johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sababu kule watu wanajielewa miCCCM inakimbizwaSijasikia jambo lolote la Chadema au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana
Kipaumbele cha Chadema ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa
Kulikoni?
Nawatakia Sabato Njema!
Yesu aliwaambia wafuasi wake waende kwa mataifa wakaeneze injili.Pale Uyahudi ilitosha kwa muda huo.Nadhani tupo wote kwenye kuswata mputa mwagito!Sijasikia jambo lolote la Chadema au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana
Kipaumbele cha Chadema ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa
Kulikoni?
Nawatakia Sabato Njema!
Lakini wewe ni@TheEvilGenius.Mawazo yako yote ni hobelahobela.Chadema inapokuja maandamano ni kanda ya ziwa. Inapokuja mambo ya hovyo hovyo ni kanda ya ziwa.
Ila inapokuja swala la amani na maendeleo mfano siku ya wanawake hayo yanapelekwa Moshi ama Arusha.
Swali la kujiuliza kwa nini siku ya wanawake Mbowe hakuipeleka Mwanza ama Mara ama Shinyanga ila akaipeleka kwao ili ndugu zake wafanye biashara, wapate pesa.
Inapokuja maswala ya uharibifu kama maandamano na fujo anapeleka mwanza hataki yafanyikie kwao Moshi ili ndugu zake vitu vyao visiharibike na wasivurugwe na maandamano. Waendelee kufanya shughuli zao kama kawaida ila watu wa Mwanza ndio waharibikiwe.
Tinataka kuona kampeni kubwa kubwa Kilimanjaro na maandamano yakifanyika Moshi ama Arusha, sio mwanza na Mara tu.
Kilimanjaro na Arusha zimeshakombolewa. Wewe uliona wapi daktari kutibia mtu.asiyekuwa na maradhi?Sijasikia jambo lolote la Chadema au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana
Kipaumbele cha Chadema ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa
Kulikoni?
Nawatakia Sabato Njema!
Hasomi injili kwa moyo safi huyo.Kazi yake kututakia sabato njema kama kauli mbiu tu.Kilimanjaro na Arusha zimeshakombolewa. Wewe uliona wapi daktari kutibia mtu.asiyekuwa na maradhi?
Nitakutukana wakati wewe ni rafiki yangu. Kila kitu si ni ratiba? ratiba ya Kilimamnjaro bado.Sijasikia jambo lolote la CHADEMA au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana
Kipaumbele cha CHADEMA ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa
Kulikoni?
Nawatakia Sabato Njema!
Kaamka na hangover ya ulanzi wa kudoea halafu hana hela ya supu anajisikia kufakufa tu hapo alipo.Hasomi injili kwa moyo safi huyo.Kazi yake kututakia sabato njema kama kauli mbiu tu.
Yupo barabara-mbili anapata supu ya ngozi ya ng'ombe.Usimchukulie poa mkuu!πKaamka na hangover ya ulanzi wa kudoea halafu hana hela ya supu anajisikia kufakufa tu hapo alipo.
Kilimanjaro ilishakombolewa. Kule watu walishajitambua pumbavu wewe. Kwani hii ni mikutano ya kampeni.Sijasikia jambo lolote la CHADEMA au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana
Kipaumbele cha CHADEMA ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa
Kulikoni?
Nawatakia Sabato Njema!
πππYupo barabara-mbili anapata supu ya ngozi ya ng'ombe.Usimchukulie poa mkuu!π
πππ UmeshafuraKilimanjaro ilishakombolewa. Kule watu walishajitambua pumbavu wewe. Kwani hii ni mikutano ya kampeni.
ππKaamka na hangover ya ulanzi wa kudoea halafu hana hela ya supu anajisikia kufakufa tu hapo alipo.
Nudfure mbele ya mwehu. Si ntakuwa mwehu kama wewe kuandika chochote kinachonijia ???πππ Umeshafura
Tumia akili kidogo tu utajua sababu ...... wanaogopa mzimu wa jpm maana chadema akikubaliki tena siyo kama zamani ...kinacho tokea sasa ni kukubalika kishingo upande kwa sababu hakuna mbadala wa chama cha upinzani ...siku kikitokea chama cha kizalendo ndiyo utakuwa mwisho wa chademq na takataka zote za upinzani zilizopo sasaSijasikia jambo lolote la CHADEMA au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana
Kipaumbele cha CHADEMA ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa
Kulikoni?
Nawatakia Sabato Njema!
Kule ni waasisi washajielewa kitamboSijasikia jambo lolote la CHADEMA au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana
Kipaumbele cha CHADEMA ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa
Kulikoni?
Nawatakia Sabato Njema!
πππ Ndani ya Chopa ya Maridhiano!Nudfure mbele ya mwehu. Si ntakuwa mwehu kama wewe kuandika chochote kinachonijia ???