Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Stop joking bro, Sio kuku ni cookies..Hao kuku ndio wakoje bloangu?
Hizo ni Taharifa za site unayotaka kuingia, unapo zikubali zinatunzwa kwenye browsers yako sehemu inaitwa stored Data...
Zinasaidia utakapo kua unaitumia hiyo website mfano jf hautakua na haja ya kulog in kila mara na inakusaidia kubrowse kwa haraka bila kuload mda mrefu kwasababu taharifa zake zinakua zipo ...
Sawa na wewe kabla hujafika sehemu fulani ulikua unashangaa lakini baada ya kutembelea hilo eneo mara kwa mara unalizoea na kuona kawaida sababu taharifa za hilo eneo lipo tayari kichwani pako, Sasa unapoamua kwenda hiyo sehemu kuiona unakua umekubali kuzijua taharifa za hilo eneo, ni sawa na Kuzi allow cookies mtandaoni ....
Cookies ni muhimu sababu zinarahisisha uharaka wa kufungua data na kuiona kwa uzuri website unayofungua;
mfano usipo allow cookie za JF kila unapoingia itakua inakudai kulog in na upya kila mara... Inaboa sio?
Sasa unapoacces unsecured site inakua kinyume, unapoallow hizo cookies wanazitumia kama silaha kushambulia data zako !! , utakuta unashambuliwa na adds Nyingi, Hao ndo trackers sasa..
kadiri unavyoacces hizo sites browser yako inazidi kua uchi wanazidi kukushambulia...Zile ads Nyingi ni matokeo sasa, Unakuta kila unahotaka kuaccess unapata shambulio inadirect kwingine usipotaka na hao ndio wanamaliza data zako !!!