Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wamezingatia nini kuteua hizo ulizosema ni za bure?Hahaa!!kulingana na maelekezo ya TCRA, chaneli za bure za( kitaifa)ni Tbc 1, itv, startv, channel ten, na eatv tu.Hizo nyingine clouds, tv E, wasafi, na utv ni hiari yao kuzifanya ziwe za bure.
Ndio zilikuwa na leseni ya kitaifa kuonekana nchi nzima wakati wa uhamaji kutoka analogia kwenda digitali.Wamezingatia nini kuteua hizo ulizosema ni za bure ?
ZBC2 siyo mali ya serikali ya mapinduzi bali ni mali ya bakhresa kupitia ZBC kwa mikataba ya kinyonyaji.Zinapatikana na kwenye ving'amuzi vingine? Ukipata jibu njoo nikueleze kwanini ZBC2 ni mali ya serikali lakini lazima ulipie
Aiseeee !!!ZBC2 siyo mali ya serikali ya mapinduzi bali ni mali ya bakhresa kupitia ZBC kwa mikataba ya kinyonyaji.
Wazanzibari wengi wanajua na kusema sana ila ndiyo hivyo serikali imepiga pamba masikio, Azam walitengeneza mazingira kupitia hiyo chaneli ili wapige pesa.
Ni kweli kabisa,huko nje ya nchi wanajua ni Mali ya SMZ ndio maana wanawapa unafuu wa matches nyingi waonyeshe bila malipo kumbe sivyo, mlango wa nyuma ni Mali ya Bakheresa.ZBC2 siyo mali ya serikali ya mapinduzi bali ni mali ya bakhresa kupitia ZBC kwa mikataba ya kinyonyaji.
Wazanzibari wengi wanajua na kusema sana ila ndiyo hivyo serikali imepiga pamba masikio, Azam walitengeneza mazingira kupitia hiyo chaneli ili wapige pesa.
Azam ana 51 wakati serikali 49ZBC2 siyo mali ya serikali ya mapinduzi bali ni mali ya bakhresa kupitia ZBC kwa mikataba ya kinyonyaji.
Wazanzibari wengi wanajua na kusema sana ila ndiyo hivyo serikali imepiga pamba masikio, Azam walitengeneza mazingira kupitia hiyo chaneli ili wapige pesa.
Duh !Wwakati watu wanapinga issue ya FTA wengi mlikula ganzi! Hizi sheria hizi...ila Nape amekua benchi..tumpe nafasi..Tuna Bunge la hovyo kabisa (Kumbuka Mjadala wa Analogia to Digital) ..kuliwahi kuja mapendekezo ya hata TCRA ibadilishwe isiwe Mamlaka ya Kudhibiti, badala yake iwe Mamlaka ya 'Maendeleo ya Mawasiliano' ila kama kawaida...Ikabezwa..Mtaelewa tu..
Weka mkataba wao hapa tuone kama ni kweliAzam ana 51 wakati serikali 49
Kwa mfano hizo Azam Sports 1, 2 na 3 hizi bili ya king'amuzi ikiisha muda wake na zenyewe zinasitishwa, kwanini jambo hili na hizi ni channel za Tanzania, au kuna jambo mimi silielewi?
Naomba kueleweshwa.
ZBC2 siyo mali ya serikali ya mapinduzi bali ni mali ya bakhresa kupitia ZBC kwa mikataba ya kinyonyaji.
Wazanzibari wengi wanajua na kusema sana ila ndiyo hivyo serikali imepiga pamba masikio, Azam walitengeneza mazingira kupitia hiyo chaneli ili wapige pesa.
Wamezingatia nini kuteua hizo ulizosema ni za bure ?
Kama hujui mikataba ya kinyonyaji inavyofanya kazi ndipo unaweza kuandika as you wrote but you're out so you can't!.Usilo lijua ni kama usiku wa kiza, hapo anaeliwa ni bakhresa na sio SMZ. Yaani ww nikujengee nyumba nikuwekee kila kitu halafu mapato tugawane 51/59 nani anae faidika?!
AiseeeKwasababu hazina mpira wala tamthilia kali
Wakati watu wanapinga issue ya FTA wengi mlikula ganzi! Hizi sheria hizi...ila Nape amekua benchi..tumpe nafasi..Tuna Bunge la hovyo kabisa (Kumbuka Mjadala wa Analogia to Digital) ..kuliwahi kuja mapendekezo ya hata TCRA ibadilishwe isiwe Mamlaka ya Kudhibiti, badala yake iwe Mamlaka ya 'Maendeleo ya Mawasiliano' ila kama kawaida...Ikabezwa..Mtaelewa tu..