna zaidi ya kusoma kichwa na paragraph moja tu. Badilika!
 
Hii kaz inakulipa sana najaribu kuangalia muda unaotumia kuandika andiko ambalo mwenye kaz yake hawez kupoteza muda kulisoma lote. Nakuhakikishi hakuna zaidi ya kusoma kichwa na paragraph moja tu. Badilika!
Ninyi ndio maana mmeshindwa kabisa kuijenga CHADEMA,kwa sababu macho yenu mnatafuta fursa za pesa tu na maslahi yenu binafsi.ndio maana mnaendelea kupuuzwa na watanzania
 
Tundu Lissu hana hoja za kustahili kujibiwa .Maana Lissu hoja zake ni za uzushi ,uongo na ubaguzi tu. Mheshimiwa Kafulila sizani kama anaweza kuwa na muda huo mchafu wa kujibu hoja zisizo na mashiko wala maslahi kwa Taifa letu.
Mkuu nilikuwa siamini bado kama unaweza kuwa chawa, niliamini ni uzalendo kwa chama ulikuwa umekushiba!

Kwa kweli kwa namna unavyo mkuza Kafulila kuliko hata sera za chama cha CCM inaleta ukakasi mno!!!!
 
Mkuu nilikuwa siamini bado kama unaweza kuwa chawa, niliamini ni uzalendo kwa chama ulikuwa umekushiba!

Kwa kweli kwa namna unavyo mkuza Kafulila kuliko hata sera za chama cha CCM inaleta ukakasi mno!!!!
Mimi simkuzi Mheshimiwa Kafulila bali tayari yeye alishajikuza na kujijengea heshima ya kipekee sana kwa watanzania na Taifa letu kwa ujumla wake,kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka pamoja na uzalendo wake kwa Taifa letu. Mimi huwa nawaunga mkono wazalendo wote kwa Taifa letu. Hata wewe kama ni mzalendo nitakusemea na kukuunga mkono.
 
UNAJIPENDEKEZA KWA WANAUME... USHAVULIWA UBINGWA DOGO SABABU YA NJAA. WAMEANZA KUKUCHOKA. WENZIO WANAPATA VYEO BILA HATA KUJIDHALILISHA KAMA WEWE. WE HUPATI TEUZI SABABU WANAJUA NI AIBU.
Mimi sitafuti uteuzi na wala maneno yako machafu hayanikatishi tamaa kwa namna yoyote ile.kwa sababu nafahamu unaongozwa na chuki na wivu kwa kuona kuwa wazalendo wa Taifa letu aina ya Mheshimiwa Kafulila wanaendelea kupata uungwaji mkono kutoka kwa watu mbalimbali.
 

Sitaki ukate tamaa... Namba ya simu siku hzi huweki? Dogo tafuta kazi. Watakuchezea chezea tu wakuache. Watakutumia kama mpira wa kiume then wakutupe.
 
Yaani chadema imuogope huyo mume wako tumbili
 
Yaani chadema imuogope huyo mume wako tumbili
Wewe hunaga akili kabisa. Embu niambie ni nani mwenye uwezo wa kujenga hoja na uelewa mpana wa masuala mbalimbali hususani ya kiuchumi unayeweza mlinganisha na Mheshimiwa Kafulila ndani ya CHADEMA?
 
Wewe hunaga akili kabisa. Embu niambie ni nani mwenye uwezo wa kujenga hoja na uelewa mpana wa masuala mbalimbali hususani ya kiuchumi unayeweza mlinganisha na Mheshimiwa Kafulila ndani ya CHADEMA?
Si useme tu anakubandua vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ