Kwanini CHADEMA wanaukwepa sana mkoa wa Kilimanjaro na Sabaya Hayupo?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Sijasikia jambo lolote la CHADEMA au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana.

Kipaumbele cha CHADEMA ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa

Kulikoni?

Nawatakia Sabato Njema!
 
Chadema inapokuja maandamano ni kanda ya ziwa. Inapokuja mambo ya hovyo hovyo ni kanda ya ziwa.

Ila inapokuja swala la amani na maendeleo mfano siku ya wanawake hayo yanapelekwa Moshi ama Arusha.

Swali la kujiuliza kwa nini siku ya wanawake Mbowe hakuipeleka Mwanza ama Mara ama Shinyanga ila akaipeleka kwao ili ndugu zake wafanye biashara, wapate pesa.

Inapokuja maswala ya uharibifu kama maandamano na fujo anapeleka mwanza hataki yafanyikie kwao Moshi ili ndugu zake vitu vyao visiharibike na wasivurugwe na maandamano. Waendelee kufanya shughuli zao kama kawaida ila watu wa Mwanza ndio waharibikiwe.

Tinataka kuona kampeni kubwa kubwa Kilimanjaro na maandamano yakifanyika Moshi ama Arusha, sio mwanza na Mara tu.
 
Kilimanjaro yote tayari Ni chadema. Tunakwenda kubomoa stronghold za CCM kwanza kule ambàko hakuna maendeleo Kama Tabora, Kigoma, Rukwa, Ruvuma, Singida, Shinyanga, Lindi na Mtwara. Hata wewe johnthebaptist unajua kua huwezi kulinganisha maendeleo kwenye mikoa ya Singida au Tabora na Kilimanjaro.
Shemeji nilidhani wewe Ni muelewa kumbe Ni CCM damu.
Hamia huku uone Raha.
 
Sijasikia jambo lolote la Chadema au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana

Kipaumbele cha Chadema ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa

Kulikoni?

Nawatakia Sabato Njema!
Yesu aliwaambia wafuasi wake waende kwa mataifa wakaeneze injili.Pale Uyahudi ilitosha kwa muda huo.Nadhani tupo wote kwenye kuswata mputa mwagito!
 
Chadema inapokuja maandamano ni kanda ya ziwa. Inapokuja mambo ya hovyo hovyo ni kanda ya ziwa.

Ila inapokuja swala la amani na maendeleo mfano siku ya wanawake hayo yanapelekwa Moshi ama Arusha.

Swali la kujiuliza kwa nini siku ya wanawake Mbowe hakuipeleka Mwanza ama Mara ama Shinyanga ila akaipeleka kwao ili ndugu zake wafanye biashara, wapate pesa.

Inapokuja maswala ya uharibifu kama maandamano na fujo anapeleka mwanza hataki yafanyikie kwao Moshi ili ndugu zake vitu vyao visiharibike na wasivurugwe na maandamano. Waendelee kufanya shughuli zao kama kawaida ila watu wa Mwanza ndio waharibikiwe.

Tinataka kuona kampeni kubwa kubwa Kilimanjaro na maandamano yakifanyika Moshi ama Arusha, sio mwanza na Mara tu.
Lakini wewe ni@TheEvilGenius.Mawazo yako yote ni hobelahobela.
 
Sijasikia jambo lolote la Chadema au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana

Kipaumbele cha Chadema ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa

Kulikoni?

Nawatakia Sabato Njema!
Kilimanjaro na Arusha zimeshakombolewa. Wewe uliona wapi daktari kutibia mtu.asiyekuwa na maradhi?
 
Sijasikia jambo lolote la CHADEMA au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana

Kipaumbele cha CHADEMA ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa

Kulikoni?

Nawatakia Sabato Njema!
Nitakutukana wakati wewe ni rafiki yangu. Kila kitu si ni ratiba? ratiba ya Kilimamnjaro bado.
Sabaya ni shetani na shetani aliyekuwa amemtuma alishakufa. One thing at a time....
 
Sijasikia jambo lolote la CHADEMA au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana

Kipaumbele cha CHADEMA ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa

Kulikoni?

Nawatakia Sabato Njema!
Kilimanjaro ilishakombolewa. Kule watu walishajitambua pumbavu wewe. Kwani hii ni mikutano ya kampeni.
 
Sijasikia jambo lolote la CHADEMA au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana

Kipaumbele cha CHADEMA ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa

Kulikoni?

Nawatakia Sabato Njema!
Tumia akili kidogo tu utajua sababu ...... wanaogopa mzimu wa jpm maana chadema akikubaliki tena siyo kama zamani ...kinacho tokea sasa ni kukubalika kishingo upande kwa sababu hakuna mbadala wa chama cha upinzani ...siku kikitokea chama cha kizalendo ndiyo utakuwa mwisho wa chademq na takataka zote za upinzani zilizopo sasa
 
Sijasikia jambo lolote la CHADEMA au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana

Kipaumbele cha CHADEMA ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa

Kulikoni?

Nawatakia Sabato Njema!
Kule ni waasisi washajielewa kitambo

Shida kwenu tanangozi huko (kalenga)

Waziri wenu alipigwa mgimwa mkalishwa nyama mkakausha
 
Back
Top Bottom