Kwanini China haipo kwenye G7 countries (Industrialized countries)?

Kwanini China haipo kwenye G7 countries (Industrialized countries)?

China ina viwanda vidogo vidogo kama vile anavyovizungumzia Mwijage! Haina viwanda vikubwa ambavyo vinaitwa heavy industries.
 
Wakuu kama tunavoona China inazalisha bidhaa nyingi ambazo huuzwa mpaka Ulaya na marekani.

Lakini mpaka sasa China sio mjumbe wa G7 (Most industrialized countries) yaani Nchi zilizoendelea kiviwanda. Nchi zilizo kwenye G7 ni Marekani, Uingereza, Japan, Italy, German, Canada na Ufaransa

Ni sababu ipi inaifanya China isiwe na sifa kuingia G7?
jbu ni rahisi anayepamga hii list ni hasimu wa china so hawezpenda kumuona mchiz kwenye list yake akifanya poa ukweli ni kwamba kama list ingepangwa bila uhasama wa kisiasa na kiuchumi bac kwenye G7 china ingekua ipo mbele kabisa yan G1 au G2
 
Back
Top Bottom