Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Chadema inapokuja maandamano ni kanda ya ziwa. Inapokuja mambo ya hovyo hovyo ni kanda ya ziwa.
Ila inapokuja swala la amani na maendeleo mfano siku ya wanawake hayo yanapelekwa Moshi ama Arusha.
Swali la kujiuliza kwa nini siku ya wanawake Mbowe hakuipeleka Mwanza ama Mara ama Shinyanga ila akaipeleka kwao ili ndugu zake wafanye biashara, wapate pesa.
Inapokuja maswala ya uharibifu kama maandamano na fujo anapeleka mwanza hataki yafanyikie kwao Moshi ili ndugu zake vitu vyao visiharibike na wasivurugwe na maandamano. Waendelee kufanya shughuli zao kama kawaida ila watu wa Mwanza ndio waharibikiwe.
Tinataka kuona kampeni kubwa kubwa Kilimanjaro na maandamano yakifanyika Moshi ama Arusha, sio mwanza na Mara tu.
Umeandika gazeti lakini matakataka tu!!!
Nikuulize, hivi miaka yote siku ya Wanawake hifanyika Kilimanjaro?
Ni mara ngapi maadhimisho ya hiyo siku yamefanyika huko ukiacha mwaka huu 2023?
Mwaka jana, juzi, n.k yalifanyika wapi…?