dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Hpn no siyo sababu siajwai sikia kuwa eti IPO ktk makundi hapan naona wao wako busy na uchumi tuUnahangaika hivyo,mfano so mdogo tu,kwa nini Tanzania haishiriki?
China [emoji630] aliparticipate kwenye world cup ya 2002 na alikuwa kundi moja na Brazil [emoji1054]Hpn no siyo sababu siajwai sikia kuwa eti IPO ktk makundi hapan naona wao wako busy na uchumi tu
+ Takumi MinaminoMchezaji gani star kutoka China au India anayekipiga klabu kubwa Ulaya? Japan najua kuna Tomiyasu
Kuna jitu litatokea na kusema huyu ni mjapani, bila kutizama umeweka ++ Takumi Minamino
Kanjibai alijua lini kukimbia, ni jamii ya watu waoga sana, mtishie tu kuwa wewe ni polisi ...atafungasha kwenye suruali kama kanywa wanzukiHbr za mchna
Naomba sababu Ni zipi haswa zilizopelekea nchi tajwa hapo juu kutokukushirki kwake kombe la dunia
Wachina Ni wakandarasi wazuri Sana pia wao ndio waliojenga viwanja vya Qatar na pia uwanja wetu wa mkapa
Taifa Lina watu 2 bilion Kweli imeshindwa kutoa first elven Bora kabsa ili kuweza kupamban na mataifa mengine Kama USA , UK ,nk
Je tuseme hao wenzetu wao wako busy Sana kupambana na Hali ya uchumi na utafutaji tu
Safi Japan naona kila awamu mpo na mnaupiga mwingi sana
Oya madem wa kipashtuni wanajua kukata viuno!?..Sio kifaumbele Chao hiyo ndio sababu kuu, ni sawa na India na Pakistan kifaumbele Chao cricket, mfano tv za Pakistan kuhamasisha mpira ptv sport tv ya taifa ya michezo inaonyesha epl for free au a sport inaonyesha hili Kombe la dunia Kila mechi for free kabisa ila waangaliaji hawapo hatimae tunaofaidi ni sisi slopers tunatega madishi tunaona bure hata geodavie tv ilikuwa inajiunga huko Kwa wapakistani
Hapo Moto uliwaka Kama China hakuchezea 10-0 bahatiChina [emoji630] aliparticipate kwenye world cup ya 2002 na alikuwa kundi moja na Brazil [emoji1054]
Alichezea mkono kama Simba Ronaldho alidhalilisha watuHapo Moto uliwaka Kama China hakuchezea 10-0 bahati
Hbr za mchna