PreGE2025 Kwanini CHADEMA wasiende Mahakamani kupigania hayo mabadiliko wanayoyataka?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Unajua reforms zinazotakiwa zinazihusu mahakama pia?
 
 
Zile ambazo chawa mmoja anaweza kupiga simu na mtoa maamuzi akabadili kutoka haki kwenda hatia aukutoka hatia kwenda haki?au nyingine?
 
Kwani ujui kuwa mahakama ni toilet paper ya ccm.
 

Mahakamani kupigania hayo mabadiliko wanayoyataka

Tatizo hata mahakama zimeingia siasa sana ndiyo maana mabadiliko lazima yatoke kwa watu. Mahakama ya Tanzania haiko huru kama ya Kenya kwa mfano. Kesi zinachukuwa miaka haziishi angalia Dr Slaa juzi juzi kesi imefutwa muda wake wote nani kamplipa? Akisema adai itachukuwa miaka 5. Angalia kesi za Covid 19 yaani miaka mitano kesi mpaka leo ziko mahakamani sasa ni mahakama za aina gani hizi? mtu anakaa bungeni miaka 5 anachezea mahakama tu!!! halafu leo unalaumu Chadema hivi tunatumia akili gani ? au ni uchawa
 
Kesi zinataratibu zako katika uendeshaji wake na inategemea aina ya kesi.
 
Kesi zinataratibu zako katika uendeshaji wake na inategemea aina ya kesi.

Tusidanganyane hizo taratibu kama zinachukuwa miaka mitano kesi ya ubunge ambao nao ni wa miaka mitano zimewekwa kumsadia nani hasa. Na hapo umejibu mwenyewe kama. Yaani kwa kusingizi utaratibu unamweka mtu asiye na hatia jela kwa hata miaka halafu akitoka hapati kitu ! sasa huu ni utaratibu gani wa haki? ndiyo maana watu hawaendi wala kuamini mahakama za Tanzania. Pili zinapata maelezo ya kisiasa na mifano ni mingi tu
 
Kesi haziendeshwi kwa mfumo wa zimamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…