Kwanini chaneli nyingine za Azam ni lazima zilipiwe ili kuzitazama? Kwani zenyewe si za ndani?

Kwanini chaneli nyingine za Azam ni lazima zilipiwe ili kuzitazama? Kwani zenyewe si za ndani?

Hahaa!! Kulingana na maelekezo ya TCRA, chaneli za bure za( kitaifa)ni Tbc 1, ITV, Star TV, channel ten, na EATV tu.Hizo nyingine clouds, tv E, wasafi, na UTV ni hiari yao kuzifanya ziwe za bure.
 
Zinapatikana na kwenye ving'amuzi vingine? Ukipata jibu njoo nikueleze kwanini ZBC2 ni mali ya serikali lakini lazima ulipie
ZBC2 siyo mali ya serikali ya mapinduzi bali ni mali ya bakhresa kupitia ZBC kwa mikataba ya kinyonyaji.

Wazanzibari wengi wanajua na kusema sana ila ndiyo hivyo serikali imepiga pamba masikio, Azam walitengeneza mazingira kupitia hiyo chaneli ili wapige pesa.
 
Aiseeee !!!
 
Ni kweli kabisa,huko nje ya nchi wanajua ni Mali ya SMZ ndio maana wanawapa unafuu wa matches nyingi waonyeshe bila malipo kumbe sivyo, mlango wa nyuma ni Mali ya Bakheresa.
 
Inashangaza Sana. Nchi nyingi duniani wanachagua satellite moja yenye mawimbi yanayofikika kirahisi na kuwa na channel moja yenye mjumuisho wa televisheni zote (Mux) za nchi.

Nape kutana na watalaamu wakuelekeze tuache kutaabika na kutegemea channel za hizi pay tv
 
Wakati watu wanapinga issue ya FTA wengi mlikula ganzi! Hizi sheria hizi...ila Nape amekua benchi..tumpe nafasi..Tuna Bunge la hovyo kabisa (Kumbuka Mjadala wa Analogia to Digital) ..kuliwahi kuja mapendekezo ya hata TCRA ibadilishwe isiwe Mamlaka ya Kudhibiti, badala yake iwe Mamlaka ya 'Maendeleo ya Mawasiliano' ila kama kawaida...Ikabezwa..Mtaelewa tu..
 
Wwakati watu wanapinga issue ya FTA wengi mlikula ganzi! Hizi sheria hizi...ila Nape amekua benchi..tumpe nafasi..Tuna Bunge la hovyo kabisa (Kumbuka Mjadala wa Analogia to Digital) ..kuliwahi kuja mapendekezo ya hata TCRA ibadilishwe isiwe Mamlaka ya Kudhibiti, badala yake iwe Mamlaka ya 'Maendeleo ya Mawasiliano' ila kama kawaida...Ikabezwa..Mtaelewa tu..
Duh !
 
Kwa mfano hizo Azam Sports 1, 2 na 3 hizi bili ya king'amuzi ikiisha muda wake na zenyewe zinasitishwa, kwanini jambo hili na hizi ni channel za Tanzania, au kuna jambo mimi silielewi?

Naomba kueleweshwa.

Iko hivi unapoomba leseni ..wewe unasema
Unataka tv iwe ya kulipia au ya bure..

Leseni ya kulipia hulazimishwi iwe bure .. unaweza fanya bure ukitaka mwenyewe..

Na leseni ya bure huwezi lazimisha kulipisha..

Ndo maana hizo channel unazotaja TCRA hawezi lazimisha ziwe za bure ..zina leseni ya kulipia
 
ZBC2 siyo mali ya serikali ya mapinduzi bali ni mali ya bakhresa kupitia ZBC kwa mikataba ya kinyonyaji.

Wazanzibari wengi wanajua na kusema sana ila ndiyo hivyo serikali imepiga pamba masikio, Azam walitengeneza mazingira kupitia hiyo chaneli ili wapige pesa.

Usilo lijua ni kama usiku wa kiza, hapo anaeliwa ni bakhresa na sio SMZ. Yaani ww nikujengee nyumba nikuwekee kila kitu halafu mapato tugawane 51/59 nani anae faidika?!
 
Usilo lijua ni kama usiku wa kiza, hapo anaeliwa ni bakhresa na sio SMZ. Yaani ww nikujengee nyumba nikuwekee kila kitu halafu mapato tugawane 51/59 nani anae faidika?!
Kama hujui mikataba ya kinyonyaji inavyofanya kazi ndipo unaweza kuandika as you wrote but you're out so you can't!.
 
Watu walipe bilioni 255 kwa ajili ya haki za kuonyesha mpira bado gharama za uendeshaji, kupeleka vifaa kwenye mikoa ambazo mechi inachezwa, kupeleka crew yenye watangazaji, washika camera, watu wa mixer na wengineo.. Kuwaweka watu studio wakuchambulie na gharama nyingine zinazohusiana na urushaji mwisho wafanye bure🤣🤣
 
Wakati watu wanapinga issue ya FTA wengi mlikula ganzi! Hizi sheria hizi...ila Nape amekua benchi..tumpe nafasi..Tuna Bunge la hovyo kabisa (Kumbuka Mjadala wa Analogia to Digital) ..kuliwahi kuja mapendekezo ya hata TCRA ibadilishwe isiwe Mamlaka ya Kudhibiti, badala yake iwe Mamlaka ya 'Maendeleo ya Mawasiliano' ila kama kawaida...Ikabezwa..Mtaelewa tu..

Sio lazima neno maendeleo liandikwe ndio kufanyike maendeleo...kudhibiti nalo ni jambo la muhimu...watu hawana shida na jina la TCRA bali watu wana shida na matendo na nia ya taasisi husika! Jina sio shida bali shida inaweza kuwa kwenye sheria na dhima ya taasisi...

Mjadala hapa ni zipi FTA na kwanini zikwate baada ya kumalizika kwa kifurushi? Hata Nape mwenyewe inaonesha hata aelewi maana ya FTA na mantiki yake ndio maana watu walishangilia tuu kusikia FTA zimerudishwa DSTV ...wakidhani watakuwa wanaziona bure hata kama kifurushi kikikata....jambo ambalo hata Azam hawafanyi!

Hata Nape hajui kinachoendelea na sidhani hata kama DSTV wenyewe wameelewa dhumuni la Nape[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom