Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Dec 13, 2024 #41 The ice breaker said: Wakuu, Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu. Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti.. Mbona kama hesabu haipo sawa. Soma Luka 1:26-35 Click to expand... Jibu ni dogo tu.Kwa nini haujiulizi mambo yote ya kwenye biblia ambayo watu waliishi kwa zaidi ya miaka na miaka (agano la kale na jipya) hufanyika au kuadhimishwa kwa mwaka mmoja tu!?Akili kumkichwa.Sikupi jibu.Ishi kwa kuteseka.
The ice breaker said: Wakuu, Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu. Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti.. Mbona kama hesabu haipo sawa. Soma Luka 1:26-35 Click to expand... Jibu ni dogo tu.Kwa nini haujiulizi mambo yote ya kwenye biblia ambayo watu waliishi kwa zaidi ya miaka na miaka (agano la kale na jipya) hufanyika au kuadhimishwa kwa mwaka mmoja tu!?Akili kumkichwa.Sikupi jibu.Ishi kwa kuteseka.
Diana Morrice Senior Member Joined Apr 1, 2020 Posts 138 Reaction score 196 Dec 13, 2024 #42 The ice breaker said: Wakuu, Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu. Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti.. Mbona kama hesabu haipo sawa. Soma Luka 1:26-35 Click to expand... hongera kwa kuhesabu siku ndugu
The ice breaker said: Wakuu, Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu. Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti.. Mbona kama hesabu haipo sawa. Soma Luka 1:26-35 Click to expand... hongera kwa kuhesabu siku ndugu
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 19,644 Reaction score 40,546 Dec 13, 2024 #43 Buddah ulikua unatafutwa asbhi.. Vipi ushaonana nao