PreGE2025 Kwanini CHADEMA wasiende Mahakamani kupigania hayo mabadiliko wanayoyataka?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sasa kama hawawezi kuzuia mna wasiwasi gani si muendelee na shughuli zenu. Kwanini kila siku mnahoji kama jamaa hawataweza kufanya kitu
Ninyi si mnasema mtatumia nguvu ya Umma? Sasa huo umma mnautoa wapi wakati watanzania wamewapuuzeni
 
Mahakama za inchi gani?
 
Wewe sasa unajua mfumo wa kisheria kuliko wakina Lissu? Tanzania kila mtu mjuaji
Kwani lissu ndio Msaafu au Biblia? Ndio muongozo wenu? Ndio SI UNIT? Ndio kipimo? Kwanini mnakuwa na akili za kinyumbu kiasi hicho?
 
Kuhusu mahakama..Rostam aziz alishamaliza!
 
Kwani lissu ndio Msaafu au Biblia? Ndio muongozo wenu? Ndio SI UNIT? Ndio kipimo? Kwanini mnakuwa na akili za kinyumbu kiasi hicho?

Chama cha wanasheria kimesha eleza hayo mapungufu yote unayosema. Umekuja hapa na kujisahaulisha kama vile sisi ni watoto!
 
Nashukuru sina hata mtu yeyote wa karibu anayeitwa Lucas.
 
A court of Tanzania is a branch of ccm operating under ccm chairman
 
Utajibiwa kwa matusi
 
Unaendaje mahakamani wakati tukio linalobishaniwa halijatokea? Issue ni uchaguzi wa mwaka 2025 na hoja ni reforms zinazohusiana na mchakato wa uchaguzi... Chadema wanaenda mahakamani kufanya nini kwa sasa? 😳 🤔
 
Kwa hiyo hizo reforms mtazitengenezea mitaani
 
Kweli ww ms.ng....mahakama gani hii ya ccm
 
Bwana Mwashambo kwani nia ya sasa ambayo CDM wanaotumia Ina shida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…