PreGE2025 Kwanini CHADEMA wasiende Mahakamani kupigania hayo mabadiliko wanayoyataka?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mahakama hizi hizi zilizokaa na kesi ya kina Mdee zaidi ya miaka 4 na ushahidi wote upo, lakini kesi ya urais hapa Kenya ikaisha ndani ya miezi mitatu. Watu wajinga tu ndio wanaweza kwenda kupoteza muda kwenye hizo mahakama zinazojivunia majengo, huku kuna milundikano ya kesi, na hukumu za kubambikiwa.
 

Ametujibia kabisa jamaa hapa ni mfano
 

Attachments

  • cb1ed3ab-572a-4d6e-a6d1-683da22d2ec7.jpeg
    158.7 KB · Views: 9
Amenena
 

Attachments

  • cb1ed3ab-572a-4d6e-a6d1-683da22d2ec7.jpeg
    158.7 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…