chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hawa jamaa walitunga katiba ambayo inampa haki Mbowe agombee na amegombea, Lissu kagombea. Hakuna aliyevunja katiba. Kwa nini wanaona Mbowe kugombea ni tatizo?
Lissu anataka mteremko? Si apiganie kura kwa wajumbe?
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura
Kila mtu ana haki.
Hawa ndio wanatamani nchi iwe na katiba mpya yenye haki kedekede lakini ndani ya chama chao wanataka kumyima mbowe haki yake ya kikatiba?
Ndio maana hata katiba mpya isipokuwepo ni sawa tu.