Kwanini CHADEMA wanaukwepa sana mkoa wa Kilimanjaro na Sabaya Hayupo?


Umeandika gazeti lakini matakataka tu!!!
Nikuulize, hivi miaka yote siku ya Wanawake hifanyika Kilimanjaro?
Ni mara ngapi maadhimisho ya hiyo siku yamefanyika huko ukiacha mwaka huu 2023?
Mwaka jana, juzi, n.k yalifanyika wapi…?
 
Lini na ni mwaka upi walifanya maandamano ya uharibifu kanda ya ziwa
 
Aquilina alipigwa Risasi CDM ikifanya mkutano Arusha.

Mke wa Dr Slaa alivunjwa bega ktk maandamano akiwa Kilimanjaro .

Kanda ya ziwa ndilo lango la Nchi, usisahau hata harakati na maono ya Uhuru wa Nchi hii yalianzia Kanda hii.

Rudia vizuri kujenga HOJA .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…