Kwanini China haipo kwenye G7 countries (Industrialized countries)?

China ina viwanda vidogo vidogo kama vile anavyovizungumzia Mwijage! Haina viwanda vikubwa ambavyo vinaitwa heavy industries.
 
jbu ni rahisi anayepamga hii list ni hasimu wa china so hawezpenda kumuona mchiz kwenye list yake akifanya poa ukweli ni kwamba kama list ingepangwa bila uhasama wa kisiasa na kiuchumi bac kwenye G7 china ingekua ipo mbele kabisa yan G1 au G2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…