Kwanini Christmas iwe 25 December?

Wakuu,

Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu.

Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti..

Mbona kama hesabu haipo sawa.

Soma Luka 1:26-35
Go to gregorian calendar first.. then reason your what th date of today..

Ask yourself ni kweli?!
Kwa imani yako.
 
Ofcourse I meant X mass, nimekusoma nimekuelewa, ila inaonekana Bado hatuna majibu yaliyo sahihi,

Basi inawezekana biblia ni kitabu kama vitabu vingine, like novels,
 
Hakuna mtu yyte hapa Duniani ana uhalika kuna mtu aliwahi kuwepo anaitwa yesu,hakuna mtu yoyote anayejua majina ya siku au tarehe au miezi.
Yote ni watu walianzisha ili kuwe na order katika Dunia.
Kwahyo haya mambo ni kama utaperi tu
 
Mkuu umeongea kweli
 
Sina shida na sikukuu inaweza kupangwa na kubadirishwa kwa sababu zozote.

Swali langu ni kwanini anaitwa BIKIRA MARIA hata baada ya kumzaa yesu? Alizaa na bikira ikaendelea kuwepo au sababu zipi waendelee kumuita BIKIRA Maria?
 
Haha 🤣 watu wanaishi Kwa nadharia, kila mtu anapicha ya mungu wake kichwani
 
Sina shida na sikukuu inaweza kupangwa na kubadirishwa kwa sababu zozote.

Swali langi ni kwanini anaitwa BIKIRA MARIA hata baada ya kumzaa yesu? Alizaa na bikira ikaendelea kuwepo au sababu zipi waendelee kumuita BIKIRA Maria?
Mimi ninacho , Dini na vitabu vyake ni utaperi tu, dini imeshindwa kujijibu yenyewe
 
 

Attachments

  • Screenshot_20241211-225534.jpg
    387.9 KB · Views: 1
Someni vijana.
Bikira Mariamu hakupata mimba ya Yesu Mwezi Juni ikimaanisha mwesi wa Sita.
Bali ulikuwa mwezi wa sita baada ya Elizabeti kupata mimba ya Yohana Mbatizaji.
Soma:
Luka 1:24
Hata baada ya siku zile mkewe Elisabeti alichukua mimba akatawa miezi mitano, akisema,
25 Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana katika siku zile alizoniangalia ili kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.
26 Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti,
27 kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.
28 Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.

Hivyo Yohana na Yesu walipishana miezi mitano kwa umri.
Read between the line before running to conclution.
 
Wakuu,

Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu.

Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti..

Mbona kama hesabu haipo sawa.

Soma Luka 1:26-35

Lakini unaruhusa ya kuifanya any day suitable to you. Sisi wengine tunapenda formality tutaifanya 25th Dec. What is the big deal?
 
Meza tu hivyohivyo au sukumia na maji maana tumeshikiwa akili na kikundi cha wachache sana, tukihoji tunaambiwa ni pepo mchafu ametuingia.....
 
Ukiwa mdogo bwana kila kitu unaamini ila kadri unavyokua unajua kuwa hii ilikuwa ni katika harakati za kupanga dunia, mara kitabu kimeshuka kutoka mbinguni, mara Adamu na Eva huongo mtupu, jiulize kama hayo matukio yalikuwepo kweli kwanini miaka ya hivi karibuni hayatokei nini kinasababisha yasitokee?
 
Wakuu,

Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu.

Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti..

Mbona kama hesabu haipo sawa.

Soma Luka 1:26-35
Una andiko lolote linalotaja neno "June" kwamba ñdo mwezi aliopata mimbà bikira Maria?
Mwaka aliozaliwa Yesu hakukuwa na haya majina June, December etc.
 
Ofcourse I meant X mass, nimekusoma nimekuelewa, ila inaonekana Bado hatuna majibu yaliyo sahihi,

Basi inawezekana biblia ni kitabu kama vitabu vingine, like novels,
Biblia unaweza kuifikiria utakavyo; wacha Mungu kwao hicho ni kitabu cha Mungu na kinaishi. Huwezi kuilaumu Biblia kuhusu Christmas wakati hiyo Christmas yenyewe Biblia haijaizungumzia, sisi ndio tumetengeneza sikukuu hiyo halafu unasemaje Biblia ni novel? Again, sherehe zote za Kikristo including pasaka ulioitaja wewe, Ijumaa kuu, sherehe za Pentecosts zote zilikuwepo except Christmas. So Christmas tuhangaike nayo sie, Biblia ipo silence about it. Wayahudi hadi leo wana zisherehekea hizo sherehe except Christmas, Christmas was originated in Europe not middle east na haina uhusiano wowote na mambo ya Mungu
 
Tarehe sio muhimu cha muhimu ni kwamba alizaliwa.
 
Hapa kwa Jumapili sikubaliani na wewe, kajisomee tena Biblia mwenyewe, usiathiriwe na mafundisho ya manabii wapya. Jumapili au siku ya kwanza ya juma ilianza kutumiwa na mitume wa Yesu mwenyewe kina Petro, hawakua wakiita siku ya kwanza, walikua wakiita kama siku ya Bwana cause hiyo ndio siku ambayo Bwana wao alifufuka na ndio siku ambayo kanisa lilizinduliwa for the first time, yaani siku ile ya Pentecost ambayo wao ndio walijazwa/walibatizwa kwa roho mtakatifu. Again why walikua wakikutana siku ya Bwana? Remember Wayahudi waliomkata Yesu waliendelea kufuata mafundisho ya Musa, waliendelea kuzishika sabato na sheria nyingine za Kiyahudi, now hawa waumini wapya yaani kina Petro and his mates, walikua wakienda kusali siku za Sabato hekalu linakua occupied na Judaisms so wakawa wanakutana siku ya pili yake ambayo ndio siku ya kwanza ya juma, kwa leo ni Jumapili. Warumi wali copy what the church was doing. Kwa hi la Jumapili, tusiwaonee Warumi
 
Mbona sikukuu zenu za Maulidi, Hallowin, mfungo mosi na pili na Idi mosi na pili hazijandikwa kwenye Qurani yenu wala katika hadithi zenu na hamuuziulizi kabisa kabisa
Mnakomaa na Chrismas tu.

Sherehekeni sikukuu zenu na sisi mtuachie Chrismas yetu.
Endeleeni na skukuu zenu za kumpiga mawe Shetani

Wacheni vilomolomo
 
Wakuu,

Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu.

Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti..

Mbona kama hesabu haipo sawa.

Soma Luka 1:26-35
Hamishia tarehe nyingine sheikh wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…