PreGE2025 Kwanini CHADEMA wasiende Mahakamani kupigania hayo mabadiliko wanayoyataka?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani kesi aliyoshinda Mtikila kuhusu mgombea binfsi hukumu yake ilikwishatekelezwa na Serikali? Ccm mpaka damu iwatoke maskioni ndiyo mtasikia!
 
Mahakama za Prof Juma😁😁😁
 
Mahakama Za nchi Gani unawaza kutumia nini?
Nyie ni binadamu waliokata tamaa, kila chombo hamkiamini, ila aliposhinda Mwabukusi mlifurahia na kuusifu uamuzi wa mahakama mnataka kila mnachotaka nyie iwe hiyo haiwezekani wajameni.
 
Mahakama hiz hiz za maelekezo? -Rostam aziz
 
Kumbe wewe huna akili, naomba unijibu, ulitaka wachukue hatua gani ili asikamatwe?.
 
Labda zile mahakama zinazosikiliza mauwaji ya kimbari Rwanda sio hizi zilizowekwa na Bi. Kizimkazi.
Huwezi peleka kesi ya ngedere kwa nyani halafu ukapata haki yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…