Kwanini Christmas iwe 25 December?

Kwanini Christmas iwe 25 December?

Wakuu,

Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu.

Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti..

Mbona kama hesabu haipo sawa.

Soma Luka 1:26-35
Jibu ni dogo tu.Kwa nini haujiulizi mambo yote ya kwenye biblia ambayo watu waliishi kwa zaidi ya miaka na miaka (agano la kale na jipya) hufanyika au kuadhimishwa kwa mwaka mmoja tu!?Akili kumkichwa.Sikupi jibu.Ishi kwa kuteseka.
 
Wakuu,

Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu.

Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti..

Mbona kama hesabu haipo sawa.

Soma Luka 1:26-35
hongera kwa kuhesabu siku ndugu
 
Back
Top Bottom