The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Sio lazima neno maendeleo liandikwe ndio kufanyike maendeleo...kudhibiti nalo ni jambo la muhimu...watu hawana shida na jina la TCRA bali watu wana shida na matendo na nia ya taasisi husika! Jina sio shida bali shida inaweza kuwa kwenye sheria na dhima ya taasisi...
Mjadala hapa ni zipi FTA na kwanini zikwate baada ya kumalizika kwa kifurushi? Hata Nape mwenyewe inaonesha hata aelewi maana ya FTA na mantiki yake ndio maana watu walishangilia tuu kusikia FTA zimerudishwa DSTV ...wakidhani watakuwa wanaziona bure hata kama kifurushi kikikata....jambo ambalo hata Azam hawafanyi!
Hata Nape hajui kinachoendelea na sidhani hata kama DSTV wenyewe wameelewa dhumuni la Nape[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unae jua si ndo uweke hapa. Tusikie