Pre GE2025 Kwanini Chalamila ameamua kutumia madhabau kutoa kauli ya kuyataka majeshi yafanye usafi 23-24/01/2024?

Pre GE2025 Kwanini Chalamila ameamua kutumia madhabau kutoa kauli ya kuyataka majeshi yafanye usafi 23-24/01/2024?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hayo Majeshi pia ni wahanga wa maisha mabovu ya vikokotoo wakistaafu!

Mimi niwaombe JWTZ,siku hiyo wakitoka kwenda kufanya usafi wasirudi makambini hadi wahakikishe wao pamoja na wananchi katiba inapatikana!,Tofauti na hapo hakuna kurudi kambini!
Mkuu hakuna jeshi la kudai katiba mpya hapa nchini. Labda baadhi ya wanajeshi kwa mantiki ya kupindua nchi.
 
JWTZ tangu walipobebeshwa korosho ,kila kiongozi Sasa analitumia atakavyo. Chalamila sasa analitaka jeshi likasafishe vyoo vya stendi na kuzoa taka barabarani.

Ndiyo maana huwa naandika mara kadhaa humu kwamba majeshi yapo Niger, Burkina Faso, Senegal na Gabon. Hapa kwetu tuna wabeba korosho na wasafisha vyoo.
Ni udhalilishaji kwa jeshi letu kwa kweli..
Bora angekuwa Amir jeshi Mkuu ndo katoa hiyo amri.
 
JWTZ tangu walipobebeshwa korosho ,kila kiongozi Sasa analitumia atakavyo. Chalamila sasa analitaka jeshi likasafishe vyoo vya stendi na kuzoa taka barabarani.

Ndiyo maana huwa naandika mara kadhaa humu kwamba majeshi yapo Niger, Burkina Faso, Senegal na Gabon. Hapa kwetu tuna wabeba korosho na wasafisha vyoo.
iTabidi wafanye usafi hakuna jinsi tena waanzie kariakoo maana kuchafu sana. Agizp la RC ni la Rais
 
Back
Top Bottom