raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Roberto carlos alipiga free kick wachina wakalala pembeni hadi nyavuni ni kama walipigwa butwaa 😆China [emoji630] aliparticipate kwenye world cup ya 2002 na alikuwa kundi moja na Brazil [emoji1054]
Ooh kumbe nao wanapewa nafsi mm nikajuwa fitina za FIFA dhid ya taiifa HiloChina walishiriki 2002 kama kumbukumbu zangu ziko vzr
Bas Kweli nimesahau tu sikujuwa kuwa nao Ni wapambanajiChina [emoji630] aliparticipate kwenye world cup ya 2002 na alikuwa kundi moja na Brazil [emoji1054]
Duh sahih ila naona 2002 walishiriki wakapigwa nje ndaniSio kifaumbele Chao hiyo ndio sababu kuu, ni sawa na India na Pakistan kifaumbele Chao cricket, mfano tv za Pakistan kuhamasisha mpira ptv sport tv ya taifa ya michezo inaonyesha epl for free au a sport inaonyesha hili Kombe la dunia Kila mechi for free kabisa ila waangaliaji hawapo hatimae tunaofaidi ni sisi slopers tunatega madishi tunaona bure hata geodavie tv ilikuwa inajiunga huko Kwa wapakistani
Kumbe walitoa boko aseechina ilifungiwa na fifa iliposhiriki mara ya mwisho kwa kuzidisha wachezaji uwanjani kutokana na mfanano wao! na kubadilishana bila mwamuz kujua na makosa mengine
Hahahaha itabidi Ni review hyo mechi aiseeRoberto carlos alipiga free kick wachina wakalala pembeni hadi nyavuni ni kama walipigwa butwaa [emoji38]
Wavimba macho hawakuamini!Alichezea mkono kama Simba Ronaldho alidharirisha watu
Kungfu world Cup 2045 BeijingVipaumbele tu..usidhani mchezo unaoupenda wewe na nchi zingine wataupenda...kama India cricket huwaambii kitu...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
nafikir hawajataka kuwekeza kwenye soka la kimataifa..!!
India walifungiwa baada ya tff yao kukiuka masharti ya fifa
Ambayo Ni yapi mkuuIndia walifungiwa baada ya tff yao kukiuka masharti ya fifa
Kutengeneza vitu feki na kuviuza Africa ndicho wanachowazacmuda woteKila inchi ina vipaumbele vyake vya soka.
Mfano hata marekani wao zamani miaka ya 90 kurudi nyuma walijikita sana ktk Basketball, baseball,nk,.
Football ilikuwa sio favorite ya wamarekani wengi.
Hata India wao favorite yao ni mchezo wa Crickets.na sio football.
China wao hata sijuwi kipaumbele ni nn?.
HV wee kijana umesha Anza ujenzi wa nyumba yako hyo ya gorofa moja chumba kimoja au upo upo unamsubiri mwigulu akupige ukuni [emoji41] ndipo uanze ujenziKwanini Tanzania pia haishiriki kombe la Dunia [emoji276]mtoa mada acha bangi
Itabidi nitafute hyo video nione au Kama unayo mkuu tupia hapaRoberto carlos alipiga free kick wachina wakalala pembeni hadi nyavuni ni kama walipigwa butwaa [emoji38]