PreGE2025 Kwanini CHADEMA wasiende Mahakamani kupigania hayo mabadiliko wanayoyataka?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ndugu zangu Watanzania,

CHADEMA wanashangaza sana, wanasikitisha sana, wanatia aibu sana, wanaleta maswali yasiyo na majibu na kuonyesha namna ambavyo bado ni chama kichanga na chenye Ombwe la uongozi na viongozi. Inaonyesha ni chama kilichokosa viongozi na uongozi wa kuonyesha njia na muelekeo Sahihi.

Inaonyesha ni chama ambacho hakijua kinataka nini na kitapata vipi kitu kinachohitaji .

Hivi inawezekanaje chama kikakosa mtu hata mmoja mwenye akili na ufahamu wa walau kuwashitua wenzake kuwa masuala kinayopigania hayawezi kufanikiwa wala kufikiwa wala kutimizwa kwa njia za mkato na kihuni huni na janja janja.

Tangia lini masuala ya kisheria na kikatiba yakafikiwa na kupatiwa majibu kwa njia za kusema tutatuzia uchaguzi siku ya uchaguzi? Hivi hii inaingia akilini kweli? Inawezekana kweli? Ndio akili hizo? Unaweza kufanikiwa kweli?

Kwanini chama kupitia wanasheria wake wasingekuwa wamekwenda mahakamani kufungua shauri muda wote huo? Kwanini wasinge kwenda kupigania hayo mabadiliko kwa hoja mahakamani? Kwani hawajui mahakama ndio mahali pekee penye kutoa haki na kutafsiri sheria na hata kushauri cha kufanya ?

Kwa nini CHADEMA inaongozwa utafikiri kuku aliyekatwa kichwa kabla ya kukata pumzi? Kwanini chama kinaongozwa kikasuku kasuku kiasi hiki? Nani mshauri wa CHADEMA na anawapotosha na kuwapoteza CHADEMA kiasi hiki? Hivi huko CHADEMA amekosekana mwenye busara na hekima wa kuwaambia jambo hilo?

Mpaka lini CHADEMA itaumiza Wafuasi wake kwa ujinga wa viongozi wake? Mpaka lini CHADEMA itajidhalilisha kwa upofu wa akili na macho wa viongozi wake? Hivi unaweza vipi zuia uchaguzi kwa maneno na makelele ya majukwaani ambayo yanasahaulika na watanzania mara tu baada ya Simba na yanga kucheza mechi zao au Manara kutengana na mke wake?

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwani kesi aliyoshinda Mtikila kuhusu mgombea binfsi hukumu yake ilikwishatekelezwa na Serikali? Ccm mpaka damu iwatoke maskioni ndiyo mtasikia!
 
Mahakama za Prof Juma😁😁😁
 
rostam-pic.jpg

Unaukumbuka ushauri wa Rostam Aziz?
 
Mahakama Za nchi Gani unawaza kutumia nini?
Nyie ni binadamu waliokata tamaa, kila chombo hamkiamini, ila aliposhinda Mwabukusi mlifurahia na kuusifu uamuzi wa mahakama mnataka kila mnachotaka nyie iwe hiyo haiwezekani wajameni.
 
Ndugu zangu Watanzania,

CHADEMA wanashangaza sana, wanasikitisha sana, wanatia aibu sana, wanaleta maswali yasiyo na majibu na kuonyesha namna ambavyo bado ni chama kichanga na chenye Ombwe la uongozi na viongozi. Inaonyesha ni chama kilichokosa viongozi na uongozi wa kuonyesha njia na muelekeo Sahihi.

Inaonyesha ni chama ambacho hakijua kinataka nini na kitapata vipi kitu kinachohitaji .

Hivi inawezekanaje chama kikakosa mtu hata mmoja mwenye akili na ufahamu wa walau kuwashitua wenzake kuwa masuala kinayopigania hayawezi kufanikiwa wala kufikiwa wala kutimizwa kwa njia za mkato na kihuni huni na janja janja.

Tangia lini masuala ya kisheria na kikatiba yakafikiwa na kupatiwa majibu kwa njia za kusema tutatuzia uchaguzi siku ya uchaguzi? Hivi hii inaingia akilini kweli? Inawezekana kweli? Ndio akili hizo? Unaweza kufanikiwa kweli?

Kwanini chama kupitia wanasheria wake wasingekuwa wamekwenda mahakamani kufungua shauri muda wote huo? Kwanini wasinge kwenda kupigania hayo mabadiliko kwa hoja mahakamani? Kwani hawajui mahakama ndio mahali pekee penye kutoa haki na kutafsiri sheria na hata kushauri cha kufanya ?

Kwa nini CHADEMA inaongozwa utafikiri kuku aliyekatwa kichwa kabla ya kukata pumzi? Kwanini chama kinaongozwa kikasuku kasuku kiasi hiki? Nani mshauri wa CHADEMA na anawapotosha na kuwapoteza CHADEMA kiasi hiki? Hivi huko CHADEMA amekosekana mwenye busara na hekima wa kuwaambia jambo hilo?

Mpaka lini CHADEMA itaumiza Wafuasi wake kwa ujinga wa viongozi wake? Mpaka lini CHADEMA itajidhalilisha kwa upofu wa akili na macho wa viongozi wake? Hivi unaweza vipi zuia uchaguzi kwa maneno na makelele ya majukwaani ambayo yanasahaulika na watanzania mara tu baada ya Simba na yanga kucheza mechi zao au Manara kutengana na mke wake?

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mahakama hiz hiz za maelekezo? -Rostam aziz
 
Kumbe wewe huna akili, naomba unijibu, ulitaka wachukue hatua gani ili asikamatwe?.
 
Labda zile mahakama zinazosikiliza mauwaji ya kimbari Rwanda sio hizi zilizowekwa na Bi. Kizimkazi.
Huwezi peleka kesi ya ngedere kwa nyani halafu ukapata haki yako
 
Back
Top Bottom