Kwanini Christmas iwe 25 December?

Kwanini Christmas iwe 25 December?

Wakuu,

Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu.

Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti..

Mbona kama hesabu haipo sawa.

Soma Luka 1:26-35
Go to gregorian calendar first.. then reason your what th date of today..

Ask yourself ni kweli?!
Kwa imani yako.
 
Sasa Pasaka na mimba ya Yesu wapi na wapi? Halafu una uhakika Yesu alitungwa mimba mwezi wa 6? Nenda kasome upya, ule sio mwezi wa sita like June, ni miezi 6 since malaika Gabriel alipomtokea Zakaria na mkewe Elizabeth kuhusu mimba ya nabii Yohana mbatizaji; in other words, Yesu na Yohana mbatizaji wanatofautiana miezi 6 kuzaliwa.
Now back to the topic (yote haya ni kwa mujibu wa mtazamo wangu baada ya kuisoma Biblia ). Nadhani hiyo pasaka, ulitaka kusema Christmas na sjo Pasaka; kwa ufupi hata mimi siamini kama Yesu alizaliwa tarehe 25 December. Hi siku ni ya kubuni, sio siku sahihi. Ninazo sababu kubwa 2, moja ambayo ni ya uhakika ni hi, sherehe zote za Kikristo zina mizizi agano la KALE, Pasaka, Pentecost, Ijumaa kuu nk zote zilianza kwenye agano la kale; yaani matukio yote ya Yesu na kanisa, misingi yake iliwekwa kabla Yesu hajazaliwa, kwasababu ya muda sitazifafanua hizo sherehe maanake zipo wazi sana kwa Biblia, Kristmas haipo, sio miongoni mwa hizo sherehe. Sababu yangu ya pili ni ya kutokuamini kwamba Yesu hakuzaliwa mwezi December ni ya Kijiografia na kihistoria. Biblia inasema, wakati Yesu anazaliwa, kulikua na baadhi ya wachungaji wako porini wakichunga wanyama wao (you may put kondoo hapa ) ilikua usiku or alfajiri; kwa mujibu wa majira ya kijografia na kihistoria, mwezi December ni kipindi cha baridi kali sana and hence wasn't possible kwa watu kua nje usiku or alfajiri; kipindi hicho wachungaji walikua wanawalisha mifugo yao akiba ya chakula ambacho walikiandaa miezi ya joto. Kwasababu hizo 2, Yesu hakuzaliwa December, possible ilikua kati ya September or August.
Ofcourse I meant X mass, nimekusoma nimekuelewa, ila inaonekana Bado hatuna majibu yaliyo sahihi,

Basi inawezekana biblia ni kitabu kama vitabu vingine, like novels,
 
Hakuna mtu yyte hapa Duniani ana uhalika kuna mtu aliwahi kuwepo anaitwa yesu,hakuna mtu yoyote anayejua majina ya siku au tarehe au miezi.
Yote ni watu walianzisha ili kuwe na order katika Dunia.
Kwahyo haya mambo ni kama utaperi tu
 
Hakuna jambo kama Hilo, Kila kitu kina maana, hata hivyo vitu vya kuokotwa vinapewa majina kulingana na uhalisia wake, ndiomaana Kuna scientific names kwa mimea, chemicals, wanyama n.k, Kila kitu kina uhalisia wake.

Ni ktk dini tu mambo ya uhalisia na ukweli yanapigwa vita, yaani wafuasi wa dini mnafunzwa kuamini badala ya kutafakali na kuhoji ukweli wa mambo, hili ndiko limewafanya watu wengi ktk hiyo mikusanyiko kulishwa uongo wa Kila aina na wanaogopa kuhoji

Hizo TAKATAKA ziitwazo dini, kama zingefundishwa bila vitisho na kuruhusu mahojiano, nina uhakika hakuna ambaye angebaki ktk hizo kanisa na misikiti.
Mkuu umeongea kweli
 
Sina shida na sikukuu inaweza kupangwa na kubadirishwa kwa sababu zozote.

Swali langu ni kwanini anaitwa BIKIRA MARIA hata baada ya kumzaa yesu? Alizaa na bikira ikaendelea kuwepo au sababu zipi waendelee kumuita BIKIRA Maria?
 
Tarehe ya huyo YESU ni changamoto Kwa sababu na kiuhalisia hajawai kuwepo, na hakuna ushahidi mahala popote hapa duniani inaonesha Kuna mtu wa aina yake aliishi hapo Yerusalem(Israel) ya mchongo hapo middle east miaka 2000 iliyopita.

Kilichofanyika na hao watunzi wa dini, ilikuwa kuhamisha hadithi na stories za Miungu ya zamani iliyoabudiwa na wamisri, wahindu, wabudha, n.k, stories ambazo zilihusu uzao wa nusu Mtu nusu Mungu, yaani stories za akina krisha,Zeus, Mithra,Horus, na habari hizo kuingizwa ktk bible huku akiundwa Character mpya ambaye wangemfanya kama unganiko la zama za kale(old testament) na zama mpya(new testament), huku zama hizo zikiwakilishwa na huyo character ambaye alibatizwa majina mazuri ambayo hayaondoi uhalisia wake kuwa ndie yule yule aliyeabudiwa na jamii za kale na Sasa kupewa majina mapya ambayo yangeficha uhalisia wake.

Yesu ni aina ya Mzimu/Pepo, ambalo lipo enzi na enzi limeabudiwa na jamii nyingi kwa majina tofauti na staarabu tofauti, ndiomaana uhalisia wake wa kuzaliwa ni ule ule, hauwezi kubadilishwa.

Narudia Tena, yesu wa biblia ama huyo Issa bin Mariam wa Quran hajawai kuwepo, chunguza mwenyewe hata ktk nakala za kihistoria hutoona hadithi za uwepo wa historia ya yesu zaidi ya kuona maandiko ya kidini

Iyo Israel yenyewe haijawai kuwepo kabla ya kuundwa hapo juzi na umoja wa mataifa, je huyo Jesus aliishi wapi?, miaka 2000 iliyopita hapo Israel hapakuwai kuwa na stories za yesu wala jamii inayomjua yesu, wala wao wenyewe waisrael hawakuwai kuwepo, zaidi ya utawala wa wazungu matapeli wanaojiita waisrael ilihali ni wazungu na baadhi ya waarabu ambao Leo hii nao wanaojiita wapalestina ama wengine wanajiita wazawa wa ibrahimu ambaye nae hajawai kuwepo, na hawana uhusika nae.

Achaneni na dini mnapotezewa muda wenu.
Haha 🤣 watu wanaishi Kwa nadharia, kila mtu anapicha ya mungu wake kichwani
 
Sina shida na sikukuu inaweza kupangwa na kubadirishwa kwa sababu zozote.

Swali langi ni kwanini anaitwa BIKIRA MARIA hata baada ya kumzaa yesu? Alizaa na bikira ikaendelea kuwepo au sababu zipi waendelee kumuita BIKIRA Maria?
Mimi ninacho , Dini na vitabu vyake ni utaperi tu, dini imeshindwa kujijibu yenyewe
 
Sasa Pasaka na mimba ya Yesu wapi na wapi? Halafu una uhakika Yesu alitungwa mimba mwezi wa 6? Nenda kasome upya, ule sio mwezi wa sita like June, ni miezi 6 since malaika Gabriel alipomtokea Zakaria na mkewe Elizabeth kuhusu mimba ya nabii Yohana mbatizaji; in other words, Yesu na Yohana mbatizaji wanatofautiana miezi 6 kuzaliwa.
Now back to the topic (yote haya ni kwa mujibu wa mtazamo wangu baada ya kuisoma Biblia ). Nadhani hiyo pasaka, ulitaka kusema Christmas na sjo Pasaka; kwa ufupi hata mimi siamini kama Yesu alizaliwa tarehe 25 December. Hi siku ni ya kubuni, sio siku sahihi. Ninazo sababu kubwa 2, moja ambayo ni ya uhakika ni hi, sherehe zote za Kikristo zina mizizi agano la KALE, Pasaka, Pentecost, Ijumaa kuu nk zote zilianza kwenye agano la kale; yaani matukio yote ya Yesu na kanisa, misingi yake iliwekwa kabla Yesu hajazaliwa, kwasababu ya muda sitazifafanua hizo sherehe maanake zipo wazi sana kwa Biblia, Kristmas haipo, sio miongoni mwa hizo sherehe. Sababu yangu ya pili ni ya kutokuamini kwamba Yesu hakuzaliwa mwezi December ni ya Kijiografia na kihistoria. Biblia inasema, wakati Yesu anazaliwa, kulikua na baadhi ya wachungaji wako porini wakichunga wanyama wao (you may put kondoo hapa ) ilikua usiku or alfajiri; kwa mujibu wa majira ya kijografia na kihistoria, mwezi December ni kipindi cha baridi kali sana and hence wasn't possible kwa watu kua nje usiku or alfajiri; kipindi hicho wachungaji walikua wanawalisha mifugo yao akiba ya chakula ambacho walikiandaa miezi ya joto. Kwasababu hizo 2, Yesu hakuzaliwa December, possible ilikua kati ya September or August.
 
Attachments

  • Screenshot_20241211-225534.jpg
    Screenshot_20241211-225534.jpg
    387.9 KB · Views: 1
Someni vijana.
Bikira Mariamu hakupata mimba ya Yesu Mwezi Juni ikimaanisha mwesi wa Sita.
Bali ulikuwa mwezi wa sita baada ya Elizabeti kupata mimba ya Yohana Mbatizaji.
Soma:
Luka 1:24
Hata baada ya siku zile mkewe Elisabeti alichukua mimba akatawa miezi mitano, akisema,
25 Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana katika siku zile alizoniangalia ili kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.
26 Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti,
27 kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.
28 Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.

Hivyo Yohana na Yesu walipishana miezi mitano kwa umri.
Read between the line before running to conclution.
 
Wakuu,

Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu.

Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti..

Mbona kama hesabu haipo sawa.

Soma Luka 1:26-35

Lakini unaruhusa ya kuifanya any day suitable to you. Sisi wengine tunapenda formality tutaifanya 25th Dec. What is the big deal?
 
Meza tu hivyohivyo au sukumia na maji maana tumeshikiwa akili na kikundi cha wachache sana, tukihoji tunaambiwa ni pepo mchafu ametuingia.....
 
Ukiwa mdogo bwana kila kitu unaamini ila kadri unavyokua unajua kuwa hii ilikuwa ni katika harakati za kupanga dunia, mara kitabu kimeshuka kutoka mbinguni, mara Adamu na Eva huongo mtupu, jiulize kama hayo matukio yalikuwepo kweli kwanini miaka ya hivi karibuni hayatokei nini kinasababisha yasitokee?
 
Wakuu,

Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu.

Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti..

Mbona kama hesabu haipo sawa.

Soma Luka 1:26-35
Una andiko lolote linalotaja neno "June" kwamba ñdo mwezi aliopata mimbà bikira Maria?
Mwaka aliozaliwa Yesu hakukuwa na haya majina June, December etc.
 
Ofcourse I meant X mass, nimekusoma nimekuelewa, ila inaonekana Bado hatuna majibu yaliyo sahihi,

Basi inawezekana biblia ni kitabu kama vitabu vingine, like novels,
Biblia unaweza kuifikiria utakavyo; wacha Mungu kwao hicho ni kitabu cha Mungu na kinaishi. Huwezi kuilaumu Biblia kuhusu Christmas wakati hiyo Christmas yenyewe Biblia haijaizungumzia, sisi ndio tumetengeneza sikukuu hiyo halafu unasemaje Biblia ni novel? Again, sherehe zote za Kikristo including pasaka ulioitaja wewe, Ijumaa kuu, sherehe za Pentecosts zote zilikuwepo except Christmas. So Christmas tuhangaike nayo sie, Biblia ipo silence about it. Wayahudi hadi leo wana zisherehekea hizo sherehe except Christmas, Christmas was originated in Europe not middle east na haina uhusiano wowote na mambo ya Mungu
 
Tarehe sio muhimu cha muhimu ni kwamba alizaliwa.
 
Hii tar.25Dec.,kiuhalisia ni siku ya kuzaliwa kwa Prince Tammuz.
Hii siku ilikuwa ikiadhimishwa kila mwaka kipindi cha Rumi ya kipagani hadi walipo kubaliani na wakristo wa kale kuiingiza sikukuu hiyo kwenye dini,iwe sikukuu ya kidini [ili kulinda na kutunza desturi zao],ikiambatana na kuabudu siku ya kwanza ya juma [jumapili]ambayo kwao [warumi]ni siku ya mungu jua.
Hizi ni baadhi ya desturi nyingi za kipagani zilizoingizwa kwenye dini/ibada kwa makubaliano maalum ya kukomesha mateso na mauaji kwa wakristo wa wakati huo.
Hapa kwa Jumapili sikubaliani na wewe, kajisomee tena Biblia mwenyewe, usiathiriwe na mafundisho ya manabii wapya. Jumapili au siku ya kwanza ya juma ilianza kutumiwa na mitume wa Yesu mwenyewe kina Petro, hawakua wakiita siku ya kwanza, walikua wakiita kama siku ya Bwana cause hiyo ndio siku ambayo Bwana wao alifufuka na ndio siku ambayo kanisa lilizinduliwa for the first time, yaani siku ile ya Pentecost ambayo wao ndio walijazwa/walibatizwa kwa roho mtakatifu. Again why walikua wakikutana siku ya Bwana? Remember Wayahudi waliomkata Yesu waliendelea kufuata mafundisho ya Musa, waliendelea kuzishika sabato na sheria nyingine za Kiyahudi, now hawa waumini wapya yaani kina Petro and his mates, walikua wakienda kusali siku za Sabato hekalu linakua occupied na Judaisms so wakawa wanakutana siku ya pili yake ambayo ndio siku ya kwanza ya juma, kwa leo ni Jumapili. Warumi wali copy what the church was doing. Kwa hi la Jumapili, tusiwaonee Warumi
 
Mbona sikukuu zenu za Maulidi, Hallowin, mfungo mosi na pili na Idi mosi na pili hazijandikwa kwenye Qurani yenu wala katika hadithi zenu na hamuuziulizi kabisa kabisa
Mnakomaa na Chrismas tu.

Sherehekeni sikukuu zenu na sisi mtuachie Chrismas yetu.
Endeleeni na skukuu zenu za kumpiga mawe Shetani

Wacheni vilomolomo
 
Wakuu,

Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu.

Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti..

Mbona kama hesabu haipo sawa.

Soma Luka 1:26-35
Hamishia tarehe nyingine sheikh wangu
 
Back
Top Bottom